Je, Polisi Marekani itazuia maandamano ya watanzania Samia atakapohutubia huko?

Demokrasia haifanani kati ya nchi na nchi.....

Nchi yetu inafuata demokrasia vyema tu!!

#SiempreJMT
 
Chadema na ujinga wao wa kuichafua nchi na kudhani wazungu hao watawasaidia labda kupata chochote kasent ka kula,yaani ni lazima wafanye matendo ya kuonyesha wanaumizwa ili sympathy ya kutokana na tendo hilo waonewe imani na pengine kusaudiwa chochote.
 
Wangekuwa wa maana kuandamana dhidi ya serikali ya Marekani kuwaachia nchi marafiki zao TALIBAN baada ya kupigana nao kwa miaka 20 na mwisho kutofikia lengo....Marekani imeikubali "demokrasia ya Taliban"🤣🤣

Hakika kila nchi ina DEMOKRASIA yake.. ...

#SiempreJMT
 
Kazi aliyoweza Magufuli na JK hakuna mtu yoyote mwenye akili timamu atashindwa. Magufuli hakuwa na ushawishi wakuweza kushinda kwa kura zaidi ya 50%, ndio maana akaagiza idadi ya wapiga kura ipikwe, kisha yeye atangazwe kwa shuruti na chama chake, kwa idadi ya kura aliyoitaka yeye. Ule haukuwa uchaguzi bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
Mkuu Nani angemchagua Lisu. Mbona unapenda sana kujifariji mtandaoni hapa. Watanzania unawajua kweli? Na mtaendelea kushindwa kwa kuwa hampendi kuface matatizo na changamoto zenu. Tuambie hapa.

Unadhani kuendesha nchi Ni kila mtu anaweza. Lissu anapaswa kuwa muanzisha debate vyuoni. Nchi Hii haitaweza kamwe kuendeshwa na mtu wa aina ya Lissu.

Sio tu wananchi, hata usalama wa nchi hauwezi kukubali. Wote hao unaowaona duniani usalama wa nchi zao lazima wakubali.

Face your challenges. Mtu kama Slaa alikuwa Ana sifa. Na watu 2014 walivutiwa sana na CHadema na Slaa. Kila alipoenda. Sasa nyie mnakimbilia kulalamikia vipele kuwasha wakati mna Gonorrhea linakula Ndani. Wake up. JPM. Alishinda na wala hakukuwa na ushindani. Labda na Lowasa mana naye Ni CCM tu.
 
Serekali sio nchi, majizi ya kura msijifiche kwenye kichaka cha nchi.
Chadema na ujinga wao wa kuichafua nchi na kudhani wazungu hao watawasaidia labda kupata chochote kasent ka kula,yaani ni lazima wafanye matendo ya kuonyesha wanaumizwa ili sympathy ya kutokana na tendo hilo waonewe imani na pengine kusaudiwa chochote.
 
Chadema na wenzao hawataki kujifunza vyema SIASA ZA KIMATAIFA.....

SIRAJUDDIN HAQQANI ni nani?!!!

Huyu ni "gaidi" anayetafutwa na Marekani na kutengewa dola milioni 5 kwa "Kichwa chake"....

Sirajuddin Haqqani ni kiongozi mkuu wa mtandao uitwao "haqqani network" ambaye anatuhumiwa kwa kuhusika kwake 2008 na MAUAJI YA WATU 6 wakiwemo wamarekani....

Anatuhumiwa pia kwa kuilipua hoteli ya Kabul mwaka 2017 na kuwaua raia 150 wasio na hatia....

Leo ni WAZIRI KATIKA SERIKALI YA TALIBAN "marafiki wa Marekani" 🤣🤣

#SiempreJMT
 
Mkuu Nani angemchagua Lisu. Mbona unapenda sana kujifariji mtandaoni hapa. Watanzania unawajua kweli? Na mtaendelea kushindwa kwa kuwa hampendi kuface matatizo na changamoto zenu. Tuambie hapa.

Unadhani kuendesha nchi Ni kila mtu anaweza. Lissu anapaswa kuwa muanzisha debate vyuoni. Nchi Hii haitaweza kamwe kuendeshwa na mtu wa aina ya Lissu.

Sio tu wananchi, hata usalama wa nchi hauwezi kukubali. Wote hao unaowaona duniani usalama wa nchi zao lazima wakubali.

Face your challenges. Mtu kama Slaa alikuwa Ana sifa. Na watu 2014 walivutiwa sana na CHadema na Slaa. Kila alipoenda. Sasa nyie mnakimbilia kulalamikia vipele kuwasha wakati mna Gonorrhea linakula Ndani. Wake up. JPM. Alishinda na wala hakukuwa na ushindani. Labda na Lowasa mana naye Ni CCM tu.
Rubbish
 
Maandamano yao hayatabadili mioyo ya watanzania katika sanduku la kura. Mange Kimambi alifanya maandamano maeneo mbali mbali kule usa, lkn katika uchaguzi mkuu waandamanaji wameangukia pua. Mpaka mgombea mmoja akakimbilia ulaya ili kujinusuru na aibu ya wapiga kura wake.
Isingekuwa kuheshimu mawazo ya mtu........
 
Sheria hukata kotekote
Yaani ata nchi za watu mnataka muwapeleke kina sirro wakazuie maandamano.,

Mulisema Tanzania sio kijiji mnataka kutoka nje kuimarisha hivyo lazima mukubaliane na changamoto zake maandamano Tz haiwezekani lakini kwa wenzetu yanawezekana kama vipi mama aghairishe safari ajifungie kama alivyokuwa mtu 1 ili mubaki na kijiji chenu
 
Back
Top Bottom