Je, ni wangapi wasiotamani kupata watoto?

Je, ni wangapi wasiotamani kupata watoto?

Unafikiria ukiwa kuzimu utapata faida yoyote kwa sababu pesa zako zinaliwa na mtoto wako?
Hivi hata ukiwa na pesa,, pesa zako zitakuwa na faida gn kama jasho lako,, nguvu zako,,zikiliwa na mwingine? Na sio mtoto wako? baada ya wewe kuondoka duniani?
 
Huku kwetu bado kuna ufinyu wa uelewa kuhusu maisha binafsi ya watu,elimu bado inahitajika sana.
Mkuu haya Mambo labda huko kwa wenzetu, huku kwetu umri ukifika tuu vikao vya familia, mtaa, class group, ni balaa
 
Ipo siku mama yako hatakuwepo na bado utaona maisha yanafaa bila yeye.
Wapo wasio na watoto na mama kwa sababu zozote zile na bado wanaona maisha yanafaa kila kitu.
Maisha yafaa nini bila Mtoto wangu na Mama yangu
 
Kama hataki asitombwe basi akawe sista tujue moja miaka 32 hataki kuzaa kweli inameki sensi
 
Kwani tunazaa watoto kwa lengo gani kama sio kutusaidia uzee?au lengo la mtoto ni nn?
unaona? kumbe unazaa kwasababu ya msaada uzeeni?

kwaio kama mtu anauhakika wa kujimudu uzeeni hana lazima ya kua na mtoto!

kingine jiandalie mazingira yako acha kutegemea mtoto !
unaweza fika uzeen na mtoto bado akawa mzigo kwako na si msaada sijui kama unalijua hili
 
unaona? kumbe unazaa kwasababu ya msaada uzeeni?

kwaio kama mtu anauhakika wa kujimudu uzeeni hana lazima ya kua na mtoto!

kingine jiandalie mazingira yako acha kutegemea mtoto !
unaweza fika uzeen na mtoto bado akawa mzigo kwako na si msaada sijui kama unalijua hili
Kwahyo mkuu hata kama una pesa mtoto ahitajiki?duu. Sawa mkuu,,endelea kupoteza wenzio,,,,wakati wewe ukiendelea kufyatua mtoto wa 7 ,,unawaaminisha wenzio mtoto hana faida,,sawa mkuu,,akili za kuambiwa,,changanya na zako...
 
Umejuaje hili ? Naomba ushahidi wa hili.

Unatumia vigezo gani kukanusha suala la kwenda mbinguni ? Ukweli ni uli na kwanini na tupe ithibati juu ya unachokiamini.
Shehe unataka kuamisha goalposts..
 
Ukichunguza sana,,,hiyo kauli ya sitaki mtoto, ni kauli ya sizitaki mbichi hizi.. Pengine huyo mwanamke ni mgumba,,,hana uwezo wa kupata mtoto tena ktk maisha yake,,, na amehangaika maisha yake yote bila mafanikio,,sasa anaaminisha watu kwamba hataki mtoto...ukweli ni kwamba, tamaa ya kutaka mtoto ni kubwa sana kuliko pesa,haswa ukiwa na umri zaidi ya 35 ....tena wengine hulia machozi kabisa,,amini maneno yangu...huyo ni mgumba straight..anachoongea ni maneno ya kishujaa,,hakuna asiyetaka mtoto.
Well said
 
Pamoja na gazeti lako reeefu ambalo sijalisoma, bado mtazamo wangu ni uleule...mimi napenda watoto lakini siwezi kuwa msemaji wa kila mwanamke aliyepo chini ya jua kwamba anapenda. Kila mtu ameumbwa na hisia zake, matamanio na akili zake. Hatuwezi kufanana hata siku moja
Mkuu una watoto?
 
Duuuh!! Haya bwana kama unaamini hivyo.
Niamini mkuu,,,,kuna. Shida mahali,,,sababu umri huo wa ,35 unapaswa either uwe umeoa au umeolewa,,, ,,au una family.. Au utakuwa single tu maisha?kama utakuwa na mwenzio,,je wote mna malengo ya kukataa mtoto?huoni kama kuna shida mahali?mkuu sio wote wasemao NO wanamaanisha hapana,,wengine wanasema NO ,,means nimeshindwa..I can't make it...
 
Back
Top Bottom