Je, ni kweli kuna sehemu takatifu duniani au ngonjera na ukoloni wa kijamii?

Akili ikiwa huru utaweza kuhoji na kujibu maswali mengi kuhusu imani za dini ila ukifungwa akili hata ukiambia Leo yesu anakuja wakati alishakufa utakubali tu na utaweza kufa au kupoteza uhai wako au mali zako kwa kumsubiri mtu aliyekufa eti afufuke kama walivyokufa wafuasi wa kibwetere
 
Yani unaambiwa kwako Mmakonde si patakatifu, kwangu Muarabu, Myahudi au Muhindi ndiko patakatifu.

Na wewe unakubali?

Hapo hakuna utakatifu, ila ujinga wako unaweza kufanya kile kitu kinaitwa "self fulfilling prophecy" ukapafanya hapo pahali kukubalika kuwa ni patakatifu.

Umenikumbusha habari moja ya Elijah Muhammad, kiongozi wa "The Nation of Islam", kikundi cha Waislamu wa Marekani kikichovuma sana kuanzia miaka ya 1950s.

Elijah Muhammad aliendesha Uislamu tofauti sana na Uislamu wa Shia au Sunni, wake ulikuwa wa kisiasa zaidi kwa watu weusi dhidi ya weupe. Aliita watu weupe mashetani. Huku ndiko alikopatia umaarufu Malcolm X.

Sasa kuna kipindi Waislamu wa kweli huko ma Sunni wakawa wanamshtukia, wakamuona anafanya utapeli, wakataka kumuadabisha.

Elijah Muhammad naye akawajia juu, akawaambia mkinibana sana mambo yangu, nitawaambia wafuasi wangu waache kuelekea Kibra ya Mecca kqtika salat, waelekee Kibra yetu mpya ya Chicago.

Elijah Muhammad alielewa kwamba hizi sehemu takatifu hazijawekwa na Mungu, ni sehemu zimetungwa na watu tu.

Mwishowe wakamuachia afanye anavyotaka, na Waislamu wa Marekani chini yake wakaendelea kuelekea Kibra ya Mecca.

Watu wana uwezo wa kutengeneza kitu kinaitwa "manufactured reality".

Leo hii tunajivunia nchi inaitwa Tanzania.Tunaadhimisha Muungano. Kabla ya 1964 hili jina Tanzania wala nchi ya Tanzania haikuwapo. Imetungwa tu na kina Nyerere na Karume. Lakini ndiyo nchi yetu.

Na kabla yake mzungu alikuja akafanya mpaka wa koloni lake. Mpaka umemtenganisha Mmasai wa Longido na wa Kenya, hawa ndugu jirani kabisa, wamekuwa katika nchi mbili tofati.

Tunaambiwa huyu Mmasai yuko nchi moja na Mmakonde wa Mtwara, na Mmakomde wa Mtwara naye katenganishwa na ndugu yake aliye upande wa pili wa mto Ruvuma aliye Msumbiji. Huyu Mmasai na Mmakonde wamekuwa ndani ya nchi moja Tanzania licha ya kuwa mbali sana, na ndugu zao kabila moja majirani kabisa wanakuwa wako nchi nyingine kwa sababu ya mipaka ya kuwekwa na watu.

Yani watu wanajiundia ukweli wao, wanafanya kitu kisicho kweli kikawa kweli.

Mifano ni hela za makaratasi, hazina thamani, ni watu tu wamezipa thamani.

Na hizo sehemu takatifu ni hivyo hivyo.

Watu tu wameamua kuzipa utakatifu.
Wewe kuwa mtu basi ni utukufu tosha, kwani kama ungekuwa hayawani sijui ungekuaje. Na utukufu ni hali ambayo mwanadamu kwa imani yake ndiye mwenye kuamini utukufu wa kitu, mahala au mtu. Kuna watu wameweza kuaminisha sehemu fulani ni takatifu kama Makka au Jerusalem na ikaaminika hivyo si vibaya na kama kuna mtu ataweza kuwaamninisha watu kuwa Afrika ni sehemu takatifu kutokana na hoja atakazoweza kuzitoa na uhalisia uliyofanya iwe hivyo. Usisahau kuna watu wameshasema Africa ni "shithole" sasa kumwambia ni takatifu ni kazi ngumu.
Ukweli wa kutengeneza ni tofauti na ukweli wa uhalisia, kuna waongo wenye kupindisha ukweli na kuonekana mkweli ni muongo na muongo ni mkweli na hiyo kwa sisi wa imani ya kiislamu tumeshatanabahishwa kitambo.
عن أبي هريرة رضي الله عنه قال: قال رسول الله صلى الله عليه وسلم: ((سيأتي على الناس سنوات خدّعات، يُصَدق فيها الكاذب ويُكذَّب فيها الصادق، ويُؤتمن فيها الخائن ويُخوَّن فيها الأمين، وينطق فيها الرويبضة))، قيل وما الرويبضة يا رسول الله ؟ .. قال: «الرجل التافه يتكلم في أمر العامة»
It was narrated from Abu Hurairah that the Messenger of Allah (ﷺ) said:
“There will come to the people years of treachery, when the liar will be regarded as honest, and the honest man will be regarded as a liar; the traitor will be regarded as faithful, and the faithful man will be regarded as a traitor; and the Ruwaibidah will decide matters.’ It was said: ‘Who are the Ruwaibidah?’ He said: ‘Vile and base men who control the affairs of the people.’”

Manufactured Reality, Fabricated Perception and Constructed Conception
Education is a lucrative corrupt market BUT offered as a method of transmitting knowledge
and insight,
Freedom is torture and terror BUT defined as the right to do and say what you like,
Truth is manufactured by powerful leaders BUT regarded as the opposite of falsehood,
Honor killing is an abominable heinous practice But adored as an honorable glorious event.
Corrupt Politicians are charlatans BUT camouflaged as philanthropic holy saviors,
Prisoners are helpless victims BUT disgraced and locked up as dangerous rascals,
Wars are savage conflicts BUT glorified as divine patriotic missions,
Women are graceful entities BUT victimized by violent patriarchal whims and idiocy,
Children are molested used and abused BUT manifested as bundles of fun and love,
Poets are imaginative creative minds BUT depicted as ludicrous fools,
Teachers are pathetic laborers BUT depicted as fountains of divine love and knowledge,
Celebrities are ordinary uninspiring idiots BUT promoted by media through fame , money
building multimillion dollar empires,
Ignorant stupid presidents are winners of shallow power struggles and political cutthroat BUT
illustrated as glowing examples of perfection,
Politics is a dirty game of orchestration and deception BUT scientifically explained as
organized management of communities,
Students are scapegoats of faulty educational systems BUT represented as significant learners,
Poverty is a rich man’s fun BUT described as economic regulation and austerity measures,
Love is a malignant disease BUT glorified as tenderness and romance,
Brutal Police are criminals BUT dressed up as protective military forces,
Time is a merciless destructor BUT viewed as a great healer,
Cinemas are rendezvous for brainless lovers BUT described as buildings where brains and art
meet,

Nature is target of man’s destructive stupidity BUT seen as heavenly source of life, birth, and
soul,
Martyrs are victims of oppressors’ greed and dictators’ lust savagery and lies BUT praised as
brave heroes,
Nationality is the norm for one’s stigma glory success or failure BUT depicted as ethnic
background,
Suicide is modern man’s cure or sign of honor BUT dishonored as offence against God ,
Schools are institution of manipulation, indoctrination and radicalization BUT displayed as
learning environments,
Hunger is man’s chronic pandemic illness BUT concealed by thick affluent corrupt despots,
Immigration is man’s dangerous tragic last resort BUT treated with hatred, and brutality,
Music is now noise pollution BUT pictured as the art of harmony, melody, and rhythm of man’s
soul and heart,
Passports are instrument of victimization, criminality, rights and privileges BUT are simply
meant to be only a travel document certifying nationality and identity,
Slavery is still prevalent, a sign of wealth and influence BUT denounced as inhumane and
uncivilized,
Marriage is a contract forced and enforced by ignorant parents BUT reflected as free tender
fusion of a man and a woman,
BUT………………..
August 5, 2016
Ali Rahimi
 
Kwanza salamuni wana jamvi.

Huwa siachi kujiuliza tena kwa kusononeka nisikiapo maeneo kama Jerusalem na Makka na mengine yakiitwa matakatifu kana kwamba dunia iliyobaki ni chafu. Huwa sipati jibu. Ajabu ya maajabu, sehemu tuambwazo ni takatifu ni majangwa yasiyo na uzuri wowote kuishi viumbe! Sehemu zenyewe ni vumbi na vurugu tupu. Hebu tuelimishaneni na kujielimisha.

Hivi kuna sehemu takatifu kuliko Afrika hapa duniani ambapo hata maadui zetu ambao walituletea huu ujinga wanakiri kuwa ndiko chimbuko la watu wote? Je si kweli kuwa watu wote ni waafrika hasa ikizingatiwa kuwa asili yao ni Afrika?

Kwangu binafsi, nadhani–––kama ni utakatifu–––basi dunia yote ni takatifu hasa ikizingatiwa kuwa takriban sayari zote zilizomo angani hazina maisha wala uzuri kama wa dunia.

Naomba kutoa hoja wanangu.
Binadamu ni rahisi sana kumdanganya, hasa Akiwa na njaa na masikini, hawa wazungu na waarabu walitafuta namna ya kuwatawala watu, Chukua mwezi mzima kufuatilia TV station kubwa ya kimataifa na utagundua 85& ya taarifa inayotolewa ni kama movie wanajua inakwenda kuishia mahali fulani
 
Wewe kuwa mtu basi ni utukufu tosha, kwani kama ungekuwa hayawani sijui ungekuaje. Na utukufu ni hali ambayo mwanadamu kwa imani yake ndiye mwenye kuamini utukufu wa kitu, mahala au mtu. Kuna watu wameweza kuaminisha sehemu fulani ni takatifu kama Makka au Jerusalem na ikaaminika hivyo si vibaya na kama kuna mtu ataweza kuwaamninisha watu kuwa Afrika ni sehemu takatifu kutokana na hoja atakazoweza kuzitoa na uhalisia uliyofanya iwe hivyo. Usisahau kuna watu wameshasema Africa ni "shithole" sasa kumwambia ni takatifu ni kazi ngumu.
Ukweli wa kutengeneza ni tofauti na ukweli wa uhalisia, kuna waongo wenye kupindisha ukweli na kuonekana mkweli ni muongo na muongo ni mkweli na hiyo kwa sisi wa imani ya kiislamu tumeshatanabahishwa kitambo.
عن أبي هريرة رضي الله عنه قال: قال رسول الله صلى الله عليه وسلم: ((سيأتي على الناس سنوات خدّعات، يُصَدق فيها الكاذب ويُكذَّب فيها الصادق، ويُؤتمن فيها الخائن ويُخوَّن فيها الأمين، وينطق فيها الرويبضة))، قيل وما الرويبضة يا رسول الله ؟ .. قال: «الرجل التافه يتكلم في أمر العامة»
It was narrated from Abu Hurairah that the Messenger of Allah (ﷺ) said:
“There will come to the people years of treachery, when the liar will be regarded as honest, and the honest man will be regarded as a liar; the traitor will be regarded as faithful, and the faithful man will be regarded as a traitor; and the Ruwaibidah will decide matters.’ It was said: ‘Who are the Ruwaibidah?’ He said: ‘Vile and base men who control the affairs of the people.’”

Manufactured Reality, Fabricated Perception and Constructed Conception
Education is a lucrative corrupt market BUT offered as a method of transmitting knowledge
and insight,
Freedom is torture and terror BUT defined as the right to do and say what you like,
Truth is manufactured by powerful leaders BUT regarded as the opposite of falsehood,
Honor killing is an abominable heinous practice But adored as an honorable glorious event.
Corrupt Politicians are charlatans BUT camouflaged as philanthropic holy saviors,
Prisoners are helpless victims BUT disgraced and locked up as dangerous rascals,
Wars are savage conflicts BUT glorified as divine patriotic missions,
Women are graceful entities BUT victimized by violent patriarchal whims and idiocy,
Children are molested used and abused BUT manifested as bundles of fun and love,
Poets are imaginative creative minds BUT depicted as ludicrous fools,
Teachers are pathetic laborers BUT depicted as fountains of divine love and knowledge,
Celebrities are ordinary uninspiring idiots BUT promoted by media through fame , money
building multimillion dollar empires,
Ignorant stupid presidents are winners of shallow power struggles and political cutthroat BUT
illustrated as glowing examples of perfection,
Politics is a dirty game of orchestration and deception BUT scientifically explained as
organized management of communities,
Students are scapegoats of faulty educational systems BUT represented as significant learners,
Poverty is a rich man’s fun BUT described as economic regulation and austerity measures,
Love is a malignant disease BUT glorified as tenderness and romance,
Brutal Police are criminals BUT dressed up as protective military forces,
Time is a merciless destructor BUT viewed as a great healer,
Cinemas are rendezvous for brainless lovers BUT described as buildings where brains and art
meet,

Nature is target of man’s destructive stupidity BUT seen as heavenly source of life, birth, and
soul,
Martyrs are victims of oppressors’ greed and dictators’ lust savagery and lies BUT praised as
brave heroes,
Nationality is the norm for one’s stigma glory success or failure BUT depicted as ethnic
background,
Suicide is modern man’s cure or sign of honor BUT dishonored as offence against God ,
Schools are institution of manipulation, indoctrination and radicalization BUT displayed as
learning environments,
Hunger is man’s chronic pandemic illness BUT concealed by thick affluent corrupt despots,
Immigration is man’s dangerous tragic last resort BUT treated with hatred, and brutality,
Music is now noise pollution BUT pictured as the art of harmony, melody, and rhythm of man’s
soul and heart,
Passports are instrument of victimization, criminality, rights and privileges BUT are simply
meant to be only a travel document certifying nationality and identity,
Slavery is still prevalent, a sign of wealth and influence BUT denounced as inhumane and
uncivilized,
Marriage is a contract forced and enforced by ignorant parents BUT reflected as free tender
fusion of a man and a woman,
BUT………………..
August 5, 2016
Ali Rahimi
Hata huyo Allah ni manufactured reality.

Ndiyo maana mpaka leo hakuna aliye prove Allah yupo.
 
Hiyo strategic tourism plan, ukiangalia sehemu zote zinazoitwa takatifu watu huenda kwa wingi hivo nchi husika uingiza pato la kutosha kupitia hao watalii wanaoenda kuutafuta utakatifu ili hali huku wanakotoka wamedhulum maskini, wameua nk nk.

Mfano Mecca ni wanyama wangapi wanauzwa wakati wa kumaliza hiyo ibada? Hotel rooms ngapi zinakuwa booked.
Ukisoma historia ya Uislamu Mecca walikuwa na strategic tourism plan na watu walienda kuhiji miaka mingi hata kabla mtume Muhammad hajazaliwa.

Waarabu walikuwa na miungu yao kibao wanaifanyia hija Mecca, Uislamu umeizima hii miungu nankuweka Mungu mmoja.

Lakini hata huyo Mungu mmoja Allah, hakuna anayeweza kuthibitisha yupo kweli na si wa hadithi tu.
 
Inawezekana ubishi wako wa kupinga Mungu ni manufactured reality pia, you never know.
Hata kama ubishi wangu wa kupinga Mungu ni manufactured reality, hilo halithibitishi Mungu yupo.

In fact mimi najua kwamba, kuna mengi sijui na hivyo kuna aspects za arguments zangu ziko based on some assumptions ambazo hazijakamilika. Lakini najua Mungu wenu hayupo.That's like saying sijui square root ya 2 in decimal kamili ni nini kwa sababu ni irrational number, lakini najua si 10.

Hivyo, wewe huniambii kitu kipya unaposema kwamba ubishi wangu uko based kwenye manufactured reality.

In fact the very notion of "reality" itself, as we know it, is questionable.

Ukisoma sana physics utaona kuwa the universe is more elastic, relativistic, probabilistic and holographic than concrete, static, clockwork reality based.

Which makes God even more questionable, not less so.

But I doubt you will understand that.

So, when you talk about manufactured reality, what is reality?
 
Father of All nakumbuka tulipokuwa tunafundishwa tafsiri ya Quran sura ya Tembo (105), tuliambiwa mfalme Abraha alikuwa akichukizwa sana na jinsi watu wakienda kufanya ibada (Hija) kwa kuzuru mji wa Makka, basi akaamua kwenda kuvunja ile Kaaba, na matokeo yake ndiyo yale yanayosimuliwa kwenye hiyo sura.

Kwa kuwa tunapashana habari si vibaya tukipitia kwenye link ya Wikipedia na kuangalia mfalme aliyetaka kutengeneza sehemu yake takatifu na kutaka kuharibu sehemu takatifu ya wenzi wake.

Vumilika mwanangu shukrani kwa kuongeza welewa na maarifa. Link uliyotuma imenitajirisha sana kimaarifa. Shukrani sana mwanangu.
 
Ukisoma historia ya Uislamu Mecca walikuwa na strategic tourism plan na watu walienda kuhiji miaka mingi hata kabla mtume Muhammad hajazaliwa.

Waarabu walikuwa na miungu yao kibao wanaifanyia hija Mecca, Uislamu umeizima hii miungu nankuweka Mungu mmoja.

Lakini hata huyo Mungu mmoja Allah, hakuna anayeweza kuthibitisha yupo kweli na si wa hadithi tu.
There is a difference between pilgrimage and tourism.
Hao watu hivi waliyokuwa wakienda kuhiji huko Makka kwa sababu kuna vivutio kwa ajili ya kustarehe au wanakwenda kufanya ibada?
Kama ukiisoma history vizuri hao waarabu wamekuwa influenced na miungu mingi kutoka pande za Sham ambao ndiyo walikuwa wakitengeneza sanamu za watu wao watukufu na kuwaomba kwa baraka zao ili Mungu awakubaliye maombi yao.
Uthibitisho unaotaka wewe wa kuthibitisha kuwa kuna Mungu, umeushaufanya mgumu na umeshajenga kwenye akili yako kuwa huyo Mungu hayupo vipi utakubali hoja yoyote? Hivi mimi niseme ndugu yangu Kiranga una matatizo ya akili na hatuwezi kuamini kuwa wewe ni mzima mpaka uthibitishe kuwa una akili timamu kwa vigezo tuvitakavyo sisi, hapo kuna uhalisia au kuna vurugu mechi?
 
Uthibitisho si ninaoutaka mimi tu, tunaweza kuweka misingi mizuri.

Kwanza kabisa, unaikubali mantiki katika kutafuta uthibitisho wa vitu, mambo na hoja?

Do you accept logic or do you not accept logic?

Tunaweza kuanzia hapo kwanza ili kuepuka vurugu mechi.

Vurugu mechi hata mimi siitaki, nataka elimu.
 
Mwanangu Kiranga kwanza big up. Ni wachache wenye taamuli na utambuzi kama wako. Tungekuwapo kama milioni moja Afrika, sina shaka tungeweza kuwavusha wenzetu wanaotapeliwa hadi kujifunza kujichukia na kuchukiana kwa upuuzi huu unaoitwa imani ambapo matapeli kama Gwajima wameutumia na kuwa matajiri. Wangejua waarabu na wayahudi, wahindi na wazungu wanavyotubagua wasingepwakia huu upumbavu wa dini.

Hata hii dhana ya Mungu mmoja waliiba Afrika
Kwenye andiko lako umeeleza kuwa umekuwa ukitafakari kwa muda mrefu kuhusu maeneo fulani ya dunia kuitwa matakatifu. Vema.

Hatahivyo, andiko lako ni pungufu kwa sababu tafakari yako haijazingatia mambo msingi.

Kwa mfono, nilitegemea katika tafakari yako ungefafanua "utakatifu"---- "takatifu" ni nini? Hili hujalifanya. Sababu hii peke yake inafanya andiko lako kukosa maana.

Maeneo uliyoyarejelea yana historia yake katika dini ya kikristo na kiislamu.

Hivi ndivyo katika dini ya asili kulikuwa pia na maeneo matakatifu.

Hiyo dini ya asili ya wafrika unayoisema, ilikuwa pia na maeneo matakatifu. Hata leo katika jamii au koo mbalimbali Afrika maeneo hayo yapo.

Kwahiyo kama unaangali mambo kwa makini, utaona kuwa mambo haya yako pote wakati wote: wakati wa sheria ya asili na sheria ya Musa (dini ya asili) na wakati wa sheria ya Kristo (dini ya kikristo na dini ya kiislamu) na popote duniani.

Hivyo,

Swali ni: "Kwanini maeneo hayo yanaitwa matakatifu"?

Sababu ni za kiroho. Ukristo ulianzishwa na Yesu huko Israel (Jerusalemu) na uislamu ulianzishwa na Mohamed huko Macca. Hapa kuna swali muhimu zaidi katika kujua kwanini maeneo hayo yanaitwa matakatifu.

Swali hilo ni:

Yesu ni nani? (Yesu alikuwa nani: historia yake na maisha yake --- hayo mamlaka ya kuanzisha dini aliyatoa wapi; kwa vipi Yesu ni mtakatifu? )
Mohamed ni nani? (Mohamed alikuwa nani: historia yake na maisha yake --- hayo mamlaka ya kuanzisha dini aliyatoa wapi; kwa vipi Mohamedi ni mtakatifu?)

Aidha, katika dini ya asili pia kulikuwa na sababu kwa nini maeneo yaliitwa matakatifu au yanaitwa matakatifu. Kwa vyovyote vile yanahusishwa na mtu mtakatifu.

Kwahiyo kama nilivyosema hapo mwanzo msingi wa hoja ni utakatifu.

Hivyo swali ni, utakatifu ni nini?

Tunajuaje kuwa mtu fulani alikuwa mtakatifu?

Alama au ishara au vigezo au mambo gani yanathibitisha kuwa mtu alikuwa mtakatifu?

Mambo hayo ni yapi? Na kwa nini?

Tukiweza kuyafafanua hayo vizuri tutaweza kuelewa kwanini maeneo fulani yanaitwa matakatifu.

Tufahamu kwanza utakatifu ni nini.
 
Mwanangu nashukuru kwa maelezo yako mareeefu ingawa hayana mengi. Nadhani kama umesoma kwa makini, utagundua kuwa nimesema haraka bila kupoteza muda kuwa hakuna sehemu takatifu kama Afrika. Hayo maeneo unayosema yapo Afrika. Asante sana mwanangu.
 
Uthibitisho si ninaoutaka mimi tu, tunaweza kuweka misingi mizuri.

Kwanza kabisa, unaikubali mantiki katika kutafuta uthibitisho wa vitu, mambo na hoja?

Do you accept logic or do you not accept logic?

Tunaweza kuanzia hapo kwanza ili kuepuka vurugu mechi.

Vurugu mechi hata mimi siitaki, nataka elimu.
Logic inakubalika, kwa msaada wa logic leo tumeweza kutengeneza computer.
 
Ukisoma Quran na Biblia utaona logical errors na contradictions nyingi sana zinazothibitisha kilichoandikwa humo si maneno ya Mungu. Ni maneno ya watu tu wanaosema kuwa ni maneno ya Mungu.

Mfano, kuna sura inasema kwamba kuna watu wengine wabishi sana wala msihangaike nao.

Allah amewaziba macho na masikio, na amefanya mioyo yao kuwa mizito kumuelewa.

Kwa watu hao, Allah atatoa hukumu kubwa sana.

Sasa hapo mtu akitumia logic ndogo tu ataona kuwa haya ni mameno ya watu, si maneno ya Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.

Kwa sababu Mungu mwenye uwezo wote akikuziba macho, masikio na moyo usimjue, huwezi kumjua.

Na usipomjua ni kwa sababu yeye kakuziba usimjue.

Sasa hapo atakuja kukupa hukumu wewe aliyekuziba macho, masikio na moyo usimjue?

Yani huyo Allah Mungu wa haki anakuziba macho, masikio na moyo usimjue, kisha usipomjua anakupa adhabu kali kwa sababu hujamjua?

Ukisoma mambo kama haya unaona kabisa hapa huu mchongo wa watu tu, huyo Allah fiksi tupu hayupo.

Sahih International

Indeed, those who disbelieve - it is all the same for them whether you warn them or do not warn them - they will not believe.

2:7

Sahih International

Allah has set a seal upon their hearts and upon their hearing, and over their vision is a veil. And for them is a great punishment.
 
Hata hawa pia wanaona kwao ni patakatifu
Ila kwa kweli duniani kuna mambo
Hebu fikiria mtu aliwazaje mwili wake uhifadhiwe hivyo na wengine waje kumuabudu?
IMG_0860.jpg
 
View attachment 1765887
Ukishafariki hujui kinachoendelea kwa hiyo si kama anaumia.

Hapo unaweza kukuta washaambiwa kufanya hivyo wanapata thawabu kubwa sana unaweza kukuta walishindana kupata hiyo nafasi.

Miaka 1,000 ijayo watu wengi watasoma Biblia na Quran na kushangaa sana watu waliamini vipi hivi vitabu kuwa ni maneno ya Mungu?
 
Ukisoma Quran na Biblia utaona logical errors na contradictions nyingi sana zinazothibitisha kilichoandikwa humo si maneno ya Mungu. Ni maneno ya watu tu wanaosema kuwa ni maneno ya Mungu.

Mfano, kuna sura inasema kwamba kuna watu wengine wabishi sana wala msihangaike nao.

Allah amewaziba macho na masikio, na amefanya mioyo yao kuwa mizito kumuelewa.

Kwa watu hao, Allah atatoa hukumu kubwa sana.

Sasa hapo mtu akitumia logic ndogo tu ataona kuwa haya ni mameno ya watu, si maneno ya Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.

Kwa sababu Mungu mwenye uwezo wote akikuziba macho, masikio na moyo usimjue, huwezi kumjua.

Na usipomjua ni kwa sababu yeye kakuziba usimjue.

Sasa hapo atakuja kukupa hukumu wewe aliyekuziba macho, masikio na moyo usimjue?

Yani huyo Allah Mungu wa haki anakuziba macho, masikio na moyo usimjue, kisha usipomjua anakupa adhabu kali kwa sababu hujamjua?

Ukisoma mambo kama haya unaona kabisa hapa huu mchongo wa watu tu, huyo Allah fiksi tupu hayupo.

Sahih International

Indeed, those who disbelieve - it is all the same for them whether you warn them or do not warn them - they will not believe.

2:7

Sahih International

Allah has set a seal upon their hearts and upon their hearing, and over their vision is a veil. And for them is a great punishment.
Asante mwanangu una bongo la hoja.
 
Ukishafariki hujui kinachoendelea kwa hiyo si kama anaumia.

Hapo unaweza kukuta washaambiwa kufanya hivyo wanapata thawabu kubwa sana unaweza kukuta walishindana kupata hiyo nafasi.

Miaka 1,000 ijayo watu wengi watasoma Biblia na Quran na kushangaa sana watu waliamini vipi hivi vitabu kuwa ni maneno ya Mungu?

Mbona Katiba ya 1977 bado inafaa?
 
Back
Top Bottom