Brother huna shida ya nguvu za kiume. Acha punyeto pamoja na kuanglia Picha na Video za ngono

Mjina Mrefu

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
3,030
3,324
Wakuu,

Vijana wengi sasa hivi wamekuwa wakijihisi wana matatizo ya nguvu za kiume kumbe ni wazima kabisa.

Matatizo mengi ya nguvu za kiume husababishwa na kuangalia sana picha za ngono na Punyeto.

Picha/ video za ngono hukufanya uzoee kuona nyeti za mwanamke na hivyo kukufanya usipate hisia kali pale unapokua na mwenzi wako.

Punyeto hulegeza misuli ya uume hivyo huufanya umalize kwa haraka au ushindwe kusimama vizuri wakati wa tendo.

Sababu nyingine ni woga (anxiety) wakati wa tendo. Punguza woga na uwe relaxed. Utapiga show nzuri tu.

Pamoja na hayo, kuna baadhi ya watu ambao wana shida za kiafya ambayo zinawafanya washindwe kuwa na nguvu za kiume.

Wahi kwa Daktari, matatizo haya kwa kiasi kikubwa yanatibika

Naomba kuwasilisha.
 
ndo utafute mtu basi, uache kupiga nyeto😎
Ndo nakusaka wewe huyo
IMG_20220713_230946.jpg
 
We kaza fuvu
Kwa wale walokua addicted mfano asubui atapiga , jioni atapiga na usiku atapiga ndo hupata hizo effects ila kwa wale wanaopiga walau mara mbili kwa mwezi au mara moja kwa wiki hawana haya madhara
napiga nyeto mara 4 mpaka 5 kwa siku, kila siku
leo mpaka mda huu niko cha 4
hayo madhara ni hisia zenu

1. naokoa pesa
2. sipati UTI
 
Back
Top Bottom