mbere
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 6,967
- 6,469
Kwanza kabisa natoa pole kwa wote , R.I .P. Mzee wetu mpedwa.
Kama mjuavyo mzee was public figure so kujadili undani wake sii neno sana ili tujifunze kitu.
Kwa deaturi zetu, kwa mzee wa umri wa mzee wetu marehemu alipaswa kuwa na wajukuu kadhaa ambao sijawasikia,
Nani amewasikia?
Nimewaza au labda Kulikuwa na tatizo na wanaye ndo maana akamua kuzaa na mwanamke mwingine kylin, ili kutengeneza kizazi kingine?