hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,394
Kazi kweli kweliUsisahau kuna makabila wanazaa watoto wengi ili wapate nguvu kazi ya kulima na kuchunga ng'ombe. Wengine ni ufahari na wengine ndio kama hivyo kupata msaada pale unapozeeka ama kupata matatizo yatakayohitaji watu wa karibu sana..
Ukiangalia wengi wanafanya si kwa sababu ya kuijenga furaha yao ama kuhitaji kutoka ndani yao ila ni standards za jamii tu.
Na sasa hivi watu wanajua elimu ni bure bhasi kazi imekuwa rahisi maana unazaa af mtoto akapatiwe facilities muhimu na mtu mwingine