Je, mzee Reginald Mengi alikuwa na mjukuu?

Je, mzee Reginald Mengi alikuwa na mjukuu?

Kwanza kabisa natoa pole kwa wote , R.I .P. Mzee wetu mpedwa.

Kama mjuavyo mzee was public figure so kujadili undani wake sii neno sana ili tujifunze kitu.

Kwa deaturi zetu, kwa mzee wa umri wa mzee wetu marehemu alipaswa kuwa na wajukuu kadhaa ambao sijawasikia,
Nani amewasikia?

Nimewaza au labda Kulikuwa na tatizo na wanaye ndo maana akamua kuzaa na mwanamke mwingine kyne, ili kutengeneza kizazi kingine?
swal fikirish sanaa hili
 
Back
Top Bottom