Je, ni wangapi wasiotamani kupata watoto?

Niamini mkuu,,,,kuna. Shida mahali,,,sababu umri huo wa ,35 unapaswa either uwe umeoa au umeolewa,,, ,,au una family.. Au utakuwa single tu maisha?kama utakuwa na mwenzio,,je wote mna malengo ya kukataa mtoto?huoni kama kuna shida mahali?mkuu sio wote wasemao NO wanamaanisha hapana,,wengine wanasema NO ,,means nimeshindwa..I can't make it...
Unampangia mtu mzima usiyemjua jinsi ya kuishi maisha yake kwenye mambo ya ndoa?

Unaona hilo jambo ni sawa kabisa?

Wewe unayependa ndoa mtu akikuingilia katika hilo akakukataza ndoa utaona sawa?
 
Kwahyo mkuu hata kama una pesa mtoto ahitajiki?duu. Sawa mkuu,,endelea kupoteza wenzio,,,,wakati wewe ukiendelea kufyatua mtoto wa 7 ,,unawaaminisha wenzio mtoto hana faida,,sawa mkuu,,akili za kuambiwa,,changanya na zako...
unapo unaposema faida utaje hata mbili basi tuzipime kama kweli zinamata kwa watu wote,

wewe unachozan ni kwamba mtoto ni hitaji la lazima kwa kila mtu ambapo si kweli kweli mkuu.

hivi unajua kuna watu hawapendi kua hai ndo maana wanajiua sembuse mtoto
 
Unampangia mtu mzima usiyemjua jinsi ya kuishi maisha yake kwenye mambo ya ndoa?

Unaona hilo jambo ni sawa kabisa?

Wewe unayependa ndoa mtu akikuingilia katika hilo akakukataza ndoa utaona sawa?
yani wanahitaji watu wote waishi kwa kanuni na taratibu kama zao za maisha kitu ambayo ni ngumu!

wanasahau kwamba kila mtu anajitahidi kufanya yanayompendeza yeye na nafsi yake na hatufanani matamanio
 
Mtu anapojimaliza maisha yake kwa kujiua,,ni ishara ya kuwa kuna shida Fulani mahali...mkufikia kujiona hana thamani tena ya kuishi,,,mkuu hakuna mtu timamu wa akili na mzima wa afya,,na utayari wa mwili akasema Mimi sihitaji mtoto,,,,wengi wao wakisema sipo tayari kuwa na mtoto maana yake muda haujafika au hajapata mtu sahihi wa kumzalisha lakini yupo tayari kuwa na mtoto hapo baadae,,lakini yule atakaekwambiya mm sitaki mtoto ktk maisha yngu elewa kauli yake imejaa majuto,,,manung'uniko,, kukata tamaa,,kwa kushindwa kupata mtoto,, kwahyo anaposema sitaki mtoto elewa kuna shida mahali.,,
 
Unampangia mtu mzima usiyemjua jinsi ya kuishi maisha yake kwenye mambo ya ndoa?

Unaona hilo jambo ni sawa kabisa?

Wewe unayependa ndoa mtu akikuingilia katika hilo akakukataza ndoa utaona sawa?
Hizo kauli za sizitaki mbichi hizi...hakuna asiye tayari kuwa na mtoto... Wengi wao wenye kauli hizo wana shida mahali..
 
Umewapima vipi kujua hilo?

Wanaoingia utawa na kuacha mambo ya kuwa na familia nao wote ni sizitaki mbichi hizi?

Kama kijijini kwenu watu wana kasumba hiyo ya kufikiri kila mtu anataka mtoto, usifikiri dunia nzima watu wako hivyo.
 
yani wanahitaji watu wote waishi kwa kanuni na taratibu kama zao za maisha kitu ambayo ni ngumu!

wanasahau kwamba kila mtu anajitahidi kufanya yanayompendeza yeye na nafsi yake na hatufanani matamanio
Hapo hapo ukiwaambia wao nao wakubali kupangiwa maisha na wengine kwenye mambo wasiyokubaliana na hao wengine, wanakuwa mbogo!
 
Unampangia mtu mzima usiyemjua jinsi ya kuishi maisha yake kwenye mambo ya ndoa?

Unaona hilo jambo ni sawa kabisa?

Wewe unayependa ndoa mtu akikuingilia katika hilo akakukataza ndoa utaona sawa?
Anashangaza sana mkuu.
 
Umewapima vipi kujua hilo?

Wanaoingia utawa na kuacha mambo ya kuwa na familia nao wote ni sizitaki mbichi hizi?

Kama kijijini kwenu watu wana kasumba hiyo ya kufikiri kila mtu anataka mtoto, usifikiri dunia nzima watu wako hivyo.
Mkuu mbona povu? Au na wewe pia sizitaki mbichi hizi?
 
Hapana, ujue mtu akipiga chafya tu guluguja asiye ubongo wala uti wa mgongo, anayeenda kwa refkex action, lazima aone povu.

Mimi nina kidume miezi michache nyuma kimeshinda ligi ya basketball shuleni nakiandaa kwenda Princeton University kinaweza kuingia NASA au NBA miaka michache ijayo.

Mbegu zangu zilivyo kali hata nisingetaka mtoto ningeweza kumpa mtu mimba kwa kupumua tu,mbegu zingepita hewani,mwanamke aliye karibu nami akiwa katika siku zake angevuta hewa na kupata mimba hapohapo.

Na hata nisingekuwa nacho kidume maisha yangeendelea bila kokoro wala maumivu.

Hata kutafuta dawa ya Corona kunaweza kufanya maisha yawe na maana pengine zaidi ya kuwa na mtoto.

Usikariri kwa vile kijijini kwenu wote wakulima, utajiri wa Muafrika watoto ili uwalimishe, basi kila mtu anafikiri hivyo.

Najua kukubali nilichonacho bila husuda wala wivu.

Kwa nini unaona povu?

Kwa sababu nataka kuonesha kwamba kuna watu wanafikiria tofauti na wewe?
 
Hivi Mkuu .tajiri analala sakafuni tena kwenye mkeka,,halafu akwambiye hapendi kulala kitandani maisha yake yote,,utamuelewa kweli?, pesa alizonazo ni za masharti..sio bure...hakuna mwanadamu aliyekamili akasema mm sitaki mtoto maisha yake yote. atakuwa na shida mahali,,, amini mkuu..lazima atakuwa mbovu wa mwili au kifikra..mkuu mtoto ana raha yake. ,,wewe sikia tu kwa wenzio..
 
Back
Top Bottom