Je, ni uchawi au saikolojia?

Umesema. ❌️
Umeandika βœ…οΈ
Kumbafu sana wewe πŸ˜…πŸ˜…
Acha kukaza fuvu unaeleweshwa hutaki kuelewa
Jagina ni mvumilivu kweli aisee mi ningeshakulamba vibao πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Hebu jaribu uone nitakavyovunja taya

Thibitisha kama uchawi upo
kama huwezi basi wewe na Jagina msubiri tarehe ya maandamano mpya mkae front
 
Kumbafu sana wewe πŸ˜…πŸ˜…

Hebu jaribu uone nitakavyovunja taya

Thibitisha kama uchawi upo
kama huwezi basi wewe na Jagina msubiri tarehe ya maandamano mpya mkae front
Nisubiri maandamano yapi ? Ya wachawi?

Kama uchawi ni theory tu kwako, kwa nini umefikia hitimisho la uhakika kwamba haupo?
 
Mimi nilikuuliza tu ulete ushahidi wa hizo theori zako kuwa uchawi haupo, si suala la Nani mshindi
Lete kwanza wewe
Ushahidi kama uchawi upo
Nitatumia huo huo ushahidi wako
Kukuekeza unachotaka nikuonyeshe
 
Uchawi upo lakini uthibitisho ndio hakuna, imebaki kuwa nadharia tu. Kwanini uchawi na sio kitu kingine? Kuna mtu yupo pale Bagamoyo anasema ana fisi kama 30 hivi lakini huwaoni unaona kawaida tu lakini ukitaka akutolee au uwaone ni wewe tu.
 
Aisee noma
 
siamini katika uchawi na pia siamani katika story za dini. kuishi hivi hakujawahi kunisababishia tatizo lolote katika maisha. sijawahi kurogwa au dalili yoyote ya kuwa anayeitwa mungu ananiadhibu. naishi maisha yenye furaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…