Ukraine yalipua ndege kubwa (Bomber) ya Urusi

Ukraine yalipua ndege kubwa (Bomber) ya Urusi

ze kokuyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
7,476
Reaction score
9,654
Ukraine imefanikiwa kulipua na kuharibu kabisa ndege kubwa ya Urusi Tu-22M yenye uwezo wa kubeba makombora ya nyuklia.

Ndege hiyo imelipuliwa baada ya Ukraine kufanya mashambulizi kwa kutumia ndege zisizo na rubani (drones) kwenye kambi ya jeshi ambako ndege hizo hupaki ndani ya nchi ya Urusi.

Hapo awali Urusi ilikana na kusema ndege imepata uharibifu mdogo.

Sent from my Mi 9T using JamiiForums mobile app
 
Nilijua mifumo ya ulinzi ya anga ya ukraine imefanya, kumbe ndege ilikuwa imepaki.
 
Ndege ya Urusi ikiungua baada ya shambulizi

Russian-base-Tu-23M3-attack%20(1).jpg


Sent from my Mi 9T using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom