ccm mtoto wao
JF-Expert Member
- Dec 19, 2018
- 562
- 483
Ujue hata mi nimejiuliza kwan regina hana mume na yule mshikaji hana mke na kama wapo mbona sijawaona
Labda Rodney aliacha mbegu, huwezi jua, labda tuulize kwa Regina na Abdiel, vipi copy tayari?Kwamba Regina na kaka yake hawana watoto??
Hoja yake ni kwamba pengine mzee Mengi aliamua kuanzisha kizazi kipya kwa Klyn ili kunusuru blood line yake baada ya kuona muitikio kwa kizazi cha kwanza ni mdogo, sasa hiyo ndio hoja yake.Sasa swala la mzee Mengi kuwa na wajukuu au kutokuwa nao ww linakuumiza nn? Halafu sijui hatuna kazi za kutufanya tuwe bize, mtu unapata mda wa kufikiria mambo ya sio na msingi na kuyaleta hapa! Mambo meimgine ni ya kifamilia zaidi!
WhateverAawapi abroad unadhani nauli ni shida kama wewe adi washindwe kuja kwa msiba?
Alafu eti kuna watu wanalalamika mpaka mahakamani, eti wajiita familia Mengi, hopeless kabisa, familia ya Mengi n Klyn na twins full stop.Kwanza kabisa natoa pole kwa wote , R.I .P. Mzee wetu mpedwa.
Kama mjuavyo mzee was public figure so kujadili undani wake sii neno sana ili tujifunze kitu.
Kwa deaturi zetu, kwa mzee wa umri wa mzee wetu marehemu alipaswa kuwa na wajukuu kadhaa ambao sijawasikia,
Nani amewasikia?
Nimewaza au labda Kulikuwa na tatizo na wanaye ndo maana akamua kuzaa na mwanamke mwingine kyne, ili kutengeneza kizazi kingine?
Nafikiri umejijibu tayari!mimi nimejiuliza mbona mzee LOWASSA hakuwepo..na kuna tetesi hali yaake kiafya haiko sawa
Huwezi jua ni Kwa nini bado hawajaendeleza kizazi isitoshe bado vijanaHao watoto wa jamaa wanamatumizi mabaya ya viungo vyao vya uzazi...
Wajukuu sio wakwake peke yake! Hivyo sioni haja ya kuwataja!Kwanza kabisa natoa pole kwa wote , R.I .P. Mzee wetu mpedwa.
Kama mjuavyo mzee was public figure so kujadili undani wake sii neno sana ili tujifunze kitu.
Kwa deaturi zetu, kwa mzee wa umri wa mzee wetu marehemu alipaswa kuwa na wajukuu kadhaa ambao sijawasikia,
Nani amewasikia?
Nimewaza au labda Kulikuwa na tatizo na wanaye ndo maana akamua kuzaa na mwanamke mwingine kyne, ili kutengeneza kizazi kingine?
hahahahaha..wapate wapi! kuzaa kwahitaji partners of opposite sex, ila kama....hakuna cha mtoto, ni kuponda maisha na tamaa za mwili tu..Kwamba Regina na kaka yake hawana watoto??
hahahahaha..wapate wapi! kuzaa kwahitaji partners of opposite sex, ila kama....hakuna cha mtoto, ni kuponda maisha na tamaa za mwili tu..