Je, Polisi Marekani itazuia maandamano ya watanzania Samia atakapohutubia huko?

Maandamano yao hayatabadili mioyo ya watanzania katika sanduku la kura. Mange Kimambi alifanya maandamano maeneo mbali mbali kule usa, lkn katika uchaguzi mkuu waandamanaji wameangukia pua. Mpaka mgombea mmoja akakimbilia ulaya ili kujinusuru na aibu ya wapiga kura wake.
Lini kulifanyika uchaguzi? Kama mnapendwa mbona mnajihami kwa wizi wa kura
 
Kuumia tumeumia siku nyingi huenda wakifanya hivyo nafuu itapatikana unafikiri nini baada ya kutuonea wavuvi kuchoma nyavu na kuteka enjini zetu halali kwa kututishia silaha iliwakwapue pesa sisi tulifurahi wao mbona hawakujali nchi yetu nimoja nabado wamepandisha ufaulu kukimbia wasomi wakati wao haikuwa hivyo mjali anaekujali
 
Uliende kufanya nini huko, wakati alitakiwa apeleke wapelelezi kwanza kuangalia usalama wa Huko
 
Maandamano yao hayatabadili mioyo ya watanzania katika sanduku la kura. Mange Kimambi alifanya maandamano maeneo mbali mbali kule usa, lkn katika uchaguzi mkuu waandamanaji wameangukia pua. Mpaka mgombea mmoja akakimbilia ulaya ili kujinusuru na aibu ya wapiga kura wake.
Mkuu kweli kutoka moyoni mwako,ukiacha roho mbaya kishetani,Ukiwa Na akili timamu(Ukiacha akili za umaskini za njaa ya kali)Ukiwa na Elimu yako uliyosotea shule mpaka chuo kikuu.Mwaka 2020 tulikuwa na uchaguzi wa haki? Je ,Kama kungekuwa Na uchaguzi huru na haki kweli Leo ungesema hayo .

Mungu ni wetu site IPO siku kila MTU Kwa nafasi yake atatoa hesabu ya maovu
 
Tanzania maana yake nchi ya wenye Tanzania, ikiwa wenye nchi yao mnawanyima haki za kuishi kwa amani, demokrasia, mnawapiga risasi haina maana kusema nchi kwanza..nasema uhai kwanza ndipo nchi, waandamane na tukiadhibiwa ili kuwanyoosha watawala ni sawa tu
 
Mkuu kweli kutoka moyoni mwako,ukiacha roho mbaya kishetani,Ukiwa Na akili timamu(Ukiacha akili za umaskini za njaa ya kali)Ukiwa na Elimu yako uliyosotea shule mpaka chuo kikuu.Mwaka 2020 tulikuwa na uchaguzi wa haki? Je ,Kama kungekuwa Na uchaguzi huru na haki kweli Leo ungesema hayo .

Mungu ni wetu site IPO siku kila MTU Kwa nafasi yake atatoa hesabu ya maovu
Mkuu mwaka 2005 wapinzani walidai uchaguzi haukuwa huru na wa haki lkn mgombea uraisi wakati ule Mbowe akakiletea chama chake zaidi ya wabunge 20, mwaka 2010 hivo hivo wapinzani walidai uchaguzi haukuwa huru na wa haki wakasusia mpaka hotuba ya raisi Kikwete na kutoka nje lkn pamoja na yote mgombea wao Dr akatumia ushawishi wake wakapatikana wabunge zaidi ya 50, mwaka 2015 malalamiko yakawa yale yale ya siku zote kuhusu wizi wa kura na tume huru lkn mgombea wao mh Lowasa kupitia ushawishi wake akasaidia upinzani kupata wabunge zaidi ya 80, mwaka 2020 tume ile ile na malalamiko yale yale kama nilivyoandika hapo chini lkn kwa vile mgombea hakuwa na ushawishi wowote kwa wapiga kura akajikuta anakiangusha chama chake kwa kupata mbunge mmoja tu nchi nzima. Sasa hapo ambae anatakiwa kujitafakari ni mimi au Chadema kwa kusimamisha mgombea aliekubalika mitandaoni na kukataliwa ndani ya sanduku la kura? Mbona wenzake kama nilivyowataja hapo juu pamoja na figisu zote lkn waliweza kushawishi wapiga kura wakapata wabunge wengi? So msiwe watu wa kulaumu bila kuangalia kosa liko wapi. Mgombea wenu alikuwa hana ushawishi wa kupigiwa kura na ukizingatia na aina ya mgombea aliegombea nae alikuwa anakubalika zaidi kwa watanzania wa jinsia na rika zote ukiachana na wale wachumia tumbo wachache na wapiga madili wa hapa na pale.
 
Una umalaya wa kisiasa huwezi kuelewa!Akili yako inawoga wa umaskini huwezi kuelewa
 
Back
Top Bottom