Je, ni wangapi wasiotamani kupata watoto?

Je, ni wangapi wasiotamani kupata watoto?

Anafanana yule aliyepanda na akavuna na yule wa kinyume chake ?

Mpaka najiukiza inakuwaje unauliza maswali ya kijinga namna hii, yaani hata kuona utofauti mtu unashindwa, kisha unakuja hoji kadhia hii
hahahah vipi wanaopanda na hawavuni ?

ndo maana nikasema si lazima kwa sababu hakuna uhakika wa mavuno kwa ulichopanda
 
Hiyo paragraph ya mwisho inenifanya nikuone dishi limeyumba

Kwa hiyo unavyojua wewe thamani ya mti ni kuwa na matunda tu pekee

Haujui kuwa miti kwa watu wengine hutumia kama dawa . kivuli .kuni .Ndege kuishi na kutunza mazingira achilia mbali kuzalisha hewa ya oksijen . na kuwa kivutio cha utalii
.daahh wewe jamaa kweli bure
Huko shuleni sijui ulifuata nini ?

Wewe ndio bure kabisa, unafikiri hayo uliyoyataja siyafahamu kwa uchuro wako.

Mada inazungumzia uzazi, alafu nitaje kuni, sijui upuuzi wa Oxygen na blah blah.

Hivi mti bila kuwa na uzao unafikiri ingekuwepo mpaka hivi Leo?
hizo kuni zingekuwepo bila uzazi? hiyo oxygen ingekuwepo bila ya uzazi?

unaongea kama mpuuzi tuu.

Pengine hujui hata Nitrogen Cycle, Carbon cycle, Cycle of life.

ungejua hayo ndio ungejua nazungumzia nini

Binadamu aliyechanganyikiwa ndio hajui maana ya kuzaa.

Kuzaa sio lazima kwa MTU aliyekufa, mtu asiye na akili, mwenye matatizo ya uzazi, asiyejua kwa nini yeye yupo duniani

Sasa kama Wewe umeenda shule usijue Joka anazungumzia nini basi upo kwenye kundi la punguani
 
hahahah vipi wanaopanda na hawavuni ?
Hawa huwekwa kwenye mizani, wale ambao jambo liko nje ya uwezo wao hupewa udhuru wala hawataulizwa kwalo.
ndo maana nikasema si lazima kwa sababu hakuna uhakika wa mavuno kwa ulichopanda
Hakuna aliye shurutisha watu wazae ila tunakataa habari za uongo ya kwamba hawatamani au hawataki watoto.
 
Maana yao katika uumbaji hawana. Sisi ni mfano wa Mungu. Sifa moja wapo ya Mungu ni kuumba, sisi tunshiriki katika uumbaji kwa njia ya kuzaa. Sasa mtu asiyezaa anafaida gani ikiwa alipata muda wa kutosha kufanya hivyo.
mkuu kama kuzaa ni faida kwanini unaishia watoto 2,3,4nk
wakati una mda na uwezo wa kuzaa zaidi
na unapenda kuifanya kazi ya uumbaji na unapenda kuijaza dunia haswaa.

kwanini usizaee mpaka ringi ikatike mzee
 
Hivi mtu akifa akaenda mbinguni kuna kingine kinachomatter tena hapo! Sote tunaishi ili tukifa tuende mbinguni!

Haya mambo ya maana sijui akili hayahusu huko mbinguni! Cha msingi ni kuenda mbinguni hivyo ilimradi hao mitume na manabii walikufa wakaenda mbinguni hayo ya kutokushiriki katika uumbaji hayahusu!

Mtu asiyeacha uzao ndio hufa, lakini kuzaa ni kujizaa. Mtu akizaa huishi kupitia watoto wake.

Hakuna ishu ya kwenda mbinguni, ukifa umekufa ikiwa hukuacha uzao wako.

Uende mbinguni kufanya nini? Yaani kuna watu mmedanganywa kikamilifu.
 
Kwahiyo wewe una akili kumshinda sir isaq Newton . Albert ainstein . Friedrich Nietzsche Nicola tesla . !!?? Maana hao wote hawajawahi kuwa na watoto tena kama huyo Nietzsche aliwahi kusema kwamba watoto ni mizigo ya kujitakia

But ukweli ni kwamba kwa mujibu wako asiyetaka kuwa na mtoto wakati hana tatizo la kiafya huyo atakuwa hana akili na watu hao niliowataja hapo juu wote wana tambulika kuwa walikuwa magenius wakubwa walioweza kuleta michango iliyoweza kuibadilisha dunia na walimwengu wote tumenufaika na tuna endelea kunufaika kupitia michango yao ""

Swali langu kwako je ? Hao hawana akili !!? Maana wote hao hawajawahi kuwa na watoto na je kwakuwa wewe una mtoto au watoto Bila shaka utakuwa na akili nyingi kuliko hao magenius niliowataja ??

Again, wisdom will kill you my friend! [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kwa ufupi ni kua, wote wana sababu tofauti tofauti,
Mwingine hapendi kelele za watoto,
Mwingine anaogopa kubeba mimba,
Mwingine anaogopa uchungu wa kuzaa,
Mwingine anaogopa majukumu,
Mwingine, Mwingine, Mwingine.
Sasa hizi sababu hazi ingii katika kutokutamani au kutokupenda, hawa wanapenda na wanatamani ila wana hofu kwa hayo uliyo yataja.

Kwahiyo hitimisho letu liko pale pale, na ndiyo maana nikawa nasisitiza ya kuwa unipe sababu, ili uone kama wanayo yasema ni kweli na je yana afikiana na hali halisi, ila ukweli ni kuwa uko dhidi yao, na mara ngapi huwa tunawasikia wenzenu wakisema "...natamani kuwa mtoto ila nikifikiria suala la uchungu... ", wengine huwa tunawasikia wakisema "...natamani kuitwa mama, ila nikizaa tu mishe zangu zitasimama... " na mfano wa kauli hizi.
 
Wewe ndio bure kabisa, unafikiri hayo uliyoyataja siyafahamu kwa uchuro wako.

Mada inazungumzia uzazi, alafu nitaje kuni, sijui upuuzi wa Oxygen na blah blah.

Hivi mti bila kuwa na uzao unafikiri ingekuwepo mpaka hivi Leo?
hizo kuni zingekuwepo bila uzazi? hiyo oxygen ingekuwepo bila ya uzazi?

unaongea kama mpuuzi tuu.

Pengine hujui hata Nitrogen Cycle, Carbon cycle, Cycle of life.

ungejua hayo ndio ungejua nazungumzia nini

Binadamu aliyechanganyikiwa ndio hajui maana ya kuzaa.

Kuzaa sio lazima kwa MTU aliyekufa, mtu asiye na akili, mwenye matatizo ya uzazi, asiyejua kwa nini yeye yupo duniani

Sasa kama Wewe umeenda shule usijue Joka anazungumzia nini basi upo kwenye kundi la punguani
Tatizo lako unaongea kana kwamba tumekataza watu wote wasizae! Tunachosema ni kuwa wanaotaka kuzaa wazae ila wasiotaka waachwe siyo lazima kila mti uzae hiyo inayozaa ndiyo inatusaidia katika oxygen na mambo mengine ila hiyo isiyozaa itatusaidia katika mambo mengine kama kivuli, mbao, mkaa na kadhalika!

Hivyo siyo lazima kila binadamu azae na kumbuka kila binadamu yuko na kusudi lake hapa duniani na makusudi hayafanani kwa watu wote! Vitu pekee vya lazima kwa mwanadamu hapa duniani ni kula kulala na kufa hivyo ndiyo kila mtu lazima avifanye lakini eti kuzaa kuoa/kuolewa na kufanya mapenzi au eti sijui kufanikiwa hivyo havina ulazima kufanywa na kila mtu!
 
Labda kwa Mke mmoja. lakini ninawake wawili kila mmoja anawatoto watatu.
kwa nini wawe sita tu na sio kumi na kuendelea?
huoni hautendei haki uwezo aliokupa mungu na unamuangusha katika hitaji lake la kujaza dunia?
 
Nimekuuliza Dunia Ipi hiyo? Pengine huna elimu ya Geographia na mbaya zaidi umeishia hapo Tanzania.

Tena bora hapo Tanzania ungetembea ungejua Dunia bado sana kujaa. Kamwe Dunia haitajaa.

Wewe unasoma Nyaraka wenzako tunatembea tunaona kwa macho. Dunia sio kijiji cha tukuyu Mkuu.

Family planning ipo kimkakati, imelenha biashara. Haina mahusiano na kujaza Dunia.

Agree to disagree.
 
Mkuu sio kwa age yake huyo Dada, ,hapo ni jioni tayari...ameshahangaika sn tu,,bila mafanikio,,ndy analeta kauli hizo...hakuna asiyetaka mtoto mkuu,,,wapo watu wana kila kitu lakini wanaumia sn sababu hawana watoto,,,hivi u wanaume wako upo wapi kama huwezi kudunga mwanamke mimba?hivi uanamke wako upo wapi kama huwezi kufunga mimba?hicho kitu kinawaumiza sn mkuu.,..nikupe mfano mmoja,,,yupo Dada Fulani kaozesha mwanawe kwa jamaa Fulani anapesa zake,,,huu ni mwaka wa kumi na tano jamaa hajapata mtoto,,,wamekwenda kupima hospital kaonekana mume ndy ana matatizo ya uzazi..sasa tabu inakuja mke anataka mtoto,,mume anamwambiya tuishi kwa kulea watoto wa watu,,,mwishowe mama Mkwe akamshawishi mwanae wa kike adai talaka,,,ili aachwe ,,akaolewe pengine aweze kuzaa,,,kesi ipo bakwata,,jamaa hatoi talaka,,,mke kaamua kuacha kila kitu kwa mumewe nyumba,,magari kaacha sababu tu,,na yeye aitwe mama,,,kwahyo mkuu Mimi siamini kama kuna watu hawataki watoto,,,unaweza usihitaji mtoto kwa kipindi Fulani cha maisha,,,lakini sio kuanzia miaka 35 useme sihitaji mtoto,,ni kauli ya kuangaliwa kwa jicho la tatu... Kwa kifupi ni kauli ya kukata tamaa
Mkuu watu tuko tofauti.
 
Mtu asiyeacha uzao ndio hufa, lakini kuzaa ni kujizaa. Mtu akizaa huishi kupitia watoto wake.

Hakuna ishu ya kwenda mbinguni, ukifa umekufa ikiwa hukuacha uzao wako.

Uende mbinguni kufanya nini? Yaani kuna watu mmedanganywa kikamilifu.
Wewe mbona haueleweki aisee? Wewe si ndiyo umetoka kuongelea habari za Mungu na uumbaji sasa mbona unakana kwamba hakuna kuenda mbinguni?

Kwamba unaamini kuwa Mungu yupo na alituumba ila hauamini kama kuna mbingu wala moto? Na kama mtu akifa amekufa sasa kwanini aogope kutokuzaa?
 
Kwahiyo wewe una akili kumshinda sir isaq Newton . Albert ainstein . Friedrich Nietzsche Nicola tesla . !!?? Maana hao wote hawajawahi kuwa na watoto tena kama huyo Nietzsche aliwahi kusema kwamba watoto ni mizigo ya kujitakia
Inabidi tufundishane kuhusu akili na kina nani wana akili.

Lakini hao wote ulio wataja wannaingia katika kundi la watu wasio na akili, sababu maana ya akili inawakataa kulingana na matendo yao. Namaanisha yale waliyo yafanya hayakuwahi kuwaweka katika kundi la watu wenye akili kwa hakika ya akili, vile ni vipawa tu, wanapewa baadhi na wengine wana nyimwa.

Mfano nikikuuliza ni jambo gani ambalo alilifanya Einstein likawa kweli na likamfanya awe na akili ?

Ahsante.
 
naona watu wanalazimisha watu wengine wa"feel" ambavyo wao wanadhanii wange"feel" kama wangekua katika hali hio. kutokua na mtoto

it's too hard to enjoy/suffer something you are not concious aware of .

mi naamini kuna watu hawaitaji watoto na wako huru sana na wala hata hawashtuki hata kidogo .na nijambo la kawaida sana
 
Kila mtu hulipwa thawabu kwa alichofanya. Ila kutunza watoto wa wengine isiwe sababu ya kuvunja sheria ya kutokuzaa ikiwa unambegu na unauwezo wa kupata mtoto.

Kuzaa au kuzalisha ni jambo ambalo hata kichaa anaweza kulifanya maana ni sex tu inahitajika lakini hiyo haimaanishi ana uwezo wa kuwa mzazi.

Kuzaa ni jambo halichukui mwaka kukamilika ila jukumu la mzazi ni kujenga au kuharibu msingi wa maisha ya mtoto. Ni jukumu la kumsimamia mtu hadi pumzi yako ya mwisho.

Kuzaa na kulea ni zaidi ya kutumia maumbile yako uliyojaaliwa . Its more than that
 
Hakuna ishu ya kwenda mbinguni, ukifa umekufa ikiwa hukuacha uzao wako.
Umejuaje hili ? Naomba ushahidi wa hili.
Uende mbinguni kufanya nini? Yaani kuna watu mmedanganywa kikamilifu.
Unatumia vigezo gani kukanusha suala la kwenda mbinguni ? Ukweli ni uli na kwanini na tupe ithibati juu ya unachokiamini.
 
Back
Top Bottom