Huiji tourism mkuu, Tafuta difinition tourism na usome types of Travel and Tourism, kwa taarifa hata mgonjwa anapotoka Tanzania na kwenda India hosp anaingia kwenye tourism forms. Tuna aina aina mbili za utalii ambazo ni utalii wa ndani na utalii wa kimataifa, mfano wa utalii wa ndani ni Kutoka may Dar to Arusha na Arusha to DAR. Utalii wa kimataifa mfano ni pale unapotoka Tanzania to Kenya, bila kujali umeenda kufanya nini, iwe umefuata demu, umefuata mme, umeenda hosp nk. Kundi ambalo halingii kwenye utalii ni wanajeshi lakini baada ya vita wale wakaguzi wanaonda kukagua au kufanya analysis ya vita bado wanaingia kwenye tourism form.There is a difference between pilgrimage and tourism.
Hao watu hivi waliyokuwa wakienda kuhiji huko Makka kwa sababu kuna vivutio kwa ajili ya kustarehe au wanakwenda kufanya ibada?
Kama ukiisoma history vizuri hao waarabu wamekuwa influenced na miungu mingi kutoka pande za Sham ambao ndiyo walikuwa wakitengeneza sanamu za watu wao watukufu na kuwaomba kwa baraka zao ili Mungu awakubaliye maombi yao.
Uthibitisho unaotaka wewe wa kuthibitisha kuwa kuna Mungu, umeushaufanya mgumu na umeshajenga kwenye akili yako kuwa huyo Mungu hayupo vipi utakubali hoja yoyote? Hivi mimi niseme ndugu yangu Kiranga una matatizo ya akili na hatuwezi kuamini kuwa wewe ni mzima mpaka uthibitishe kuwa una akili timamu kwa vigezo tuvitakavyo sisi, hapo kuna uhalisia au kuna vurugu mechi?
Kwa kukusaidia haya ni makundi ya utalii na watalii duniani.
- Adventure Tourism
- Atomic Tourism
- Bicycle Tours
- Beach Tourism
- Cultural Tourism
- Ecotourism
- Geotourism
- Industrial Tourism
- Medical Tourism
- Religious Tourism
- Rural Tourism
- Sex Tourism
- Space Tourism
- Sports Tourism
- Sustainable Tourism
- Virtual Tourism
- War Tourism
- Wildlife Tourism