Je; Ni SMS Zipi Za Mapenzi Za Kukuacha Hoi Ulizokutana Nazo ?!

Hio ya tatu ilinifanya consideration ambazo nilikua nazo juu ya jamaa ziyeyuke kabisaaaaa. Mistari ya kukalili na kufoward SIO kabisa! Alivyokua anaonekana na hio msg yani tofauti ile mbaya.

Ilikuwaje Mkuu?
 
nikinywa maji nakuona kwenye glass,usiku silali nakuwaza ww kipenzi ulie mbali na upeo wa macho yangu.Kadi zangu za Bank ntakupa lkn password ntakaa nazo mm ili tudumishe penzi letu.
 
~ Is it the looks in your eyes or is it this dancing juice, who cares baby.. i think i wanna marry you..
 
birthday

The day and time spent with u is speechless. It was ur birthday but the privileges is all mine. I really appreciate the efforts made. Happy birthday SWEETHEART!! May u are always blessed and loved. Dont u stop loving me !! And Always remember this i love u
 
Napenda niwe mpangaji wa kudumu ndani ya moyo wako. Je nafasi ipo
 
Naapa abadani penzi langu sitalitoa asilani ingawa upo mbali nami, nakupenda amini kwako nimefika, nitunzie langu penzi wasije niibia washenzi.
 
Mtoto mzuri umeumbika kama malaika nikilala naota nipo nawe nikinywa maji nakuona kwenye glass nipenafasi niwe mpangaji wa maisha yako!
 
Mume mwenye hekima hasiti kuonesha hisia zake kwa mke wake na si kimada chake, najua unanipenda na katu huwezi nitenda!
 
Mawingu yametanda napanda kwenye kitanda, macho nayaangaza, taratibu navuta shuka na kujitanda, mishumaa pembezoni inaniangaza, mziki laini wanibembeleza kitu pekee nilichokikosa ni joto lako na vijimambo vyako kunako kitanda!
 
Leo ni zaidi ya mwezi toka tumeyaanza yetu mapenzi na kila kukicha nakuota kwenye njozi ukinipa majambozi na huishi uchokozi, sijui lini nitaacha hizi njozi kwa kunipa laivu lako penzi, nakupenda mpenzi
 
Sijui nini chakukukwambia furaha moyoni kila saa yanijia tangu ulivyoniambia mimba ndiyo ishaingia hivyo mtoto nikaye nikimtarajia, nakupenda dear hakika wewe pekee ndiye wangu malkia!

 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom