Je, Rada zinashindwaje kuziona Drones?

Je, Rada zinashindwaje kuziona Drones?

Wa russia wameshazidiwa na Israel ambao wamegundua majuzi tek ya kutungua missiles kwa kutumia laser beam yenye spidi na gharama ndogo sana sawa sawa na bure na inafanya kazi mazingira yote mvua mawingu n.k umbali wowote na haikosei shabaha.

Hivyo mizigo ya Iran itatunguliwa na laser Iran ndio anategemea s300 za Urusi kwa ulinzi

Sent using Jamii Forums mobile app
Laser beam sio technologia ya jana wala juzi.ni ya muda sana na wala sio Israel waliyogundua.iyo ni technologia ndogo sana wala uwezi fananisha na s-300

Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
 
Naomba kuuliza wataalam wenye uelewa wa kijeshi,inakuwaje Rada za nchi lengwa kwa Drones zinashindwa kugundua mashambulizi?

Sent using Jamii Forums mobile app

akili fupi ya kufa sio ya kuzaliwa simu ya 2g inaweza kuona mawasiliano ya 3g,3g inaweza kuona 4g labda kwa kuwa ni kizazi cha mawasiliano kikaunganishwa kama mbadala.
mifumo ya teknolojia uja na mbadala wa mawasiliano na mfumo unaitwa uni code ndo maana ukija kwenye mfano wa 3g unakuta jamii ya w-cdma,TD-scdma na hspa+.
kuna kipindi nilikuja kugundua simu ya japani hiwezi kufanya kazi nchi fulani na hiyo mifumo ya mawasiliano,hata rada zinaweza kuwa na mifumo ambayo imetegemea ndivo inaweza kujua kipi kinapita lakini watu wakaja na njia nyengine.
embu tukabli teknolojia ni kitu cha kufikilika lolote na kikawezekana.uliwezaje leo kujua utapata jamii app na simu yako ingekuwa miaka 80 si ungesema ni ukichaa

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Lakini nakumbuka hapo AWALI Iran ilitungua Drone ya USA!!
Je kutunguliwa kule ilikuwa ni majaribio ya Drone za USA na pia kujua Uwezo wa RaDar za Iran.

Au kuna uhusiano wowote wa matukio hayo mawili??
 
Wa russia wameshazidiwa na Israel ambao wamegundua majuzi tek ya kutungua missiles kwa kutumia laser beam yenye spidi na gharama ndogo sana sawa sawa na bure na inafanya kazi mazingira yote mvua mawingu n.k umbali wowote na haikosei shabaha.

Hivyo mizigo ya Iran itatunguliwa na laser Iran ndio anategemea s300 za Urusi kwa ulinzi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ulikuwa bush nini, mbona hiyo tech ni ya zamani na Israel sio wa kwanza.
Na it won't stand a chance against s300

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iran miezi michache nyuma wali fanikiwa ku- intercept drone ya US.iliyosaiwa kufanya ujasusi kwa kuingia anga ya Iran.

Tusubiri hii silaha mpya(supersonic ballistic missile ) iliyozinduliwa juzi na Russia INA speed kuliko mwanga iwapo INA weza ika be detected na radar.

Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania wengi hawapendi kujifunza vitu vipya! Ulipita mahali ukasikia hiyo silaha ina speed fulani sijui mara tatu ya sauti basi hata hukufuatilia vizuri basi unakuja hapa kutoa jibu la kubuni kwamba ina speed kuliko mwanga!
 
Mkuu ulikuwa bush nini, mbona hiyo tech ni ya zamani na Israel sio wa kwanza.
Na it won't stand a chance against s300

Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha sio laser hizo, laser za kutungua ICBM, jamani ina maana israel mpaka wanatangazia dunia nao hawajui laser.

Israel unveils revolutionary laser-based air defense system

The interception system is meant to down targets ranging from mortar fire and drones to Grad rockets and long-range missiles; it is also much more cost-efficient than the current favorite Iron Dome

Yoav Ziton|

Published: 01.08.20 , 23:35

After decades of expensive experiments, failed projects and fruitless ventures, Israeli defense establishment unveiled its latest revolutionary technological achievement. The Ministry of Defense announced Wednesday it has successfully developed a laser-based air defense system.

Follow Ynetnews on Facebook and Twitter

The system is meant to intercept aerial threats ranging from as mortar fire, drones, medium range Grad rockets, anti-tank missiles as well as long-range missiles, currently at the disposal of Iran-backed terror groups in Syria and Lebanon.

The system is set to be tested in six months' time at an undisclosed location in northern Israel. If the interception test is successful, the laser-based system will be dispatched for field use along Israel's border with the Gaza Strip.

The laser, which was developed and manufactured by the government-owned Rafael Advanced Defense Systems and Elbit Systems over the past decade, has so far proven its interception capabilities during comprehensive testing over its lengthy development cycle.

The plan is to extend the laser's uses and mount its systems on armored vehicles and trucks meant for battlefields in order to protect ground troops in hostile territory. In addition, there are plans to install the system on the Israeli Air Force jets in an effort to start intercepting long range missiles from the above.

"After many years of dreaming of an energy-based weapon system that doesn't include any kind of 'flying metal' I can finally say we are so very close," said Dubi Oster, the head of Optoelectronics at the Administration for the Development of Weapons and Technological Infrastructure.

"The capabilities we developed are based on electric lasers as opposed to the less reliable, more common chemical laser," said Oster, "meaning we'll be able to target and intercept a flying target from a distance of five kilometers (3.1 miles)."

The system's interception will also be much cheaper than that of the Iron Dome, since it does not require expensive interceptor missiles. "The system basically has endless munition," said Oster. "The system is also plugged to a power source, so there's no need to reload regular ordnance."

The new laser system is expected to complement existing active defense systems in the future, such as the Arrow, Patriot and the Iron Dome.

For all its innovations, the system does have its downsides, mainly its field of view which is highly dependent on weather conditions since the system relies on optics in order to successfully hit the intended target.

"If we successfully attach the system to an aircraft, we could overcome the hurdle of [unexpected] weather ... we could potentially intercept rocket fire right above the enemy's heads," said the Defense Ministry.

"The Israeli mind keeps paving the way, the new laser project will turn Israel's defense into deadlier and more advanced," said Defense Minister Naftali Bennett. "It's a clear message to our enemies.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Iran miezi michache nyuma wali fanikiwa ku- intercept drone ya US.iliyosaiwa kufanya ujasusi kwa kuingia anga ya Iran.

Tusubiri hii silaha mpya(supersonic ballistic missile ) iliyozinduliwa juzi na Russia INA speed kuliko mwanga iwapo INA weza ika be detected na radar.

Sent using Jamii Forums mobile app
speed kuliko mwanga? mkuu unajua speed ya mwanga?
 
Iran miezi michache nyuma wali fanikiwa ku- intercept drone ya US.iliyosaiwa kufanya ujasusi kwa kuingia anga ya Iran.

Tusubiri hii silaha mpya(supersonic ballistic missile ) iliyozinduliwa juzi na Russia INA speed kuliko mwanga iwapo INA weza ika be detected na radar.

Sent using Jamii Forums mobile app
Speed kuliko mwanga duh!... mwanga speed yake sio chini ya km mil.3 kwa saa kama sikosei

Sent using Jamii Forums mobile app
 
akili fupi ya kufa sio ya kuzaliwa simu ya 2g inaweza kuona mawasiliano ya 3g,3g inaweza kuona 4g labda kwa kuwa ni kizazi cha mawasiliano kikaunganishwa kama mbadala.
mifumo ya teknolojia uja na mbadala wa mawasiliano na mfumo unaitwa uni code ndo maana ukija kwenye mfano wa 3g unakuta jamii ya w-cdma,TD-scdma na hspa+.
kuna kipindi nilikuja kugundua simu ya japani hiwezi kufanya kazi nchi fulani na hiyo mifumo ya mawasiliano,hata rada zinaweza kuwa na mifumo ambayo imetegemea ndivo inaweza kujua kipi kinapita lakini watu wakaja na njia nyengine.
embu tukabli teknolojia ni kitu cha kufikilika lolote na kikawezekana.uliwezaje leo kujua utapata jamii app na simu yako ingekuwa miaka 80 si ungesema ni ukichaa

Sent from my iPhone using JamiiForums
Nimejitahidi wee lakini sijaelewa ulichoandika Boss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahah kweli ujinga ni ugonjwa...eti INA speed kuliko mwanga hahahahahahhahahhahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahah
Mwanangu wa darasa la 3 mwenyewe humdanganyi kitoto hivi
..😂😂😂
 
Tusubiri hii silaha mpya(supersonic ballistic missile ) iliyozinduliwa juzi na Russia INA speed kuliko mwanga iwapo INA weza ika be detected na radar.
KASOME FIZIKSI YA FOMU WANI KWANZA NDO UKUJE HUKU
 
Naomba kuuliza wataalam wenye uelewa wa kijeshi,inakuwaje Rada za nchi lengwa kwa Drones zinashindwa kugundua mashambulizi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kwa sababu Radar zimekuwepo kabla ya Drones, na aliyebuni Drones anazijua Radar.
Kwa mfano wewe ulipokuwa mdogo, ulikuwa ukitoroka nyumbani kwenu ulikuwa umahakikisha kuwa unarudi kabla ya saa 1 kwa sababu ulikuwa unajua Baba huwa anarudi nyumbani saa 2. Kwa hiyo Baba alikuwa hawezi kukukamata pamoja na kuwa alikuwa amekukataza usitorke nyumbani. Ni kwa sababu ulikuwa unaujua muda wake wa kurudi nyumbani.

Jibu langi siyo la kitaalamu lakini ninaliamini. Lakini nadhani pia ni kwa sababu Drones zinaweza kupaa juu zaidi kuliko ndege na zina maumbile madogo ukilinganisha na ndege za kawaida
 
Hilo swala lipo hivi

Rada zinatambua vilivyo angani kwa kutuma mifumo miwili ambapo mmoja unatuma signal na mwingine unapokea signal hiyo iliyotumwa. (Kama tu mwangi unavyotokea kwa uwapo wa mdomo na masikio) signal hizo zinazotumwa na rada ni radio signal nikimaanisha zinasafiri katika speed inayokaribiana na speed ya mwanga. (Hapa ndipo utaona maana ya technology - kutumia uelewa wa mwangwi kufanyiza kifaa rada kutengenezwa)

Sasa ukitaka kifaa chako kisionekane na rada inabidi kiwe na property mbili muhimu
Moja
Kuwa na radio absobed material. Kwenye surface yake kuvyonza kadiri itakavyoweza radio wave vinazotumwa na rada hivyo kurudisha radio wave chache
Mbili
Kuwa na shape ambayo itaakisi mawimbi ya rada mbali na receiver za rada hivyo rada kutokusikia mawimbi kutoka kwa ndege

Hata hivyo kutokana na mbinu za kivita ndege hizi ambazo hazisomi kwenye rada huwa katika mission zinaambatana na ndege nyingine ambazo kazi yake ni kusoma mawimbi ya rada na kulipua mifumo hiyo kabda haijaweza otea ndege hizi au drone.
 
Back
Top Bottom