Je, mzee Reginald Mengi alikuwa na mjukuu?

Je, mzee Reginald Mengi alikuwa na mjukuu?

Hata yule jamaa ambaye wanasema alikuwa anatembeza Dushe hakuacha hata chata lake kweli.Bora Bossi Ruge ameacha miamba.Haiwezekani watoto wote watatu wawe above 35/40 wakose hata wakusingiziwa
 
mi najiuliza mbona mo dewji na bakhresa hawakwenda kumzika mwenyekiti wao wa wamiliki wa viwanda kwa miaka mingi
 
Kwanza kabisa natoa pole kwa wote , R.I .P. Mzee wetu mpedwa.

Kama mjuavyo mzee was public figure so kujadili undani wake sii neno sana ili tujifunze kitu.

Kwa deaturi zetu, kwa mzee wa umri wa mzee wetu marehemu alipaswa kuwa na wajukuu kadhaa ambao sijawasikia,
Nani amewasikia?

Nimewaza au labda Kulikuwa na tatizo na wanaye ndo maana akamua kuzaa na mwanamke mwingine kyne, ili kutengeneza kizazi kingine?
Mkuu umeandika logic sana,wengi wajinga wasiojua kutafakari watakudharau,iko hivi,watoto wengi wa matajiri ni wasumbufu sana ktk ndoa,ndo maana hujaona wajukuu wa marehemu,badala yake vitoto vya marehemu (kwa kahaba kyln) ndo vilionekana kama vijukuu,wakati ilipaswa waonekane hata wajukuu 10.
 
Proverb 13:22
A good man leaveth an inheritance to his children’s children: and the wealth of the sinner is laid up for the just.

Kwanza kabisa natoa pole kwa wote , R.I .P. Mzee wetu mpedwa.

Kama mjuavyo mzee was public figure so kujadili undani wake sii neno sana ili tujifunze kitu.

Kwa deaturi zetu, kwa mzee wa umri wa mzee wetu marehemu alipaswa kuwa na wajukuu kadhaa ambao sijawasikia,
Nani amewasikia?

Nimewaza au labda Kulikuwa na tatizo na wanaye ndo maana akamua kuzaa na mwanamke mwingine kyne, ili kutengeneza kizazi kingine?
 
Kwamba Regina na kaka yake hawana watoto??

Shida hiko wapi kama hawana ?? Ukishajua itakusaidia nini? Hacheni kufatilia maisha ya watu ,Joyce mhavile na umri mkubwa hajawahi kupata mtoto kabisa , hawa watoto wa Mengi ni vijana watapata tu
 
Mtoa mada umehoji kitu muhimu ktk society kwa umri wa Mengi wasifu wake ungekuwa na angalau wajukuu ukizingatia watoto wakubwa wapo ten sio mmoja. Haya mambo watu wengine wanachukulia simple lakini yanasaidia kumfanya mtu mzima aione nafasi yake katika jamii. Hela tu haziwezi kuleta raha za kila kitu. Huwezi jua wajukuu wangeweza kupunguza kasi ya kujianika beach na mamiss.
 
wajukuu wake si ndio hawa wa klyn? kaona watoto wanayumba kaamua afyatue mwenyewe ili kuendeleza ukoo

Write your reply...
 
Back
Top Bottom