Je; Ni SMS Zipi Za Mapenzi Za Kukuacha Hoi Ulizokutana Nazo ?!

hehehe,sms bana nazo noma sana aisee.mi za uongo nazipenda hadi leo,haziniishi hamu!lol
 
atakae nitumia msg kama hizo nitamuona kama Tapeli mmoja labda kwa watoto wa shule ukiwatumia hizi watatabasamu Jtatu mpaka Ijumaa, Jmos anakupa kidate cha thoda na chips
 
atakae nitumia msg kama hizo nitamuona kama Tapeli mmoja labda kwa watoto wa shule ukiwatumia hizi watatabasamu Jtatu mpaka Ijumaa, Jmos anakupa kidate cha thoda na chips

Mkuu FL1;

Ni ya kweli hayo? Mhhhh . . . . . . !

Tuambie basi BF wako au Husband wako akitaka kukuchombeza au wewe ukitaka kumchombeza au mkikorofishana anakutumia SMS gani?
 
atakae nitumia msg kama hizo nitamuona kama Tapeli mmoja labda kwa watoto wa shule ukiwatumia hizi watatabasamu Jtatu mpaka Ijumaa, Jmos anakupa kidate cha thoda na chips

unajua FirstLady1 bado wapo,
wanawake( watu wazima) bado wanadanganyika kwa thoda na chips?,
njoo huku kwetu utawaona!!!!!
 
" i will call u after soccer"
"is soccer more important than me"
"No,No , how NO"

"I'm at soccer practice"
"Do u have five minutes" ???
" Babe we are already start"

"are u coming to see me this holiday"??
"i told you I have got soccer tournament"
"No u didn't "
"I'm so sorry babe" " i thought i did"

Hey babe can we call our first kid "Soccer"????????
Second born Rugby
 
atakae nitumia msg kama hizo nitamuona kama Tapeli mmoja labda kwa watoto wa shule ukiwatumia hizi watatabasamu Jtatu mpaka Ijumaa, Jmos anakupa kidate cha thoda na chips
Niko tayari kutoa uhai wangu kwa ajili yako, ukibisha najiua lol
 
Ukitolewa Nje kistaarabu bila kuleta vurugu:
"Naamini sitaweza kuwa na wewe katika mapenzi ingawa I am in love "
 
Hakikisho la mapenzi:

. . umeingia moyoni mwangu kukutoa itakuwa ngumu sana,wajua moyo huwa unafunguliwa mara moja hasa kwa ile true love . . .
 
"Nasikitika na huwa najiuliza sana kwa nini hukunikuta niko single naamini haya mapenzi yote unayohitaji yangewezekana bila kikwazo chochote"
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom