Yule Regina anaonekana mzeeBinafs nilikuwa najiuliza lkn huenda wanasoma abroad kama hawapo watakuja tu bado wanae ni vijana
Yule Regina anaonekana mzeeBinafs nilikuwa najiuliza lkn huenda wanasoma abroad kama hawapo watakuja tu bado wanae ni vijana
Alafu eti kuna watu wanalalamika mpaka mahakamani, eti wajiita familia Mengi, hopeless kabisa, familia ya Mengi n Klyn na twins full stop.
Regina hajawahi kuolewaKwamba Regina na kaka yake hawana watoto??
Banae ebu tupambane na hali zetu,kama una muda njoo nisaidie kutoa maji ya mafuriko ndaniYule Regina anaonekana mzee
Fafanua kiongozHao watoto wa jamaa wanamatumizi mabaya ya viungo vyao vya uzazi...
Duh poleBanae ebu tupambane na hali zetu,kama una muda njoo nisaidie kutoa maji ya mafuriko ndani
Iyo pole unakuja auDuh pole
Kwamba Regina na kaka yake hawana watoto??
Dah! Umewaza kitu muhimu sana ktk maisha yetu....wacha tuendelee kujifunza na kuchukua mema, aliyotuachia Hayati Dk. Mengi....Kwanza kabisa natoa pole kwa wote , R.I .P. Mzee wetu mpedwa.
Kama mjuavyo mzee was public figure so kujadili undani wake sii neno sana ili tujifunze kitu.
Kwa deaturi zetu, kwa mzee wa umri wa mzee wetu marehemu alipaswa kuwa na wajukuu kadhaa ambao sijawasikia,
Nani amewasikia?
Nimewaza au labda Kulikuwa na tatizo na wanaye ndo maana akamua kuzaa na mwanamke mwingine kyne, ili kutengeneza kizazi kingine?
Hahaakwani wale wawili ni wadogo ni nani kama sio wajukuu?!
No mi nakupinga mkuu,ulishawahi kusikia neno kuchuria/uchuro.Mkuu umeandika logic sana,wengi wajinga wasiojua kutafakari watakudharau,iko hivi,watoto wengi wa matajiri ni wasumbufu sana ktk ndoa,ndo maana hujaona wajukuu wa marehemu,badala yake vitoto vya marehemu (kwa kahaba kyln) ndo vilionekana kama vijukuu,wakati ilipaswa waonekane hata wajukuu 10.
Mm kuna Dada ni ndugu yangu kabisa upande wa baba mkubwa, alikuwa wanasagana na Regina ,ni marafiki balaa,Regina alikuwa demu wa salama kwa data zilizopatikana kwenye kikao chetu cha mwisho. Tafuta hao watoto ambao baba yao ni Salama Jabir
Acha kudanganya, mbona wazee wengi tu wanatembea na vibinti vidogo, suala la watoto wa mtu kuoa au kuolewa inategemea na maamuzi yao wenyeweNo mi nakupinga mkuu,ulishawahi kusikia neno kuchuria/uchuro.
Mara nyingi mzee akianza kumuvu na vibinti,especially ambao ni rika na wanawe na ikajulikana live na jamii inakua kama uchuro kwa watoto wake,wanakua hawaoi au kuolewa,na hata ikitokea wamefanya hivyo,huchelewa kupata watoto au wasipate kabisa watoto.
Inahitajika Rehema na Huruma Ya KiMungu na sala tuu kwenye hili Mkuu.
Ndo maana Zamani Wazee wakipata watoto nje ya Ndoa wanafanya jambo hili kuwa siri nzito,mpaka watoto wawe wakubwa ndo atawaleta nyumbani kuwatambulisha au akishakufa ndo wanatambulishwa msibani,Si kipindi hichi vijana wakipata watoto wa nje hawaoni ajabu kuwatangaza kwenye jamii na kwa mke wake.
Na pia inaaminika watoto wa nje wananyota kali sana,ukiwaleta nyumbani kuna uwezekano nyota zao zikan'gara sana kuliko watoto wa nyumbani,na hii ni kiroho zaidi ndo maana wanakua hawapatani na wamama wengi wa kambo,angalizo so wote,hii ni kwasababu ya vita ya kiroho kutokana na ukali wa nyota zao.
Kwanza kabisa natoa pole kwa wote , R.I .P. Mzee wetu mpedwa.
Kama mjuavyo mzee was public figure so kujadili undani wake sii neno sana ili tujifunze kitu.
Kwa deaturi zetu, kwa mzee wa umri wa mzee wetu marehemu alipaswa kuwa na wajukuu kadhaa ambao sijawasikia,
Nani amewasikia?
Nimewaza au labda Kulikuwa na tatizo na wanaye ndo maana akamua kuzaa na mwanamke mwingine kyne, ili kutengeneza kizazi kingine?
Look oooooohRegina alikuwa demu wa salama kwa data zilizopatikana kwenye kikao chetu cha mwisho. Tafuta hao watoto ambao baba yao ni Salama Jabir