Je, ni sahihi kwa wapendanao ( wanandoa & wapenzi ) kutumia video za ngono kama muongozo wawapo faragha?

Denda hata leo kwa wenye timamu ni ujinga, rudi huko kwenu ndani ndani kamata manzi uanze mambo ya denda uone.

Utasikia “usinilambe lambe kama jibwa”..!!
mkuu, kumbe na wewe yalikukuta? Mie niliambiwa "kama wanitenda ntende lakini usinitende kama Jibwa" (usiniramberambe)hiyo ni baada ya kutaka kupiga mbizi chumvini.
 
Back
Top Bottom