Je, mzee Reginald Mengi alikuwa na mjukuu?

Je, mzee Reginald Mengi alikuwa na mjukuu?

Kuwa na watoto wengi kuna umuhimu pia,hasa pale umri utakapokimbia kutakuwa na faraja
 
Nakuomba kaa na wazee wenye busara watakueleza nilichokiandika hapa,ndo uje ucomment hakika utanielewa kaka.Pia tofautisha kuoa mke mwingine,na kua na vimada.
Kwa wakristu hili kuoa zaidi ya mke mmoja dini haijaruhusu,ila wapo wakristu wengi tuu wenye wake zaidi ya mmoja.
Acha kudanganya, mbona wazee wengi tu wanatembea na vibinti vidogo, suala la watoto wa mtu kuoa au kuolewa inategemea na maamuzi yao wenyewe
 
Huwezi kupewa kila kitu pamoja na kuwa mengi walizaliwa watoto saba Apaanisa, Elitira, Asanterabi, Karileni, Dr. Mengi mwenyewe, Evaresta na Benjamin. Lakini huwezi kuwasikia hata hata waliotangulia mbele ya haki hatukusikia misiba yao
 
Jamaa ameuliza tuu boss. Tunajifunza kupitia watu iwe ni kwakuona kusikia au kusoma
 
Huwezi kupewa kila kitu pamoja na kuwa mengi walizaliwa watoto saba Apaanisa, Elitira, Asanterabi, Karileni, Dr. Mengi mwenyewe, Evaresta na Benjamin. Lakini huwezi kuwasikia hata hata waliotangulia mbele ya haki hatukusikia misiba yao
Ni nani mkubwa,? Walikufa kwa uzee ama? Maana huyu benjamini naye naona ni mzee
 
Hata yule jamaa ambaye wanasema alikuwa anatembeza Dushe hakuacha hata chata lake kweli.Bora Bossi Ruge ameacha miamba.Haiwezekani watoto wote watatu wawe above 35/40 wakose hata wakusingiziwa
Tajiri nyingine huwa na masharti
 
Wa-bongo tuna matatizo Sana ..suala la kuwa na family/ mtoto/ watoto ni suala la mtu binafsi ni Hiyari nasio lazima

Katika maisha sio kila mtu huwa anapenda kufanya kila kile ambacho kinafanywa na jamii yake _ watu wengine huwa wana amua kuwa na life style ya kipekee na kwakuwa wanakuwa hawavunji sheria basi ruksa kwao kuendelea kufanya hivyo
Sijuhi shuleni huwa mnaenda kusoma ujinga...kwa sauti ya FaizaFoxy Fox,
Mkuu, suala la kuzaa na kuacha kopi halipo ndani ya utashi wetu, ni la lazima na wanasayansi wanathibitisha! hapa ninapokujibu kuna seli kwa mamia mwilini zinajizalisha ili zikifa ziache zingine kuendeleza uzao!
Mleta mada anauliza wajukuu ili kuona muendelezo wa kizazi cha marehemu ambalo ndilo kusudio la kwanza la kila kiumbe hai
 
Mi mwenyewe ningekuwa na was wasi... Tena ukiangalia alishapoteza mtoto mmoja.. Na hawa ghafla wange potea bila kuacha watoto ingekuwaje kwa kizazi chake...
Muendelezo wa kizazi ni muhimu biologically hata katika dini uendelezo wa kizazi ni topic inayojirudia Sana..
Imagine Bob Marley, legacy yake inaendelezwa na mjukuu wake leo anaitwa Skip Marley.
Inaonekana hawa watoto ndio walifanya mzee wao akaamua kuoa na kuzaa...! Maana lazima alikua na wasiwasi sana
 
Ndio alikua nao. Regina ana mtoto.
Abdiel ana watoto.
Kingine ?
 
Back
Top Bottom