Je, ni kweli kuna sehemu takatifu duniani au ngonjera na ukoloni wa kijamii?

There is a difference between pilgrimage and tourism.
Hao watu hivi waliyokuwa wakienda kuhiji huko Makka kwa sababu kuna vivutio kwa ajili ya kustarehe au wanakwenda kufanya ibada?
Kama ukiisoma history vizuri hao waarabu wamekuwa influenced na miungu mingi kutoka pande za Sham ambao ndiyo walikuwa wakitengeneza sanamu za watu wao watukufu na kuwaomba kwa baraka zao ili Mungu awakubaliye maombi yao.
Uthibitisho unaotaka wewe wa kuthibitisha kuwa kuna Mungu, umeushaufanya mgumu na umeshajenga kwenye akili yako kuwa huyo Mungu hayupo vipi utakubali hoja yoyote? Hivi mimi niseme ndugu yangu Kiranga una matatizo ya akili na hatuwezi kuamini kuwa wewe ni mzima mpaka uthibitishe kuwa una akili timamu kwa vigezo tuvitakavyo sisi, hapo kuna uhalisia au kuna vurugu mechi?
Huiji tourism mkuu, Tafuta difinition tourism na usome types of Travel and Tourism, kwa taarifa hata mgonjwa anapotoka Tanzania na kwenda India hosp anaingia kwenye tourism forms. Tuna aina aina mbili za utalii ambazo ni utalii wa ndani na utalii wa kimataifa, mfano wa utalii wa ndani ni Kutoka may Dar to Arusha na Arusha to DAR. Utalii wa kimataifa mfano ni pale unapotoka Tanzania to Kenya, bila kujali umeenda kufanya nini, iwe umefuata demu, umefuata mme, umeenda hosp nk. Kundi ambalo halingii kwenye utalii ni wanajeshi lakini baada ya vita wale wakaguzi wanaonda kukagua au kufanya analysis ya vita bado wanaingia kwenye tourism form.
Kwa kukusaidia haya ni makundi ya utalii na watalii duniani.
  1. Adventure Tourism
  2. Atomic Tourism
  3. Bicycle Tours
  4. Beach Tourism
  5. Cultural Tourism
  6. Ecotourism
  7. Geotourism
  8. Industrial Tourism
  9. Medical Tourism
  10. Religious Tourism
  11. Rural Tourism
  12. Sex Tourism
  13. Space Tourism
  14. Sports Tourism
  15. Sustainable Tourism
  16. Virtual Tourism
  17. War Tourism
  18. Wildlife Tourism
 
Huiji tourism mkuu, Tafuta difinition tourism na usome types of Travel and Tourism, kwa taarifa hata mgonjwa anapotoka Tanzania na kwenda India hosp anaingia kwenye tourism forms. Tuna aina aina mbili za utalii ambazo ni utalii wa ndani na utalii wa kimataifa, mfano wa utalii wa ndani ni Kutoka may Dar to Arusha na Arusha to DAR. Utalii wa kimataifa mfano ni pale unapotoka Tanzania to Kenya, bila kujali umeenda kufanya nini, iwe umefuata demu, umefuata mme, umeenda hosp nk. Kundi ambalo halingii kwenye utalii ni wanajeshi lakini baada ya vita wale wakaguzi wanaonda kukagua au kufanya analysis ya vita bado wanaingia kwenye tourism form.
Kwa kukusaidia haya ni makundi ya utalii na watalii duniani.
  1. Adventure Tourism
  2. Atomic Tourism
  3. Bicycle Tours
  4. Beach Tourism
  5. Cultural Tourism
  6. Ecotourism
  7. Geotourism
  8. Industrial Tourism
  9. Medical Tourism
  10. Religious Tourism
  11. Rural Tourism
  12. Sex Tourism
  13. Space Tourism
  14. Sports Tourism
  15. Sustainable Tourism
  16. Virtual Tourism
  17. War Tourism
  18. Wildlife Tourism
Uwepo wa ibada ya hija ni wa zamani hata kabla mfumo wa utalii kuwepo, hata kama utalii utajumuisha na safari za matibabu, biashara, kidini n.k. Itafika wakati hata mtu akienda kazini nje ya mahali anapoishi tutasema ni utalii (Work tourism). Sishangai kwa kuwa ndivyo tunavyoishi hata neno GAY limetoka kwenye uhalisia wake wa furaha mpaka kuja kuitwa mwanamme aliyekuwa shoga.
 
Uwepo wa ibada ya hija ni wa zamani hata kabla mfumo wa utalii kuwepo, hata kama utalii utajumuisha na safari za matibabu, biashara, kidini n.k. Itafika wakati hata mtu akienda kazini nje ya mahali anapoishi tutasema ni utalii (Work tourism). Sishangai kwa kuwa ndivyo tunavyoishi hata neno GAY limetoka kwenye uhalisia wake wa furaha mpaka kuja kuitwa mwanamme aliyekuwa shoga.
Soma historia vizuri wewe, kabla ya ujio wa waarabu, wareno, waingereza na wajerumani nipe historia ya mtu mweusi alienda hija, waafrika tulikuwa na ibada zetu za matambiko na mizimu, walivokuja hawa waheshimiwa wakatwambia ibada zetu hazifai. Kifupi tuna mapokea ndo maana hizi dini zimekaa kimaeneo zaidi, walikopita waarabu kuna uislam walikopita wazungu kuna ukristo.
Mimi sijaongea kuhusu gaysim bali nimeongea kuhusu tourism, labda kidogo maneno ya kiswahili hayajitoshelezi lakini kwa kiingereza kuna tafsiri za kutosha kabisa kwamba wewe unapotoka nyumbani kwako kwenda kazini ni mtalii kwa maana ya (Excursionist) huu ni utalii ambao hauzidi masaa 24 (Excursionist stay less than 24 hours.) Mtalii ni yule ambaye anaenda sehemu kwa ajili ya shughuli fulani, au starehe fulani kwa muda usiopungua saa 24, na usiozidi miezi 6,(Tourist stay more than 24 hours and less than 6 months). Kuna Visitor ( mgeni) huyu hukaa si chini ya masaa 24 lakini si zaidi ya mwezi ( They stay more than 24 hours and less than 1 month).
Kwa lugha nyingine ni kwamba wewe ukitoka nyumbani kwako au kwenu na ukaenda mahali ukapata huduma zile ambazo ungepata ukiwa nyumbani wewe tunakuita mtalii, Ukienda kukutana na mchepuko guest wewe ni mtalii ktk kundi la sex tourism kwa utalii wa ndani, ukienda kusalimia jamaa wewe ni mtalii, ukienda hosp wewe ni mtalii, ukienda kwa ajili ya ibada wewe ni mtalii.
 
Inamfaa nani? 1977 mpaka leo ni miaka 1,000?

Inawafaa waliosema mimi nimenukuu tu maneno yao

Lingine ni kuwa kama dini ime survive miaka zaidi ya 1400 sidhani kama zitatoweka hata kama maisha yanabadilika ila bado dini zitakuwepo tu, na hayo ni mawazo yangu nawe una yako
 
Ukisoma Quran na Biblia utaona logical errors na contradictions nyingi sana zinazothibitisha kilichoandikwa humo si maneno ya Mungu. Ni maneno ya watu tu wanaosema kuwa ni maneno ya Mungu.

Mfano, kuna sura inasema kwamba kuna watu wengine wabishi sana wala msihangaike nao.

Allah amewaziba macho na masikio, na amefanya mioyo yao kuwa mizito kumuelewa.

Kwa watu hao, Allah atatoa hukumu kubwa sana.

Sasa hapo mtu akitumia logic ndogo tu ataona kuwa haya ni mameno ya watu, si maneno ya Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.

Kwa sababu Mungu mwenye uwezo wote akikuziba macho, masikio na moyo usimjue, huwezi kumjua.

Na usipomjua ni kwa sababu yeye kakuziba usimjue.

Sasa hapo atakuja kukupa hukumu wewe aliyekuziba macho, masikio na moyo usimjue?

Yani huyo Allah Mungu wa haki anakuziba macho, masikio na moyo usimjue, kisha usipomjua anakupa adhabu kali kwa sababu hujamjua?

Ukisoma mambo kama haya unaona kabisa hapa huu mchongo wa watu tu, huyo Allah fiksi tupu hayupo.


Sahih International

Indeed, those who disbelieve - it is all the same for them whether you warn them or do not warn them - they will not believe.

2:7

Sahih International

Allah has set a seal upon their hearts and upon their hearing, and over their vision is a veil. And for them is a great punishment.
Kiranga ungeanza kusoma kutoka mwanzo wa hiyo sura ndipo ungeweza kupata ufahamu mzuri wa nini kusudio kwa nini Mungu anawapiga muhuri wasiyoamini na atawaadhibu.
Katika mafunzo ya tafsiri ya Quran kuna kitu kinatwa sababu ya kuteremshwa kwa aya au sura, kwa kuwa Quran haijateremshwa yote kwa wakati mmoja ilikuwa ikiteremka kutokana na uhitaji wa wakati maalum, aidha kuna swali limeulizwa au kuna tukio limetokea au kuna bishara njema au mbaya kwa wanadamu na mfano wake. Hivyo basi tukirudi kwenye sura ya 2:7 Quran inazungumzia wale watu waliyokanusha baada ya kuletewa uongofu ndiyo hao watakaopigwa mihuri kwenye mioyo yao, katika masikio yao na katika macho yao. Mungu anafanya hivyo pale ambapo binadamu amekanusha haki, lakini kama akirudi kwa Mola wake husamehewa.

Surah Az-Zumar Verse 53​

Say, "O My servants who have transgressed against themselves [by sinning], do not despair of the mercy of Allah. Indeed, Allah forgives all sins. Indeed, it is He who is the Forgiving, the Merciful."
 
Corona noma sana imewaumbua hatari.
Yaani holy place inafungwa sababu ya virus nilifikiri hizi sehemu zilitakiwa kuwa kimbilio letu kipindi cha Corona.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Kwanza salamuni wana jamvi.

Huwa siachi kujiuliza tena kwa kusononeka nisikiapo maeneo kama Jerusalem na Makka na mengine yakiitwa matakatifu kana kwamba dunia iliyobaki ni chafu. Huwa sipati jibu. Ajabu ya maajabu, sehemu tuambwazo ni takatifu ni majangwa yasiyo na uzuri wowote kuishi viumbe! Sehemu zenyewe ni vumbi na vurugu tupu. Hebu tuelimishaneni na kujielimisha.

Hivi kuna sehemu takatifu kuliko Afrika hapa duniani ambapo hata maadui zetu ambao walituletea huu ujinga wanakiri kuwa ndiko chimbuko la watu wote? Je si kweli kuwa watu wote ni waafrika hasa ikizingatiwa kuwa asili yao ni Afrika?

Kwangu binafsi, nadhani–––kama ni utakatifu–––basi dunia yote ni takatifu hasa ikizingatiwa kuwa takriban sayari zote zilizomo angani hazina maisha wala uzuri kama wa dunia.

Naomba kutoa hoja wanangu.

Sehemu TAKATIFU .... The Middle East .... ndiyo Center ya Bloodshed hapa duniani na violence zote zinatokea huko.

Living is easy with eyes closed... misunderstanding all you see.

Ninaomba siku moja Muafrika apate CERVEAU, Na hizo pesa wanazotumia kwenda kutembelea hayo maeneo TAKATIFU zitumike kusaidia maskini na fukara katika nchi zao.
 
Hata kama ubishi wangu wa kupinga Mungu ni manufactured reality, hilo halithibitishi Mungu yupo.

In fact mimi najua kwamba, kuna mengi sijui na hivyo kuna aspects za arguments zangu ziko based on some assumptions ambazo hazijakamilika. Lakini najua Mungu wenu hayupo.That's like saying sijui square root ya 2 in decimal kamili ni nini kwa sababu ni irrational number, lakini najua si 10.

Hivyo, wewe huniambii kitu kipya unaposema kwamba ubishi wangu uko based kwenye manufactured reality.

In fact the very notion of "reality" itself, as we know it, is questionable.

Ukisoma sana physics utaona kuwa the universe is more elastic, relativistic, probabilistic and holographic than concrete, static, clockwork reality based.

Which makes God even more questionable, not less so.

But I doubt you will understand that.

So, when you talk about manufactured reality, what is reality?

He will not understand what you have put forth. His CERVEAU imezungukwa na hayo maandishi ya KIARABU. It takes a touch of genius and concerted efforts to emancipate oneself.
-
They are suffering from COGNITIVE DISSONANCE. Even if they are presented with TRUTH refuting their FOI: they will create AD HOC reasons to RESCUE their faith.
-
It is a CANCER that has refused to respond on any CHEMOTHERAPY.
 
Ifike mahala tuambiane ukwel na sio kuendekeza uongo na uzushi wa watu wachache kutawala akil za wachacge, hiv Uyo Mungu ni mkatil kias gan akaamua kuleta din zake afrika kwa njia ya mateso, mauwaji na unyonyaji kwamba hakuwa na chaguo lingine zaid ya kumlazmisha mtu mweusi aamn kila kitu bila kuhoji?? Huu ni upumbv just imagine bila izo dini kuja Afrika tusingemjua Mungu??, ama kabla ya awa wakolon kuja hatukumjua Mungu? Je ni vip wale walokufa kabla ya dini kuja??simple and clear ukitumia akil ndogo tu ukafikil bas utajua tu dini zote ni sawa, lengo lao wote ni saw, mungu wao wkwa erufi ndogo ni sawa, yaan dini zote ni uzushi wa kumtawala mwanadam kifikra nakumuwekea ukomo wa fikra na uoga wa kijinga uku masterplan wakijinasibu na kufaidika na ujinga wenu wa kushika dini,,huna haja ya dini ili umjue Mungu,,Afrika si kwel kuwa tulkuwa tunaabudu mizim, sio kwel mbna hata ukristo nao ni aina ya umizim ndiomaana kuna umwagaji wa damu , kunywa damu ya mzimu yesu ambaye alkufa kitambo, kuabudu mizim ya akina maria bikra, kutumia matambiko na ibada zakishetan mfano damu ya yesu yaan uyo alishajifia uko alafu still anamwaga damu? Yaan ukimuomba tu anavuja damu tena ili ifanye kazi? Au kuna benk yake ya damu kwmba ukiitaj inatoka kuja fanya kazi?,mungu anaeruhusu taifa lake feki kuuwa watu,kubaka,kunyonga na ushoga uko israel,na kwa waarabu ndio basi tenaa hawana hata lakujitetea, inshort ukifuatilia hata ayo majina ya miungu akina jehova,elohim,elishadai,Jesus yoote n miungu ya wazungu wa kale na si MUNGU wakwel,,,afrika tuna Mungu wa kwel nivile tumeaariti mila ma destur zetu tukakumbatia ushenz wa mtu mweupe, Ipo siku mtaelewaView attachment 1786512View attachment 1786513View attachment 1786514View attachment 1786515
FB_IMG_16093146078627081.jpg
 
KWANZA:
Mungu ni nani? (Ni Alfa na Omega, Muumba wa mbingu na nchi). Haya sawa, twende kwenye alichokifanya kwenye uumbaji. Moja ya uumbaji wake ni binadamu wa kwanza Adam na Hawa. Sawa kabisa, haya Adam na Hawa wakazaa watoto Kaini na Abeli (Hongera zao). Kaini akamuua Abeli (Pole kwa familia).

Sasa nataka kupata majibu yenye mtiririko mzuri kama nilivyo elezea hapo juu kutokana na Vitabu vya Dini (Kristo/Kiislamu). Uzao uliofuata kutokea kwa waliobakia ambao ni binadamu watatu tu. Kwa sababu naambiwa Kaini akaoa mke, huyo Bibie alitokea wapi?


PILI:
Mungu ni Alfa na Omega (Mwanzo na Mwisho). Anajuwa mwanzo wako na mwisho wako. Swali langu ni kuwa kwanini nipambane kila kukicha kuomba/kusali, kutoa sadaka, kuungama Dhambi zangu ili tu nikifa niende Mbinguni. Kama anajuwa mwisho wangu ni motoni sasa hiyo si biashara kichaa? Kwasababu alipangalo Mungu mwanadamu hawezi pindisha.

TATU:
Mungu alishusha Amri/maneno matakatifu kwa Mesiah wake (Very Good of Him). Alishushaje? Na kwanini hao na siyo mwingine na hata zaidi ya mmoja ili watu waamini kuwa huyo mtu mmoja hadanganyi? Kwanini kwa kipindi cha miaka hiyo na siyo wakati wa Adamu na Hawa ambao kizazi chao kinazaidi ya miaka ya Dini zote Duniani? Maana yake kuna Babu/Bibi yangu alikuwepo kabla ya hizi dini ningependa na yeye amjue Mungu. Kwahiyo sasa wote hao kabla ya dini wapo wapi?

NNE:
Mungu anaumbaje Mwanadamu kama kiumbe mwenye masharti ya kwenda mbinguni na siyo viumbe wengine? Kwanini amuumbe Binadamu ili tu ateseke duniani na bado ateseke kwenda mbinguni? Yani asumbuke Kuumba ili tu mwisho wa siku aangalie mtu akichomeka motoni "masiha" yake yote baada ya kufa?

TANO:
Aliumba Mbingu na Ardhi, hapa Vitabu vya dini vinaongelea Dunia tu au pamoja na sayari nyingine? Aliumba Binadamu kwa mfano wake mwenyewe maana yake ni kwamba mapungufu yote ya mwanadamu pia yeye anayo? Kwamba kama tunakisirani na yeye anao, wivu naye anao, uvivu na yeye anao, Hasira na yeye anao?

SITA:
Vitabi vitakatifu (Biblia "Ufunuo") vinataja idadi ya watu watakao chukuliwa na atakayeshuka kutoka mbinguni. Ile namba ya wale watu niwaambie tu ukweli hata mkoa niliyopo ni ndogo sana. Duniani tupo zaidi ya 7 Billion. Watoto wadogo tu ambao wamezaliwa kwa siku duniani wanazidi hiyo idadi, kwhy Mzee Baba atawaacha hao watoto au? Na akiwachukua mbona makamanda wangu wengi mtakuwa mmechana Mkeka.

Vitabi vitakatifu (Biblia) vinasema mwisho wa siku baada ya kufanikiwa kwenda Mbinguni, tutajumuika na wenzetu pamoja na malaika kumtukuza Bwana. Hapa duniani tunachofanya hakitoshi? Kwasababu kama nikuimba na kucheza Kwaya kwakweli kwa upande wangu sitaweza nitachoka.


Hitimisho:
Mimi nimekulia kwenye familia ya Dini (siwezi taja jina), pia nimefanikiwa kujifunza dini ya upande wa pili ambayo pia ni kongwe hapa nchini. Nilichogundua, binadamu hasa waafrika tupo rigid (hatupendi mabadiliko). Dhana ya hakuna haja ya kubadili kitu kama hakijavunjika. Pia, waafrika kihalisia tunapenda imani ya imagination ili mradi tuwe na kitu cha kuamini. Mfano; kuamini kuna Laana. Hicho kitu kwetu hakiwezi isha kwasababu kinakuja na maumbile ya yetu waafrika. Ninacho amini mimi ni Nature, I'm part of it and Nature is God thus, I am also God myself.
 
He will not understand what you have put forth. His CERVEAU imezungukwa na hayo maandishi ya KIARABU. It takes a touch of genius and concerted efforts to emancipate oneself.
-
They are suffering from COGNITIVE DISSONANCE. Even if they are presented with TRUTH refuting their FOI: they will create AD HOC reasons to RESCUE their faith.
-
It is a CANCER that has refused to respond on any CHEMOTHERAPY.
I have seen this cancerous growth time and again.

The cognitive dissonance is so palpable, you could cut it with a knife.
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom