uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 19,910
- 38,640
Dah jamani hebu mwacheni huyu mzee apumzike huko aliko.
Apumzike kuna kazi lablda umempa? Pengine yupo kwenye foleni ya kuchapwa viboko? Nani anajua?
Dah jamani hebu mwacheni huyu mzee apumzike huko aliko.
Hata kama anachapwa viboko ni Sawa tu iwapo ndio mshahara wa aliyoyafanya duniani ila tumuache apumzike na adha ya viboko basiApumzike kuna kazi lablda umempa? Pengine yupo kwenye foleni ya kuchapwa viboko? Nani anajua?
Hata kama anachapwa viboko ni Sawa tu iwapo ndio mshahara wa aliyoyafanya duniani ila tumuache apumzike na adha ya viboko basi
Heri yako unayejielewa.Ujielewi
Hata kama anachapwa viboko ni Sawa tu iwapo ndio mshahara wa aliyoyafanya duniani ila tumuache apumzike na adha ya viboko basi
Usikute yuko kukamilisha kozi zake za kijajusi. Ujasusi wa kisiasa.mimi nimejiuliza mbona mzee LOWASSA hakuwepo..na kuna tetesi hali yaake kiafya haiko sawa
Huwezi jua ni Kwa nini bado hawajaendeleza kizazi isitoshe bado vijana
Mtaji na nguvu ya masikini ni watoto bali kwa tajiri watoto si issue.Ujue hata mi nimejiuliza kwan regina hana mume na yule mshikaji hana mke na kama wapo mbona sijawaona
Mtaji na nguvu ya masikini ni watoto bali kwa tajiri watoto si issue.
[emoji38][emoji38][emoji38]Usikute yuko kukamilisha kozi zake za kijajusi. Ujasusi wa kisiasa.
Kabisa kwa umri ule wajukuu wanafaraja yake.Wajukuu si wale wawili babu alijitafutia meenyewe