Denmark ni miongoni mwa nchi za Ulaya na Imani tuliletewa na watu kutoka huko.Imani zilianzia Denmark?
Fuatilia; usidanganywe eti wazungu hawaamini uchawi au hakuna uchawi huko Ulaya.Nitafatilia kuhusu hayo maadhimisho asante kwa huo mfano!
Ulifundishwa ili wale wafundishaji ambao walikuwa ni miongoni mwa wale malaika waasi; waweze kukubalika katika jamii ya binadamu na ikawa ni hatua mojawapo ndipo wakawaoa binti wa binadamu.Uchawi ulifundishwa kwa manufaa gani?
Nitapitia hilo andiko asante
Unataka kununua au kujifunza?Unauzwa wapi uchawi na gharama zake ni zipi?
Impact zinaweza kuwepo ila tafsiri zikawa tofauti watu wawili waliopata tatizo moja mmoja akaenda hospitali na mwingine kwa mganga ila wote wakapata matibabu, dawa ile iwekwe sokoni inabidi iwe effective angalau asilimia 80 hii ina maanisha asilimia ishirini inaweza isitibu je tunaweza kusema dawa hazina impact vile kwenye uchawi huenda unafanya kazi namna hyo kwamba kuna wengine unakuwa effective na wengine unakataa,So wewe hapa upo upande gani Dosho12 kwa wazungu au kwenye utamaduni
Sawa naweza kukubaliana na wewe kwamba uchawi upo na unaweza kutumika kwa hizi njia ulizozitaja
Hivi huo uchawi una impact gani hasa zinazooneka ?
Hilo tukio wewe mwenyewe umelikosea jawabu basi tuliache kama lilivyoMimi kwa mchango wangu ninaweza kushuhudia hiyo #1.
Huko Makete 1999 + Kulikuwa na Adhimisho la Mbio za mwenge (ziara iliyojumuisha watu wengi na kulikuwa na bendi ya muziki enzi hizo maarufu kama kimulimuli ya JKT-Mafinga). Kilikuwa ni kipindi cha mvua(Masika) na hivyo ili mvua isilete changamoto katika zoezi hilo; aliteuliwa mzee mmoja afanye kazi ya kuzuia na kufukuza mvua. Huyo mzee nilimwona na kumchunguza vizuri alichokuwa anafanya na nilienda mbali zaidi na kudodosa wasaidizi wake jinsi inavyokuwa na maelezo walionipa yaliniacha hoi. Na kweli Siku hiyo kutwa nzima eneo letu ambapo ndo mwenge ulikuwa unakimbizwa haikunyesha mvua hata manyunyu kidogo- hakuna. Sasa tuliite tukio hilo ni la nguvu za kichawi au vinginevyo ni coincidence mm cjui ila nnachokumbuka ni Mvua haikunyesha.
Kama una amini kuna negative energy, basi uchawi upo.Hakuna uchawi.
Hakuna Shetani.
Okay 👍Denmark ni miongoni mwa nchi za Ulaya na Imani tuliletewa na watu kutoka huko.
Nifuatilie kwa mtindo upi ili nipate ukweli maana wanaotembelea huko hawaoni hayo mambo ya uloziFuatilia; usidanganywe eti wazungu hawaamini uchawi au hakuna uchawi huko Ulaya.
Hao malaika waasi wao walifundishwa uchawi na nani?Ulifundishwa ili wale wafundishaji ambao walikuwa ni miongoni mwa wale malaika waasi; waweze kukubalika katika jamii ya binadamu na ikawa ni hatua mojawapo ndipo wakawaoa binti wa binadamu.
Kujifunza nikivutiwa ninunueUnataka kununua au kujifunza?
Hapana sikukosa jawabu. Kama umenielewa nimesema nilimwona huyo mzee mteule na kumchunguza alichokuwa anafanya......Hilo tukio wewe mwenyewe umelikosea jawabu basi tuliache kama lilivyo
Au tuombe mzee mwingine mwenye uwezo huo afanye marudio ili tuthibitishe
Mf: kipindi cha jua kali alete mvua
Kwahiyo unakubali kwamba ili uchawi uwepo au ufanye kazi inabidi uwe na imani nao kwanza ?Impact zinaweza kuwepo ila tafsiri zikawa tofauti watu wawili waliopata tatizo moja mmoja akaenda hospitali na mwingine kwa mganga ila wote wakapata matibabu, dawa ile iwekwe sokoni inabidi iwe effective angalau asilimia 80 hii ina maanisha asilimia ishirini inaweza isitibu je tunaweza kusema dawa hazina impact vile kwenye uchawi huenda unafanya kazi namna hyo kwamba kuna wengine unakuwa effective na wengine unakataa,
Pia kwa kuwa uvhawi unatumia imani sana huenda kwa kuwa labda inatokana na energy labda kuna level flani ya energy yako unatakiwa uwe nayo ile uwe effective na unapo amini labda ndio umefika hyo level, ni kama vile madaktari mgonjwa akiwa kwenye hatua mbaya labda kwenye coma ndugu zake huwa wanambiwa angalau waongee naye huenda itasaidia ila kwa kawaida hii haingii akilini ila huenda kuongea naye anapata imani ya kupona na dawa zinafanya kazi vizuri kwa kuwa aliamini atapona, hujawahi kuona jinsi mtu anavyopata nguvu za ziada kwa kuwa tu kaamini kitu fulani anaweza so huenda uchawi unapo kuwa imani na kuwa commited sana ndio utaanza kuona impact zake
Kwahiyo hilo tendo ndiyo uchawi wenyewe na lilikua ni halisi?Hapana sikukosa jawabu. Kama umenielewa nimesema nilimwona huyo mzee mteule na kumchunguza alichokuwa anafanya......
Kwa maneno rahisi au kwa uwazi zaidi naelewa ni kitu gani kinatakiwa ufanye ili Uweze kuizuia mvua hata kama wingu zito limetanda juu yenu. Kwa habari ya siku kuna jua kali alete mvua nakiri sijawahi kuona.
Ndio, kwa kuwa unaweza kupata dalili za kichawi ila ukaona labda ni akili yako inakudanganya, maana kitu alichofanya mzungu ni kufanya dalili zote za uchawi zionakane kama ni mambo ya saikolojia tuKwahiyo unakubali kwamba ili uchawi uwepo au ufanye kazi inabidi uwe na imani nao kwanza ?
Yaani akili yako kwanza ikubali sio?
Tofauti na kipimo cha hospital uamini au usiamini kama ugonjwa upo utapata majibu bila kuitaji kiwango cha imani yako kwenye kipimo?
Personally nimekuwako huko Chuo cha Slagelse Technical School na sijasimuliwa ila nimejionea mwenyewe live. Kama unao marafiki wenyeji wa huko jaribu kuwauliza juu ya hizo habariOkay 👍
Nifuatilie kwa mtindo upi ili nipate ukweli maana wanaotembelea huko hawaoni hayo mambo ya ulozi
Hili ni sawa na kumwuliza Mwl. wako wa somo fulani e.g. Maths eti mwl. ww ulifundishwa na nani kwamba Formula ya kusolve Quadratic eqns inatoa jawabu sahihi? Hapo ninamaanisha ni mpaka watafutwe hao malaika halafu wahojiwe-huenda wakatuambia/wakatujibu. Mimi nimesoma ndani ya kitabu cha Henoko. (Uki-google utakipata hicho kitabu).Hao malaika waasi wao walifundishwa uchawi na nani?
Nakushauri kaa mbali na jambo hilo kwani "Once in; no way out".Kujifunza nikivutiwa ninunue
Sijawahi kushuhudia tukio mubashara la kuleta mvua. Vinginevyo ningeweka hapa.Kwahiyo hilo tendo ndiyo uchawi wenyewe na lilikua ni halisi?
Tuseme ndiyo
Kwanini sasa hiyo nguvu ya kuzuia kama ipo isiwe kinyume chake pia yaan kuleta au kuvuta
Au hiyo nguvu inatumika kwa upande mmoja?
Kwahiyo hapa tunagawana upandeNdio, kwa kuwa unaweza kupata dalili za kichawi ila ukaona labda ni akili yako inakudanganya, maana kitu alichofanya mzungu ni kufanya dalili zote za uchawi zionakane kama ni mambo ya saikolojia tu
Haya sawa mkuuSijawahi kushuhudia tukio mubashara la kuleta mvua. Vinginevyo ningeweka hapa.
ShesRise_1 Hapo sawa, ishu ni mapokeo tu na jinsi aklii yako ulivyoizoesha, mi pia sijawahi kukutana na tukio la uhakika la kuamini ni uchawi huwa najiambia nitakuwa sikuona,kusikia vizuri maana matukio yote nakuwa peke yangu ila nikishushudia na mtu itakuwa ni vizuri ila naamini uchawi upo maana naamini hizi zote ni approach walizotumia watu wa zamani kutaka kujaribu kujua jinsi mwili wa mwanadamu na ulimwengu inavyofanya kazi,Kwahiyo hapa tunagawana upande
Mimi kwa kua uchawi sijaupokea katika akili yangu na kuumini siwezi kuona nguvu yake
Na hata nikiona hicho wewe unachokiita uchawi mimi nita chukulia kama mambo ya saikolojia tu
Huku ukiamini kua uchawi upo kwa sababu aliki yako na imani vinakiri
Na mwisho huo uchawi una jidhihirisha kwako kwa sababu umeuamini
Hapo sawa dosho12
Umeeleweka sana kakaShesRise_1 Hapo sawa, ishu ni mapokeo tu na jinsi aklii yako ulivyoizoesha, mi pia sijawahi kukutana na tukio la uhakika la kuamini ni uchawi huwa najiambia nitakuwa sikuona,kusikia vizuri maana matukio yote nakuwa peke yangu ila nikishushudia na mtu itakuwa ni vizuri ila naamini uchawi upo maana naamini hizi zote ni approach walizotumia watu wa zamani kutaka kujaribu kujua jinsi mwili wa mwanadamu na ulimwengu inavyofanya kazi,
Ukisoma quantum mechanics vitu kama entanglement na superpostion kwamba kitu kinaweza kuwa sehemu mbili tofauti au kitu kuwa connected hata kiwe na umbali gani ila kama hiki kikiwa hivi hapo hapo na kingine kinakuwa kama mwezake hii yote inaelezea ulimwengu haupo kama tunavyojua na ndio maana naipa possibilty kubwa kuwa uchawi unaweza kuwepo ila jinsi ya ku elezea kwa watu ueleweke ndio vigumu
Sawa mkuu asante kwa maoni yako hope tumemaliza vizuri mimi na wewePersonally nimekuwako huko Chuo cha Slagelse Technical School na sijasimuliwa ila nimejionea mwenyewe live. Kama unao marafiki wenyeji wa huko jaribu kuwauliza juu ya hizo habari
Hili ni sawa na kumwuliza Mwl. wako wa somo fulani e.g. Maths eti mwl. ww ulifundishwa na nani kwamba Formula ya kusolve Quadratic eqns inatoa jawabu sahihi? Hapo ninamaanisha ni mpaka watafutwe hao malaika halafu wahojiwe-huenda wakatuambia/wakatujibu. Mimi nimesoma ndani ya kitabu cha Henoko. (Uki-google utakipata hicho kitabu).
Nakushauri kaa mbali na jambo hilo kwani "Once in; no way out".
Utapeli na uchawi havitenganiMbona unaleta mifano ya matapeli wa mjini ili kuhalalisha hoja yako?
Hao wanaoomba picha na namba za simu ni matapeli tu kama matapeli wengine. Uchawi halisi hautegemei google maps au taarifa za kibenki kumfikia mtu. Umekariri wewe.