Kutokana na changamoto ya Ushoga, nini kipo nyuma ya pazia Duniani?

April7

Member
Aug 5, 2019
36
70
Wakuu habarini, moja kwa moja niende kwenye mada hisika. Duniani kumekuwa ni mahali penye changamoto za kila aina, binadamu akiwa kama kiumbe icon wa ulimwengu amekuwa mhanga mkuu wa changamoto zilizopo.

Kama kichwa cha habari kilivyo, karibia kila sehemu/nchi wakati huu ushoga umekuwa si kitu cha kushangaza tena. Nimekuwa nikijiuliza maswali lukuki kuhusu hili janga na namna mataifa makubwa duniani (mfano; Marekani) yamekuwa yakitumia ushawishi mkubwa kwa jamii kujihusisha na jambo hili la ushoga.

Miongoni mwa maswali ambayo nimekuwa nikijiuliza ni manufaa gani ya moja kwa moja wanayopata washawishi pindi wanapotumia muda wao kuwashawishi wana jamii kujiingiza katika mambo haya?

Kwa maana haiingi akilini mimi niwashawishi wanaume wawili waingiliane kinyume na maumbile alafu ninufaike. Inashangaza kuona mpaka baadhi ya nyumba za ibada zimeingia katika hili jambo kwa kuwahalalisha watu wa jinsia moja (kuwafungisha ndoa).

Kwa tathimini zangu binafsi, nilipata jibu hili: Ulimwengu tunaoishi umekaa kimahesabu, na hesabu ili iweze kukokotolewa inahitajika kanuni. Hivyo basi kutokana na kanuni za kimahesabu ya ulimwengu zipo #codes ambazo zinafungua baadhi ya njia fulani hapa ulimwenguni.

Wapo ambao wanatoa kafara za damu kwa kuwaangamiza binaadamu wenzao kwa lengo la kufanikisha mambo ya kama vile, kupa pesa na uongozi. Hapa tunagundua kuwa kutoa kafara ni code ya kufungua njia fulani ya mafanikio hapa duniani.

Kwangu mimi ushoga nauchukulia kama code fulani hivi kubwa inayofungua njia kubwa hapa ulimwenguni na ndio maana zinatumika nguvu kubwa za ushawishi kwa jamii. Nilishawahi kusikia (sijathibisha) kuwa kuna watu ambao hawapo katika mazingira ya ushoga, yaani ni wanaume marijali kabisa ambao wanamiliki familia lakini nyuma ya pazia wanaingiliwa na wanaume wenzao kwa masharti fulani hivi katika mambo ya kiimani, tena wanakuwa na siku maalimu ya kufanya hivyo.

Mimi sifahamu mengi, na inawezekana sifahamu chochote kuhusu hili jambo. Naomba mwenye uelewa na haya mambo anielekeza na kwa faida ya wengine.
 
🐒🐒🐒
20220518154545.jpg
202204141221.jpg
 
Wakuu habarini, moja kwa moja niende kwenye mada hisika. Duniani kumekuwa ni mahali penye changamoto za kila aina, binadamu akiwa kama kiumbe icon wa ulimwengu amekuwa mhanga mkuu wa changamoto zilizopo...
Huyo mwenye uelewa wa Ushoga na faida zake akikutaka uonane nae akuelimishe kiundani ikiwezekana akufundishe kwa Vitendo upo tayari?

Kuchamba kwingi ndio mwanzo wa kujipaka mav*
 
Back
Top Bottom