ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 21,911
- 50,506
- Thread starter
-
- #561
Kaka nitarudi baadae 🙏Mkuu bora umenitetea maana ShesRise_1 anasema naleta Chai utadhani mimi ni mhudumu wa mgahawa 😂😂😂
ShesRise_1 rudi post #543 halafu uje na hoja nikujibu chap kwa haraka
Kwanza hiyo mistari ya bibilia sijaiweka kwa sababu nina iamini sana hapana
Nimeweka kama sehemu tu ya kuonesha dhana ya uchawi ni ya kale sana
Hilo swali la msingi ameuliza nani?Sawa, kama umeweka hiyo mistari ya Biblia kuonyesha tu kwamba dhana ya uchawi ni ya kale, basi hilo halijibu swali la msingi: uchawi ulianza wapi, nani aliufundisha, na kwa kusudi gani?
Who are you 😄Sianzishi ng'o tutabanana humu humu nataka unywe chai mpaka uikinai 😃
Nimesoma post tena namba 543Mkuu bora umenitetea maana ShesRise_1 anasema naleta Chai utadhani mimi ni mhudumu wa mgahawa 😂😂😂
ShesRise_1 rudi post #543 halafu uje na hoja nikujibu chap kwa haraka
Hilo swali la msingi ameuliza nani?
Kwa sababu mimi kwenye bandiko langu kutumia mistari ya Biblia na Qur’an sio kwamba et nakubaliana na uchawi na bla bla zake hapana
Nilitumia hiyo mistari kama sehemu tu ya kuonesha hiyo dhana ya uchawi ambayo ki msingi haina faida yoyote ilianza zamani sana
Sasa wewe mkuu mpaka sasa nikipitia reply zako nashindwa kuelewa unaongelea kitu gani
Mimi binafsi sikubaliani na habari za uchawi naamini baadhi ya mambo watu wanayodai ni uchawi sometimes ni issue ya saikolojia
Nachokiona ktk majibu yako ni gape LA maarifaKama ni hivyo mbona ni rahisi sana KUTHIBITISHA mkuu………. Kwasababu hiyo ni pure science
Changamoto ni kwamba kila mtu anaye AMINI uchawi anakuja na NADHARIA yake
Mfano, ni kweli wachawi wanaruka na ungo, wanageuza watu fisi, wanahamisha hela au mazao shambani kwenda kwao nk nk kwa kuchanganya vitu kadhaa?
Sasa wewe kwa akili zako timamu unaona kuna ugumu gani wa kuthibitisha hapo?
Kwanza umejujaje? Wewe ni mchawi au mchawi alikupa hizo taarifa? Au unasikia tu kwa watu?
Hivi wewe kwanini unapenda kuona watu hawana maarifa au maarifa yao ni madogo kisa tu hawa fikiri kama unavyofikiri weweNachokiona ktk majibu yako ni gape LA maarifa
Mkuu hebu nyooka nikueleweNimekuelewa mkuu. Sikusema kwamba wewe unaamini uchawi wala kwamba mistari uliyoweka ina maana unakubaliana nao. Hoja yangu ilikuwa kwenye swali la chanzo na uhalisia wa uchawi, kwa sababu ulisema dhana hiyo ilianza zamani sana na kwamba baadhi ya mambo yanayoitwa uchawi yanaweza kuwa ya kisaikolojia.
Kwa hiyo nilikuwa natenganisha mambo mawili: mjadala wa kihistoria kuhusu dhana ya uchawi, na imani kwamba uchawi wenyewe upo. Kama wewe unaona kwamba uchawi hauna msingi na baadhi ya matukio yanaelezeka kisaikolojia, hilo ni jambo linaloweza kujadiliwa kwa ushahidi.
Lakini kusema tu kwamba “dhana ya uchawi ni ya kale” hakutoshi kuthibitisha kwamba uchawi haupo. Vivyo hivyo, mimi sikudai kwamba kila jambo linaloitwa uchawi lazima liwe uchawi.
Tukubaliane kwanza kwenye swali tunalolijadili, ndipo tutazame ushahidi bila kuchanganya hoja.
Ndio hadi sasa hakuna uthibitisho wa kisayansi wa uchawi, na ndio sababu kuu ya kuonekana hakuna uchawi.Kwahiyo tunakubaliana HAKUNA UTHIBITISHO kwamba uchawi upo?
Kumbe unazungumzia baadhi ya mambo tu?Hilo swali la msingi ameuliza nani?
Kwa sababu mimi kwenye bandiko langu kutumia mistari ya Biblia na Qur’an sio kwamba et nakubaliana na uchawi na bla bla zake hapana
Nilitumia hiyo mistari kama sehemu tu ya kuonesha hiyo dhana ya uchawi ambayo ki msingi haina faida yoyote ilianza zamani sana
Sasa wewe mkuu mpaka sasa nikipitia reply zako nashindwa kuelewa unaongelea kitu gani
Mimi binafsi sikubaliani na habari za uchawi naamini baadhi ya mambo watu wanayodai ni uchawi sometimes ni issue ya saikolojia
Ndiyo baadhi ya mamboKumbe unazungumzia baadhi ya mambo tu?
Leo mchana nilikuwa nasikiliza kipindi cha njia panda ambacho huwa kinarushwa kila jumapili katika radio ya clouds fm, huwa wanaalika wageni pale ambao wanaeleza changamoto zao hasa zinakuwa za kiafya ili wapate kuchangiwa wakapate matibabu.Ndiyo baadhi ya mambo
mengine ni theory kabisa hata hayapo
Ina maana huyo mtoto alitembea papo hapo mara baada ya kuchanjwa?Leo mchana nilikuwa nasikiliza kipindi cha njia panda ambacho huwa kinarushwa kila jumapili katika radio ya clouds fm, huwa wanaalika wageni pale ambao wanaeleza changamoto zao hasa zinakuwa za kiafya ili wapate kuchangiwa wakapate matibabu.
Sasa kuna mdada katika kuelezea changamoto za mtoto wake mwenye kuhitaji msaada akaeleza tukio moja kwamba mwanae alikuwa anachelewa sana kutembea, imani ikaja kuwa karogwa hivyo huyo mtoto akapelekwa kwa mganga akachanjwa dawa na kweli akaanza kutembea.
Sasa nikajiuliza hapo saikolojia imefanyaje kazi kwa huyo mtoto ambaye hata hakuwa akielewa kinachoendelea hadi akaweza kutembea baada ya kutumia dawa ya mganga ambayo mama yake ndiye aliamini mwanae karogwa?
Okay
Nakubaliana na wewe 100%Nachokiona ktk majibu yako ni gape LA maarifa
Sio kuonekana………. Ni kwamba HAUPO kwasababu haujawahi KUTHIBITISHWA upo.Ndio hadi sasa hakuna uthibitisho wa kisayansi wa uchawi, na ndio sababu kuu ya kuonekana hakuna uchawi.
Hili ndio TATIZO KUBWA SANA la watu wa IMANI………….. kazi yenu ni KUSIKIA kisa cha kichawi na kisha KUAMINI 100%Leo mchana nilikuwa nasikiliza kipindi cha njia panda ambacho huwa kinarushwa kila jumapili katika radio ya clouds fm, huwa wanaalika wageni pale ambao wanaeleza changamoto zao hasa zinakuwa za kiafya ili wapate kuchangiwa wakapate matibabu.