Wanaotumia miguu miwili ni bora kuliko wanautumia mguu mmoja?

Dabil

JF-Expert Member
Sep 30, 2021
5,885
13,263
Naomba kufahamishwa kuna wachezaji wao wanachezea miguu yote,akitaka kutoa pass au kupiga mpira siyo tabu,je hiyo miguu yote huwa ina uwezo sawa na nguvu?

Je kuna wachezaji bora zaidi wanaotumia mguu mmoja kuwazidi miguu miwili kiuwezo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuja speed sijui niliwaza mtoa uzi anamaanisha nn kwenye title.

dronedrake Half american
 
Mchezaji anae tumia miguu yote ndo mzuri zaidi kwa kuwa inakuwa rahis kwake kugeuga upande wowote ule na kupokea pass upamde wowote ule.
Lakin mchezaji yoyote anae tumia miguu yote lazima dominamt one uwepoo!
Nimeona mmoja hapo anasema mess ni mguu mmoja huo shotoo ni dominant lakin anageuka upande wowote hata ikiwa ni kulia na kupiga anapiga
 
Wanaotumia mguu mmoja ni shida ,hebu angalia Aziz ki anavyohangaika kwa kulazimisha mpira uje upande wa kushoto ndipo afanye maamuzi
Lakini naona manufaa zaidi kwa wanaotumia miguu ya kushoto, ni wepesi sana mfano odegard, saka, messi, azizi ki, roben, xhaka na wengineo.

Binafsi hata kwenye ps huwa napenda sana kuwatumia wachezaji wanaotumia mguu wa kushoto zaidi.

Ivi arteta kwanini alimuachia Granit xhaka?
 
Naomba kufahamishwa kuna wachezaji wao wanachezea miguu yote,akitaka kutoa pass au kupiga mpira siyo tabu,je hiyo miguu yote huwa ina uwezo sawa na nguvu?

Je kuna wachezaji bora zaidi wanaotumia mguu mmoja kuwazidi miguu miwili kiuwezo?

Sent using Jamii Forums mobile app
mwanadamu yeyote anayetumia kitu cha kushoto huwa ni bora kuliko wa kulia kwa asilimia kubwa.
 
Back
Top Bottom