Je, Mungu ndiye aliyeumba dhambi?

Je, Mungu ndiye aliyeumba dhambi?

Mimi huwa na shawishiwa na akili yangu. Wakati wowote nikitaka kutenda vitu kibaya nafsi yangu hunisuta, lakini akili inanituma nitende, na vyote viwili viko ndani yangu. Sasa shetani ni hadithi ambayo nimesimuliwa, lakini baada ya kujitafakali nimejua hakuna nafsi inayoitwa shetani inayo exist outside myself. Kama kweli ni shetani mimi naona ni mkanganyiko wa mawazo yanayopita akilini kwangu ambayo yanaleta matamanio na maamuzi ya mimi kufanya kitufulani ambacho kinakuwa kwenye chenye matokeo mazuri au mabaya. Hakuna tendo litendwalo bila kuwa wazo lililowazwa na akili. 1. Wazo kupitakwenye akili, 2. Linateta ushawishi na uamuzi wa kutenda kitendo 3. Hazaa matokea. 4. Tathimini ya matokeo ya kitendo hufanywa na nafsi.

Jibu: Hakuna dhambi nahakuna shetani bali kuna process ya uzalishaji wa vitendo vinyofanywa na mwanadamu kwa ajili ya maumbile. In short every man made is the products of thoughts through man mind. The only source of thoughts is the man himself not otherwise.
Hujajibu:
nauliza tena kuwa twaweza kutenda dhambi bila kushawishiwa na shetani? shetani ana athari yoyote juu ya wanadamu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
There one word says "CREATION IS GAME WHEREBY GOD PLAYS BY HIMSELF" in every game there rules (laws). No one comes into this world by other means except by birth, perish only by death. That the Laws of Creation, they stand by to Generate Operate and Destroy G.O.D.
who enacted those laws if the creation was perfect with no any doubt?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo Mungu aliumba vitu vyenye mapungufu? huoni kuwa unakinzana na maelezo ya biblia kuwa Mungu aliumba vitu vilivyokamilika?
Sasa kama unamajibu ya kwenye Biblia kwa nini unauliza? Ungelikuwa Perfect kwa nini unamahitaji? Perfection inazungumzia kwa ujumla wake sio kwa kiumbe au kitu kimoja. Ni mfumo na Mifumo Systems (Input, Processing and Output)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Au mwenzangu baba yako ni mwanamke!?

Niambie, nifanye nini ili nikuthibitishie kuwa Baba yako ni Mwanaume!?

Maana mimi nimetaka unithibitishie kuwa Mungu yupo kwa kumuonyesha na kuonyesha nguvu zake!!!
Simple sana kuthibithisha kuwa Mungu yupo hebu ziba pumzi yako ndio utajua Mungu ni Uhai aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sisi ni kazi ya mikono yake lakini kati yetu kuna aliye bora zaidi ya mwingine, na huyo bora ni anayemwabudu, wewe unafikiri kwanini kuna pepo na jehanam, bila kipimo nani angekuwa wa peponi na nani angekuwa wa jehanamu?
Hizo ni Hadithi tuu. Hakuna individuality, Personality, Time or space kwa Mungu. Mungu ni moment, Is with you in you.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haoni kwamba kuwepo na u tofauti wa kimaudhui kati ya Biblia na Quran na Misahafu mingine, kuna maanisha kuwa kila mtu amem model Mungu kulingana na yeye anavyoona ni jinsi gani Mungu anaweza kuwa?!

Hauoni kwamba kila mtu anasifa zake za kipekee kumuhusu Mungu, na hivyo basi kumbe kila mtu ana Mungu wake na kwahiyo hakuna Mungu wa pamoja!?
Yap kwasababu kuna mafundisho yao ambayo wanaamini ukila nyama ya nguruwe ni dhambi, ambayo kwenye ukristo ni tofauti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na kwann kifungu hicho kilijaribu kutumia maneno makali ili kuhalalisha uwepo wake???
Kama yupo kulikuwa na ulazima wa kusema hivyo?? Angekuwepo kulikua na ulazima wa kuhoji uwepo wake??

Kila kitu ni kama Mauzauza tuu!!
Mpumbavu ni yule anayekubali kua mungu yupo bila uthibitisho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna shetani hapa, upo wewe na Mungu. Mwili, Akili na Roho. Mwili unatenda kwa kushawishiwa na akili. Roho huvuna dhahibu ya matendo. Kama kuna shetani katika tendo lolote basi ilaumiwe akili.
Kwa mujibu wa maelezo yako unakana kua hakuna shetani, ila unakubali mungu yupo

Sasa hapa kwa mafundisho ya dini zenu, zimetuhadithia vita iliyokuwepo huko mbinguni kati ya mungu na shetani, ambapo shetani alishindwa katika hiyo vita hatimaye akatupwa chini duniani.

Je unakubaliana na hayo mafundisho?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom