Kwa wanajamvi wanaotaka kujua ushawishi wa akili na uhusiano na matendo uyafanyayo mazuri au mabaya.
Watu wengi wamekuwa wakilaumu kitu kinachoitwa shetani pale wanapotenda matendo mabaya pasipo kujua kwamba akili ina husika sana kuzalisha matendo ambayo yanasababisha mambo mengi kutokea. Akili ni kitu kama anntena ya radio kinanasa mawimbi ya mawazo ambayo yanamshawishi mtu kufanya mambo fulani. Ukubwa na uwezo wa akili hutegemea na uwezo wa annteana hii kwani hata mawazo yako kwenye frequency mbalimbali yako mawazo ya juu na ya chini pia. Ni muhimu pia kujua mawazo ni kama wawimbi yalio huru, hakuna mtu mwenye kumiliki mawazo yake. Kila wazo lina muda wake wa kuwazwa, na hupita. Ndio maana kuna wakati mtu anashtuka pale anapokuta kunamtu mwingine ametekeleza kitu alichokuwaza amekiwaza muda lakini ama akakipuuzia au alichelewa kukitekeleza.
Ilikujilizisha na ninachokisema kuwa akili ndio inayotushawishi, hebu jaribu kukaa bila kuwaza, akili haiwezi kuwa empty, kila wakati unawaza. Naiwezi pita dakika moja bila wazo utakuta haiwezekani kabisa. Vilevile ni vigumu kuwaza jambo moja ulitakalo wewe kwa muda mrefu unao ukusudia wewe, yaani ku-concetrate, lazima ikupeleke huku na huko, watu wenye uwezo wa concetrate wanakuwa na uelewa mzuri na wanafundishika kirahisi pia.
Kwenye ulimwengu wa meditation kwa kujua akili lazima iwaze wanaipa akili wazo au neno silona maana ili nafsi zao ziweze kuivuka akili wakajifunze vitu vile ambavyo akili haiwezi kuving'amua yaani you have to go beyond the mind to learn the forms lessness.
Kuna kuna njia nyingi sana za kuivuka akili, zingine ni za hatari sana, unaweza ukapoteza mwili, kuna Yoga na zainambalimbali, michezo ya ku - control miili na akili kama kumfu, uvutaji wa jani maalumu "GANJA" sio bangi mnayoiita bangi, pia kuna meditation mbakimbali.
Hivi vitu na hasa meditation hata kwenye biblia vimeongelewa sana
Mfano:" maono", "conteplation", "kikao chake akanza kuona nyota saba", "akaona kavaa vazi lingaalo kama dahabu","Musa akaona kichaka kibishi kinaungua akambiwa vua viatu hapa ni patakatifu" na mambo mengine mengi tuu.
Wahenga lazima mjue vitabu vya dini vieandikwa wakati watawala wakinga sana dini hivyo most of the words those are coded. Kwa mfano mtu yeyote alifanya meditation sahihi ya ukamilifu siku ya kwanza ya kufungulia jicho la tatu (initiation) ataona hicho kichaka cha Musa kama kilivyo elezewa . Maono hayo yanaitwa seeing the thousand petal lotus ni kama Anga pana lenye mau mazuri yakibadilika rangi mbalimbali huku yakitoa ushawishi na mvuto fulani hivi na huku u fill bliss (upepo mwanana) ya hali ya juu. Any way this is outside of our topic lets go to our topic.
Leo nitaongelea meditation rahisi ambazo ni afya kwa kutuliza akili, lakini pia ukizijaribu kuzifanya utajifunza tabia ya akili yako katika kufanya ushawishi. Meditstion hizo ni kuwasha kuu galia mshumaa unaowaka (Candle light), kubana pumzi(holding your breath) na Mantra (kurudia neno lisilo ns maana). Ya kwanza hufanywa pia na wacheza kareti kutuliza mvumo wa akili au ku-calm down. Unaweka mawazo yako kwenye mshumaa unaowaka kwa ku-concetrate kwenye moto wa mshumaa. Ya pili Mantra unarudia rudia neno lisolo na maana kwenye akili yako kama "hiiiiimaaaa" akiambatana na kuvuta pumzi ndani mwili wako na kutoa puuzi, hiiii unavuta pumzi ndani, na maaa upumua nje. Hii ya pumzi inafa ywa kwa unavuta pumzi ndani unaibania humo kwa muda mpaka unaposhindwa then unaiachia na unakaa bila pumzi kwa muda kabla ya kuivuta.
Ukijaribu kimoja kati hizo meditation tatu utajua jinsi akili yako ilivyo na ushawishi au treaks ya kukutoa kutoka unachofanya ukikutuma ufanye mengine au uwaze mambo mengine, lakini pia utajua your weak points, utajikuta muda uliojipangia umeisha hakuna wakati ufamenya hiyo meditation kwa kurudia rudia utajikusa angalau na jinsi muda unapata kwenye concetration ndio utajisikia kama mtu zliotoka kwenye deep slip.
Meditation inafundisha jinsi nafsi inavyokukuluka kujinasua kutoka ukandamizaji wa akili. Pia ndio mara nyingine umejitafakari kuliko muda mungine wowote. Yaani utakuwa uko karibu sana na nafsi yako kuliko wakati mungine wowote, mara nyingi unawaza ya awazo kuhusu mambo mbali na nafsivzetu, ama unawaza mambo ya wakati uliopita, au unawa juu plan za siku zijazo na ni nadra sana kuwa kwenye moment yaani nafsi.Pia kumbuka Mungu ametuumba kwa mfano wake, inakuwa karibu na nafsi unakuw karibu sana na mungu wako
By the way karibu kila kitu kilichojengwa au kutengenezwa kabla lilikuwa wazo, lilimfikia mtu mmoja kwa utashi wake au kwa bahati, yeye ama akiwa mwenyewe au kwa kushirikiana wenzake akalifanyia litekeleza likawa kitu solid, kwa hiyo sio vibaya ukisema mawazo ya ulimwengu huu ndio yanabadili sura ya ulimwengu huu kwa kupitia mwanadamu.
Pia unaweza sema wewe ni tools ya kufanya yafanyikayo, tatizo ni pale tunapo jihusisha na matendo tuyafanyayo na kijisifia au kujilaumu.
Mfano mungine wa Vitimbwi vya akili ni pale unapoamua kufunga bila kula kwa wale wanaofunga watanielewa, binadamu anaweza kabisa kukaa bila kula au kunywa na hasa pale anakuwa anafanya jambo fulani au sehemu aliopo hamna chakula wala maji. Utajipa moyo nitakula baadae na utaishinda njaa kirahisi mno. Lakini sasa ukiweka dhamila au nadhili ya kufunga kwa mudacfulani, akili itakutamanisha, itakunukisha harufu nzuri ya vyakula mbalimbali, usipokuwa muangalifu unaweza fungua.
Kwenye Biblia kuna maandishi yanasema bwana Yesu alishawishiwa na shetani afungue ale kwa ahadi ya kupewa ulimwengu. Sipendi challenge yaliandikwa kwenye biblia ila ninahaki ya kutafsiri ninavyoelewa. Ilikuwa wazo kupitia akilini kwake lililomtamanisha . In other words kama ukiniuliza mimi shetani ni nini basi nitakujibu ni ulimwengu wa mawazo, na ya aina zote mawazo mazuri na mabaya. Ni dhambi pia ukiwaza kunifanyie kitu chema, ukaweza nifanyia, then ukaenda wazi ukajisifia hii ni sawa na kutonifanyia jema lolote. Ni wazi wewe umejihusisha na matokea ya liletendo uliloliwaza kwa wema ulilonofanyia, yaani umefanya ili likunufaishe wewe. Lakini unaweza toa uhai (kuua) lakini sio kwa ubaya, kwa mfano kazi yako ni bwana jela mnyongaji, mchijaji machinjioni.
Kwa leo ni hayo, ruksa kuuliza ufafanuzi, kujuzwa zaidi. Kama nilivyo andika hapo juu ni kwa wale wahenga wanaotaka kujua THE OTHERSIDE OF THR MID NIGHT.
Sent using
Jamii Forums mobile app