NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,854
Haya mambo siyo fantasy, ni mambo yapo kabisa kuhalisia. Kila mwanadamu kapewa matamanio, wake kwa waume, haya matamanio yasipopunguzwa huwa si ajabu kuzuka mabalaa. Kwa hali hii kuna baadhi ya wanaume wasio na uwezo wameshakubali matokeo na kuwatafutia wake zao njia mbadala.
Mwanaume anajiona kabisa kwenye sekta ya mkazo ana F, anaona kabisa kuchapiwa hakuepukiki na kuna uwezekano mkubwa wa kumfumania mke wake, anachofanya ni kujiongeza mwenyewe kumtafutia mke wake Bull, hawa ma Bull kazi yao huwa ni kuwapunguzia ashki wake zao.
Kutafuta Bull inaweza kuwa kwasababu:
Sasa je, kimantiki hii kitu ipo sawa?

- Jogoo hapandi mtungi.
- Kuwahi kumaliza.
- kupata majeraha sehemu za kati n.k.
Sasa je, kimantiki hii kitu ipo sawa?