Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 65,023
- 111,442
Raha ya mtoto ni ipi?
Kwa nini kuna watu wanawatelekeza watoto waliowazaa?
Kwa nini kuna wanawake wanawatupa watoto waliowazaa?
Kwa nini kuna watoto wengi wa mitaani wasioishi katika familia na ndugu wanao?
Kwa nini kuna watu wanawatelekeza watoto waliowazaa?
Kwa nini kuna wanawake wanawatupa watoto waliowazaa?
Kwa nini kuna watoto wengi wa mitaani wasioishi katika familia na ndugu wanao?
Hivi Mkuu .tajiri analala sakafuni tena kwenye mkeka,,halafu akwambiye hapendi kulala kitandani maisha yake yote,,utamuelewa kweli?, pesa alizonazo ni za masharti..sio bure...hakuna mwanadamu aliyekamili akasema mm sitaki mtoto maisha yake yote. atakuwa na shida mahali,,, amini mkuu..lazima atakuwa mbovu wa mwili au kifikra..mkuu mtoto ana raha yake. ,,wewe sikia tu kwa wenzio..