Je; Ni SMS Zipi Za Mapenzi Za Kukuacha Hoi Ulizokutana Nazo ?!

u should pay rent for spending so much time in my head,lol!

Is that an SMS to me? Oooh My . . . . so sweet . . .

Baby Angel wangu King'asti nakuaahidi leo hii nitakulipa kodi ya wewe kutuwekea SMS zako ulizowahi tuma na kukutumia. Ukipenda nakuhahidi . . . .

LOL Mkuu nimeshasahau hata Gear za kuingilia . . .
 
weeh,umeshaanza kutangaza sera!si tunaweka sms za enzi hizo?hiyo ni massawee aliniandikiaga,ila naweza kui-dedicate kwako manake na nyie si ndo mnavyofanyaga?manake e-mail moja inatumiwa 5 ladies,lol!
 
Wifi mbona mumenitupa?Hata sms za uongo na kweli hamna!? Sorry SM mi hizo msg za kudanganyana hua sikumbuki maana hata kurudia kusoma hua sirudii...
 
Duh!

King umeniacha hoi, nimecheka sana. Hujatulia wewe!

Sasa uki-idictate kwangu na Massawe akaiona? Ujue ni jirani yangu hapa ana kigorofa chake.

Hebu niambie hii ya SMS/Email moja kwa 5 ladies . . . au ndo zenu nini . . . .

SMS ya "habari ya asubuhi Sweetheart, I miss you baby, I love u baby" inapigwa CC kwa Dada's au kaka's 5. LOL
 
Mkuu; sasa wewe na mchungaji mkiwa mbali mbali na mkitaka kuliwazana mnatumiana nini?

Au kwenu ni za Kijeshi jeshi tu . . . . "We mama nanhii, hebu njoo huko niku . . . . " LOL
 
Hee jamani wifi ina maana PM, msg na email hazifiki?kuna haja ya kuweka mkongo wa mawasiliano wa familia!ama ndo unasoma unasahau,manake za kwetu za ukweli banaa sio za uongo!

weeh achana na massawee saa hizi bia ziko kichwani hata macho hayaoni! mi nilijua nyie mabingwa wa ku-cc,mbona wataka kunibadilishia kibao yakhee? mi nasikiliza uongo wa massawee,natulia tulii kama nanyolewa vile,sina papara!
 
Hio ya tatu ilinifanya consideration ambazo nilikua nazo juu ya jamaa ziyeyuke kabisaaaaa. Mistari ya kukalili na kufoward SIO kabisa! Alivyokua anaonekana na hio msg yani tofauti ile mbaya.
 
Mkuu; sasa wewe na mchungaji mkiwa mbali mbali na mkitaka kuliwazana mnatumiana nini?

Au kwenu ni za Kijeshi jeshi tu . . . . "We mama nanhii, hebu njoo huko niku . . . . " LOL

Hahahaha SM acha kunichekesha!Hua tunatumiana ila sio hizo za WIZI MTUPUU.Tunatumiana za maneno yanayotoka kwetu sisi wenyewe sio zilozofowadiwa kwa wengine mia tangu wiki ianze!
 
Hee jamani wifi ina maana PM, msg na email hazifiki?kuna haja ya kuweka mkongo wa mawasiliano wa familia!ama ndo unasoma unasahau,manake za kwetu za ukweli banaa sio za uongo!
Wifi usikute kuna mtu anachakachua msg zangu...yani tangu juzi nalia mmenisusa hata za kufowadiwa siambulii!
 
<p>

</p>
<p>&nbsp;</p>
wifi mi nadhani uangalie hao wakina sipiyuu na yule mwingine,maybe wana password yako.manake sasa nadhani hata chocolate na flowers hupati sasa?au ndo wanaku-forwardia kwa ujiko wao kama alivyojifyagilia hapa superman!
 
Wifi chokoleti tena??Mbona sijaonja hiyo kitu nna mwezi?Haki ya nani kuna mtu hataki nifaidi...ngoja niwapigie tufanye mkakati wa kuwadhibiti wachakachuaji!
 
" i will call u after soccer"
"is soccer more important than me"
"No,No , how NO"

"I'm at soccer practice"
"Do u have five minutes" ???
" Babe we are already start"

"are u coming to see me this holiday"??
"i told you I have got soccer tournament"
"No u didn't "
"I'm so sorry babe" " i thought i did"

Hey babe can we call our first kid "Soccer"????????
 
Nina diploma ya kukujali degree ya wivu master ya ubunifu phd ya mapenzi na ninaweza nikawa mzoefu kazini je nitapata ajira kwako?
 
Naitwa Nditeze Aron nipo KIGOMA ebwana me mwenyewe sms zinanijenga kwani niki4ward kwa demu ananikubali kishenzi, ongeza ziwe nyingi.
 
Kwa kawaida busu la mafanikio hubusiwa usoni, busu la amani hubusiwa mashavuni, busu la upendo hubusiwa mdomoni, busu la mapenzi hubusiwa shingoni, Je wapi nikubusu ili ulale kwa raha sweet ?
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom