Je, Polisi Marekani itazuia maandamano ya watanzania Samia atakapohutubia huko?

Sijui kwanini watz Ni waoga wa maandamano kiasi hiki tena maandamano ya Amani tu. Tumelogwa sijui?
 
Lisu ataendaje huko
USSR
Akili zako ni za Kitoto kabisa naona Walikutoa Ubongo wote
JamiiForums1980995331.jpg


Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Sijui kwanini watz Ni waoga wa maandamano kiasi hiki tena maandamano ya Amani tu. Tumelogwa sijui?

Opportunists wasaka teuzi ni wengi sana. Nia yao ni kunufaika either way. Wenye msimamo wa kueleweka ni wachache sana.

Wengi tunataka mabadiliko kama watazamaji. How possible?
 
Wasaidizi wa Mama wangeangalia namna wasaidiziwa Erdogan walivyowashikisha adabu wahuni wa Kituruki waliokuwa wakimzomea hapo USA
 
Lini kulifanyika uchaguzi? Kama mnapendwa mbona mnajihami kwa wizi wa kura

Mkuu Nani angemchagua Lisu. Mbona unapenda sana kujifariji mtandaoni hapa. Watanzania unawajua kweli? Na mtaendelea kushindwa kwa kuwa hampendi kuface matatizo na changamoto zenu. Tuambie hapa.


Unadhani kuendesha nchi Ni kila mtu anaweza. Lissu anapaswa kuwa muanzisha debate vyuoni. Nchi Hii haitaweza kamwe kuendeshwa na mtu wa aina ya Lissu.

Sio tu wananchi, hata usalama wa nchi hauwezi kukubali. Wote hao unaowaona duniani usalama wa nchi zao lazima wakubali.

Face your challenges. Mtu kama Slaa alikuwa Ana sifa. Na watu 2014 walivutiwa sana na CHadema na Slaa. Kila alipoenda. Sasa nyie mnakimbilia kulalamikia vipele kuwasha wakati mna Gonorrhea linakula Ndani. Wake up. JPM. Alishinda na wala hakukuwa na ushindani. Labda na Lowasa mana naye Ni CCM tu.
 
Ccm ya kushinda uchaguzi kwa njia ya kura ilikuwa ya mfumo wa chama kimoja. Kabla ya lile dhalimu lililopo motoni wangalau ccm ilijaribu japo kwa shida. Ila kipindi chake ccm ikageuka tegemezi wa dola na kutangazwa kwa shuruti. Kwa ujumla ccm haina uwezo tena wa kushindana kwa kura halali.
ano yao hayatabadili mioyo ya watanzania katika sanduku la kura. Mange Kimambi alifanya maandamano maeneo mbali mbali kule usa, lkn katika uchaguzi mkuu waandamanaji wameangukia pua. Mpaka mgombea mmoja akakimbilia ulaya ili kujinusuru na aibu ya wapiga kura wake.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom