Je, Mungu ndiye aliyeumba dhambi?

Je, Mungu ndiye aliyeumba dhambi?

Dini ni imani sio lazima iwe kweli. Sasa mimi nazumzia Elimu ya Maumbile (God's knowledge) ndio hasa chanzo cha uzi huu. Mungu ni kila kitu na yuko kila mahali na kila wakati. Shetani atapata wapi nafasi ya kuwepo au muda wakuwepo mahali mungu yupo?
Kwa mujibu wa maelezo yako unakana kua hakuna shetani, ila unakubali mungu yupo

Sasa hapa kwa mafundisho ya dini zenu, zimetuhadithia vita iliyokuwepo huko mbinguni kati ya mungu na shetani, ambapo shetani alishindwa katika hiyo vita hatimaye akatupwa chini duniani.

Je unakubaliana na hayo mafundisho?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dini ni imani sio lazima iwe kweli. Sasa mimi nazumzia Elimu ya Maumbile (God's knowledge) ndio hasa chanzo cha uzi huu. Mungu ni kila kitu na yuko kila mahali na kila wakati. Shetani atapata wapi nafasi ya kuwepo au muda wakuwepo mahali mungu yupo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwepo kila mahali hakumzuii shetani kufanya mambo yake

Kwa mujibu wa vitabu vya dini vimetuelezea kua mungu alimruhusu shetani amjaribu binadamu ili kupima imani ya binadamu

Unakubaliana na nukuu hiyo hapo juu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu hamjambo!

Kama kichwa cha Uzi huu kinavyouliza, Mimi nikiri kuwa naamini uwepo wa Mungu mmoja aliyeumba vyote vinavyoonekana na visivyoonekana pia.

Katika vitabu mbali mbali vya dini, tunaelezwa kuwa dhambi ilitokana na uasi alioufanya shetani dhidi ya Mungu, biblia inaenda mbali kwa kudai kuwa vita vilipiganwa huko mbinguni na shetani alishindwa na akatupwa duniani akiwa na theluthi ya malaika wakawa upande wake.

Maswali:

1. Ikiwa kabla ya shetani kuasi hakukuwa na dhambi yoyote ile, tena alikuwa mbinguni kwenye utakatifu wa MUNGU, je shetani alishawishiwa au alitoa wapi mawazo ya uasi Ikiwa hakukuwa na shetani yeyote mwingine?

2. Kama MUNGU hujua mwanzo hata mwisho wa viumbe vyake, INA maana alikuwa anajua kuwa shetani atakuja kuasi baadae na kusababisha dhambi, kwanini alimuumba?
Jambo la kufikiria hapa ni kuona kwamba MUNGU alimuumba shetani/Lucifer ( dhambi) mahususi ili kuja kuwa upande maovu. Dhana hii inadhihirisha kuwa MUNGU ndie aliyeumba dhambi.

3. Je, lengo la MUNGU lilikuwa mwanadamu aishi milele bila kufa?
Hapa kuna mazoea yalishajengeka hasa kwa wakristo na waislamu kuamini kuwa isingekuwa Eva/Hawa kudanganywa na Shetani basi Leo hii wanadamu wasingekuwa wanakufa ( immortal). Hii dhana haina mantiki hasa ukiwaza kuwa wanadamu wangezaliana na kuishi milele bila kufa nadhani dunia ingekuwa imejaa mabara na visiwa vyote.
Hivyo MUNGU akaamua kuleta mauti ili kudhibiti ( control) idadi ya wanadamu duniani isizidi uwezo wa rasilimali zilizopo, fikiri Leo hii watu wanauwana kugombania ardhi je ingekuwaje akina Adam na bibi yetu Eva wangekuwepo wote?

4. Je, Dini ni matokeo ya mwanadamu kumhofia shetani?
Tunaishi katika jamii ambazo kila MTU ana juhudi za kujikwamua kuondokana na shida Kama magonjwa, njaa, vita, ambazo Mara nyingi wanadamu wanahesabu kuwa hayo yote ni sababu ya shetani, na dini wanaona ndio kimbilio ili kumkwepa shetani asiwadhuru.
Lakini wao wanaamini kuwa wanasali ili kumtukuza MUNGU, lakini kiukweli dini ni hofu ( fear of unknown) isiyo na ithibati yoyote.

5. Je, Mungu anawapenda wanadamu? Hapa jibu laweza kuwa ni ndiyo, bahati mbaya sana ukiangalia uhalisia toka zamani kuna ugumu wa kusema ndiyo au hapana.
Tunaambiwa kuwa mbinguni kulikuwa na vita Kali sana, mwaishowe malaika aitwaye Mikaeli alimshinda shetani, Mungu akamtupa ibilisi huyo huyo duniani kwa wanadamu anaowapenda sana. Mungu hakuona sehemu nyingine ya kulitupa hilo joka ila duniani ambako ndio wanadamu aliwaweka. Hii ni sawa na kuwarushia watoto wako furushi lenye nge wengi huku umewafungia chumbani na kuwataka wajikinge wasing'atwe hata kidogo.

Nimekuja kuamini kuwa: MUNGU yupo ila dini zote ni michezo ya kukamata fikra za wanadamu tu, inawezekana kabisa kuwa dini ziluletwa na shetani mwenyewe ili kuwachonganisha wanadamu wasiishi kwa upendo na amani.
Angalia jinsi Palestine na Israel, syria , Iraq n.k wanavyouana kwa misingi ya dini.

Niishie hapo, naomba waumini/maswahaba mje mtueleze hizi hoja.

Cc: Mshana Jr
Cc: Kiranga
Na wanajamvi wote karibuni.
Swali lako zuri na kulijibu kuna namna mbili ntatumia. ya kwanza: kubadili definition ya Mungu. ya pili: kuachana na mahubiri ya kikistru na kufuata dini ya budha
UTANGULIZI
watu toka karne wamekuwa wakiuliza hizo hoja na kwa pamoja zinajulikana kama problem of evil. na mtiririko unaenda kama ulivyoonyesha itakuwaje kwa muumba kurusu maovu yaendelee kutokea sasa jinsi ya kutoka kwenye dilema hiyo fuata yafuatayo.
NJIA YA KWANZA.
mungu ni term amboyo lengo lake kuu ni kuongelea kile kitu ambacho kina misingi isiyobadilika kamwe kwa maaana milele. ukimwelewa mungu kwa namna hii utaona kuwa shida zote ulizoainisha zitapotea achana na mungu ambaye umefundishwa kanisani na misikitini. endapo ukasema jambo fulani ni dhambi huwezi kuwa na uhakika kama hilo jambo litaendelea kuwa dhambi miaka yote. mfano zamani wakristo walikuwa wakizuia wanawake kufanya baadhi ya mambo kama ni dhambi lakini mda ulipofika mambo yakabadilika na sio dhambi tena. naposema mungu anawakilisha milele ni kwamba yeye kazi yake kubwa ni kuhakikisha sheria ya kifizikia na biologia zinaenda kama zinavyotakiwa mfano ukiruka lazima urudi chini, ukikanyaga maji lazima uzame hawezi kukuruhusu ufanye ujinga wa kutembea juu ya maji kamwe in short ana tunza our common shared reality nenda marekana nenda uchina utakuta sheria hizi zile zile. kwa mungu hakuna baya wala zuri bali mambo maovu na mazuri ni ya kufikirika kutoka fikra za kibinadamu.
NJIA YA PILI.
Hii njia inabidi uachane na mahubiri ya kikristo na kiislam na kufwata mahubiri ya budha. kamwe kwenye mahubiri ya kikristo na waislam hayapo consistent katika maandishi yao , vitabu vya dini hivyo vikiweka kuchambuliwa logic ni ZERO. na ni vitu vingi vinakwama katika maandishi yao la maovu likiwa moja wapo. lakini kubwa ni kwamba kiumbe anayejuwa yote na kuweza yote is illogical statement. sasa tukirudi kwa BUDHA yeye katika dini yake hakuna kiumbe anayehesabu dhambi za watu au kiumbe anayefanya watu watende dhambi bali yote ni matendo ya wanadamu na mwanadamu anatakiwa apate ujasiri wa kukubali matendo yake maovu anayotenda na sio kusingizia vitu vya kufikirika. budha baada ya kuona maovu kila kona na hayawezi kuepukika akafunga safari aweze tengua fumbo kuu kabisa katika maisha kuhusu uovu na mateso ambapo kutokana na upeo ambao binadamu anao kulinganisha na viumbe vingine ni yeye tu angeweza kutengua na sio dolphin. basi katika hitimisho alilofikia budha yote ni kutokana na tamaa zetu ( emotion) ambazo kamwe hatuwezi kusatisfy bali tunachoweza kufanya ni kulidhika na vile ambavyo tunavyo. akili zetu kuzituliza kama pwani ya bahari ambayo imetulia tuli wakati mawimbi yakiya na kuondoka ndivyo tunapaswa kufanya kwa hisia zetu kuziacha zipite kama mawimbi.
HITIMISHO
yatupasa wanadamu kutofautisha kati ya organised religion and personal religion. religion ambazo zinaact kama organiazation lengo kuu kuendelea kuwepo their survival hazipo interest na kutukuza kiimani bali zinafikiria jinsi gani zitaweza kupata fedha zaidi ili kufungua kanisa jipya. na personal religion ni dini ambayo kila mtu moyoni anaijua ambayo ni upendo, kutenda jambo ambalo hata wewe ungependa utendewe bila kufikiria kuwa watenda ili uingie mbinguni mwisho wa siku, bali umetenda kwa sababu ni jambo jema la kibinadamu.
 
Daahh mafundisho ya BUDDHA yame nifurahisha zaidi walau yana make sense kiasi chake " kuliko haya mafundisho ya hizi dini nyingine "

Ambayo kuna sehemu yana sema kabisa kwamba mungu ni mjuzi wa kila kitu " halafu hapo hapo " anatuonyesha maajabu kwa kumuumba binaadamu ambaye anajua kwamba atakuja kumuasi " lakini yeye kamuumba ili aje kumchoma moto ... (nonsense )

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwepo kila mahali hakumzuii shetani kufanya mambo yake

Kwa mujibu wa vitabu vya dini vimetuelezea kua mungu alimruhusu shetani amjaribu binadamu ili kupima imani ya binadamu

Unakubaliana na nukuu hiyo hapo juu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kuna haja gani ya kuipima imani ya binaadamu " wakati tayari (Mungu) ameshajipa cheo cha mjuzi wa yote " .. yaani unakipima kitu ambacho tayari umeshakijua undani wake " !? Kweli " ? Alishindwa nini kuutumia ujuzi wake wa yote katika kuweza kumtambua binaadamu kuwa yuko hivi " anapo anza kumpima baada ya kumuamba ilhali alishajiita kwamba nimjuzi wa yote .. tutakuwa tuna kosea tukisema kwamba Mungu ni muongo " (ana ji-contradiction yeye mwenyewe)

Tutakuwa na makosa tukianza kuuhoji huo uwezo wake wa yote " !? .. maana kwa hiyo statement yako tayari imesha tuonyesha kuwa kumbe hana uhakika wa anacho kifanya kwa sababu hana huo uweza wa yote " laiti kama angekuwa nao asinge hangaika kumuumba binaadamu na kumjaribu " wakati tayari anaujua undani wake kwa kupitia uweza wake wa yote ".. angekuwa ameshajua kuwa hiki kiumbe kitanipinga au ..

Hiki ulicho kisema hapa " hakina tofauti na kusema kwamba Mungu alibeti" kwa sababu hakuwa na uhakika kwamba anaumba kiumbe chenye mtizamo wa namna gani ,!!?

Ndio maana huwaga tuna sema kuwa hizi dini zenu nu matango pori kwa sababu zina mafundisho ambayo yanajipinga yenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daahh mafundisho ya BUDDHA yame nifurahisha zaidi walau yana make sense kiasi chake " kuliko haya mafundisho ya hizi dini nyingine "

Ambayo kuna sehemu yana sema kabisa kwamba mungu ni mjuzi wa kila kitu " halafu hapo hapo " anatuonyesha maajabu kwa kumuumba binaadamu ambaye anajua kwamba atakuja kumuasi " lakini yeye kamuumba ili aje kumchoma moto ... (nonsense )

Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo mafundisho ya Buddha ni mfumo tu wa maisha ambao ameubuni basi,ila dini ni zaidi ya mfumo wa maisha na ndiyo maana kuna watu walishaingia hadi kwenye Ubuddha na kupenda mafundisho yake ila walitoka huko kwa sababu malengo yao hayakuwa kutafuta mfumo gani tu wa kuishi bali zaidi ya hapo.
 
Mfano wako " hauko hai umekufa ... mbona hata Mimi nilishaingia kwenye huo mfumo wa hizi dini zenu halafu nikaja kujitoa ... so na mimi na wenzangu ambao walijitoa kama mimi utatatuzungumziaje " !!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom