akroatis
Member
- Sep 18, 2017
- 34
- 27
Naomba msaada wa jinsi ya kuboresha application yangu ya android. Niliiunda kwa uziefu wangu na kuuliza marafiki wenye uzoefu biashara lengwa. Niliifanya iwe na functions muhimu tu kwa mwanzo. Ila bado napenda kuendelea kuoboresha iwe nzuri zaidi.
Tembelea ukurasa wa topic yenye maelezo zaidi na links ya application Android application kwa ajili ya kurekodi mauzo yako (Stock manager & sales register)
Asanteni sana
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app