Je, Mungu ndiye aliyeumba dhambi?

Je, Mungu ndiye aliyeumba dhambi?

Mfano wako " hauko hai umekufa ... mbona hata Mimi nilishaingia kwenye huo mfumo wa hizi dini zenu halafu nikaja kujitoa ... so na mimi na wenzangu ambao walijitoa kama mimi utatatuzungumziaje " !!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ishu sio kujitoa tu bali nimetaka kukuonesha kuwa dini ni zaidi ya mfumo tu wa maisha na ndio maana kuna watu walijitoa huko kwenye Ubuddha kwa sababu sicho walichokuwa wakikitafuta,na wewe kama ulitoka kwenye dini na ukakwamia kwenye ubuddha basi ni wazi umepata ulichokuwa ukikitafuta kwa maana ulikuwa ulikuwa ukitafuta mfumo wenye kukupendeza wa maisha.

Hivyo ndio nilivyomaanisha mkuu.
 
Sawa karibu chai ....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha poa chief "

Nachoku kupendea wewe " ijapo kuwa huwa unapenda kubishana (mpaka una boa) ila huwa una bishana kwa mantiki nzuri ya kujifunza "

ijapokuwa huwaga hausemi " nakubaki kuwa siri yako

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha...ni kweli mkuu nimejifunza mengi sana Jf na wakati mwengine lazima tuweke ubishi kidogo mpate kufunguka zaidi ila sie wengine tujifunze.
 
Hahaha...ni kweli mkuu nimejifunza mengi sana Jf na wakati mwengine lazima tuweke ubishi kidogo mpate kufunguka zaidi ila sie wengine tujifunze.
Hahahaa sawaa " ... tangu nilijue hilo siku hizi haunipasui Kichwa ... unafanya vyema sana " tuko pamoja chief
 
Mungu umsemae hapo anasifa za uovu na wema,hebu fikiri kwanini alimfanya farao kuwa mkaidi halafu akamuangamiza..? kama sivyo basi Mungu huyo atakuwa si muweza wa kila kitu!,kuna vitu ameshindwa kuviangamiza!,maana kama shetani anasababisha dhambi kwa wanadamu hlf anamuangalia kama pambo chumbani basi hata yeye anahatia na wadhambi hao! wengine humsema Mungu ndo mpangaji wa yote!,hivyo kauli hii humaanisha kuna watu amewapangia waende motoni na wengine peponi! anasifa ya ubaguzi wa hali ya juu..

Chukua gongo au dadii glasi moja pale kwa mama Keniiii nakuja kulipia mwenyewe...ukimaliza pitia biskuti ya MARIE pale dukan kwa masaweee...

Umeandika point nyingi sana mkuu.
 
Sasa kuna haja gani ya kuipima imani ya binaadamu " wakati tayari (Mungu) ameshajipa cheo cha mjuzi wa yote " .. yaani unakipima kitu ambacho tayari umeshakijua undani wake " !? Kweli " ? Alishindwa nini kuutumia ujuzi wake wa yote katika kuweza kumtambua binaadamu kuwa yuko hivi " anapo anza kumpima baada ya kumuamba ilhali alishajiita kwamba nimjuzi wa yote .. tutakuwa tuna kosea tukisema kwamba Mungu ni muongo " (ana ji-contradiction yeye mwenyewe)

Tutakuwa na makosa tukianza kuuhoji huo uwezo wake wa yote " !? .. maana kwa hiyo statement yako tayari imesha tuonyesha kuwa kumbe hana uhakika wa anacho kifanya kwa sababu hana huo uweza wa yote " laiti kama angekuwa nao asinge hangaika kumuumba binaadamu na kumjaribu " wakati tayari anaujua undani wake kwa kupitia uweza wake wa yote ".. angekuwa ameshajua kuwa hiki kiumbe kitanipinga au ..

Hiki ulicho kisema hapa " hakina tofauti na kusema kwamba Mungu alibeti" kwa sababu hakuwa na uhakika kwamba anaumba kiumbe chenye mtizamo wa namna gani ,!!?

Ndio maana huwaga tuna sema kuwa hizi dini zenu nu matango pori kwa sababu zina mafundisho ambayo yanajipinga yenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujanielewa!

Mimi sijasema namkubali mungu huyo, anayepima imani za watu wake ambao hawana ukamilifu wakati wameumbwa na yeye mwenye ujuzi wote aliyekamilika

Hapo umedandia gari kwa mbele,,ulitakiwa kusoma post za nyuma nilizokua namnukuu yule aliyesema kua anaamin mungu yupo ila shetani hayupo

Na ndio maana nilikua nikijaribu kumuuliza kua wewe unaamini mungu kupitia miongozo ipi ya kidini??. Kwasababu katika miongozo ya kidini ambayo watu wengi wanamtaja huyu mungu hua wanamuhusisha pia na shetani kama ndio chanzo cha mabaya kwa mujibu wa vitabu hivi viwili (biblia&kuran)

Sasa kama atakua anamzungumzia mungu wakwenye hivyo vitabu viwili inabidi atueleze ni kivipi shetani hayupo wakati kitabu alichokitumia kumzungumzia huyu mungu kimekubali kua shetani yupo?

Baada ya kutoa uthibitisho wa hapo juu kuhusu huyo mungu kua amemtoa katika muongozo gani. Pia inabidi anidadavulie ni kivipi huyo mungu yupo

Tuko pamoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dini ni imani sio lazima iwe kweli. Sasa mimi nazumzia Elimu ya Maumbile (God's knowledge) ndio hasa chanzo cha uzi huu. Mungu ni kila kitu na yuko kila mahali na kila wakati. Shetani atapata wapi nafasi ya kuwepo au muda wakuwepo mahali mungu yupo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nn katika biblia kuna mahali walifanya dialogue Mungu akimuuliza shetani UMETOKA WAPI?? shetani akajibu Nimetoka Duniani kuzunguka huku na kule. Swali.: Kama shetani alijitanabaisha kwamba ametoka duniani na wewe unasema Mungu yupo duniani mahali popote huoni kama unapingana na Biblia??? Kwahyo mbinguni yupo nani kama Mungu yupo kila mahali?????

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo mafundisho ya Buddha ni mfumo tu wa maisha ambao ameubuni basi,ila dini ni zaidi ya mfumo wa maisha na ndiyo maana kuna watu walishaingia hadi kwenye Ubuddha na kupenda mafundisho yake ila walitoka huko kwa sababu malengo yao hayakuwa kutafuta mfumo gani tu wa kuishi bali zaidi ya hapo.

Nilitaka nikujibu kwa kirefu lakini najua hutanielewa. Kwa kifupi ukitaka fika Zbar na wewe uko Dar, lazima upande meli, ni ujinga kufika ufukweni ukapiga magoni na kusali ili siku ukifa ujikute uko Zbar. Pili, Nikifika Zbar nikakutana wewe usiyefika huko so long I know hatupakwi malashi ya kunikia na kuna pirau nyumbani kwako ukanialika nikajuika kula na wewe kwani lazima nikutambiae kuwa mimi nimefika Zbar? Mshamba wa Zbar nani? mimi au wewe.
 
Kwa nn katika biblia kuna mahali walifanya dialogue Mungu akimuuliza shetani UMETOKA WAPI?? shetani akajibu Nimetoka Duniani kuzunguka huku na kule. Swali.: Kama shetani alijitanabaisha kwamba ametoka duniani na wewe unasema Mungu yupo duniani mahali popote huoni kama unapingana na Biblia??? Kwahyo mbinguni yupo nani kama Mungu yupo kila mahali?????

Sent using Jamii Forums mobile app
Na ule nao uanona ni mafano wa kuuliza hata, au ni mfano wa kukufundisha hata ukiwa na shida kiasi gani endelea kumuamini mungu?
 
Nilitaka nikujibu kwa kirefu lakini najua hutanielewa. Kwa kifupi ukitaka fika Zbar na wewe uko Dar, lazima upande meli, ni ujinga kufika ufukweni ukapiga magoni na kusali ili siku ukifa ujikute uko Zbar. Pili, Nikifika Zbar nikakutana wewe usiyefika huko so long I know hatupakwi malashi ya kunikia na kuna pirau nyumbani kwako ukanialika nikajuika kula na wewe kwani lazima nikutambiae kuwa mimi nimefika Zbar? Mshamba wa Zbar nani? mimi au wewe.
Wengine uelewa wetu ni mdogo mkuu hivyo ungeachana nasi ukaendelea na mambo yako maana tutakusumbua bure tu.

Sasa kama hapo ulichokiandika sijaelewa hata kimoja,mi nakushauri ujadiliane na watu waelewa wenye upeo mkubwa kama wewe.
 
Mara nyingi kwenye mada kama hizi za kichokozi huwa nakaa pembeni kusoma comments. Kheri ya mwaka mpya wanajamvi
 
Wengine uelewa wetu ni mdogo mkuu hivyo ungeachana nasi ukaendelea na mambo yako maana tutakusumbua bure tu.

Sasa kama hapo ulichokiandika sijaelewa hata kimoja,mi nakushauri ujadiliane na watu waelewa wenye upeo mkubwa kama wewe.
Kama uelewa wako mdogo hukupaswa kuchangia uzi huu, huu ni zaidi ya imani za dini. Sio mbaya ukipitia michango na kuisoma kwa faida yako, kwani tuko duniani kujigunza na kuwa wakamilifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hiyo ni kwa imani yako bro, mimi bado naamini na ntaendelea kuamini kama Mungu yupo!¬!!
Imani kitu muhimu sana, ni mwanzo wa njia ya kumjua mungu. Imani pekeyake haitoshi lazima umjue na umuishi mungu wako. Umani inakutalifu kuwa mungu yupo. Bado unatakiwa kujua kwa nini mungu amefanya uwepo wako? Ni kufanya kazi, iliupate mahitaji yako, na kumuabudu kwa kuendelea kuamini kama yuko kila wakati wa ibada? Au kunajingine? Tuchukulie mfano wa watu waliofika viwango vya mwisho au kikomo kwenye dini zetu, kwa ukristo let say Papa, je ameshalizika kwamba amefanya wajibu wake na hana mashaka na yuko tayari kufa? Hebu mwambie Papa ahatalishe maisha yake kama atakubali, zaidi kutaka kuishi zaidi iliamtumie mungu. Kila mtu ana woga, hajui baada ya haya maisha kuna nini? Amini kwamba mungu yupo lakini pia kuna fumbo umezaliwa hapa Duniani iliufanye nini? Kwa nini leo ni tupu kama jana, hata uwetajiri vipi bado unakuwa mtupu, bado unatafuta, kwa nini? Badala ya kubweteka na kuaminishwa tafuta ukweli. Mimi ni mkristo na nasali RC Sinza na jumapili iliyopita nilikuwa kanisani misa ya 4 na iliongozwa na Paroko msaidizi ilihusu familia takatifu. Najua kuwa niliielewa somo kuliko waumini wenzangu. Mwili umeanzishwa na famikia ya baba na mama na bila mwili roho haiwezi kupata ukamilifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama uelewa wako mdogo hukupaswa kuchangia uzi huu, huu ni zaidi ya imani za dini. Sio mbaya ukipitia michango na kuisoma kwa faida yako, kwani tuko duniani kujigunza na kuwa wakamilifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo sio mimi maana siwezi kukosa haki ya kuchangia humu kisa wewe una upeo mkubwa kuliko mimi,hivyo ni wewe ungenipuuza tu na ukadili na watu wenye uwezo mkubwa kama wako.

Mbona ni jambo rahisi sana tu mkuu.
 
Back
Top Bottom