Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 65,023
- 111,442
Wapo watu wana uwezo kupata na kuwahudumia watoto ila hawataki kupata watoto kabisa.
Ukichunguza sana,,,hiyo kauli ya sitaki mtoto, ni kauli ya sizitaki mbichi hizi.. Pengine huyo mwanamke ni mgumba,,,hana uwezo wa kupata mtoto tena ktk maisha yake,,, na amehangaika maisha yake yote bila mafanikio,,sasa anaaminisha watu kwamba hataki mtoto...ukweli ni kwamba, tamaa ya kutaka mtoto ni kubwa sana kuliko pesa,haswa ukiwa na umri zaidi ya 35 ....tena wengine hulia machozi kabisa,,amini maneno yangu...huyo ni mgumba straight..anachoongea ni maneno ya kishujaa,,hakuna asiyetaka mtoto.