Hahahahawananuka hao balaa
Umesemea kutandika, upande wa usafi hujagusia kabisa. Vipi usafi ulifanyika au uliruka kichurachura kwenye beseni?Nilishajaribu kubandika mara moja hata kutandika kitanda nilishindwa....kesho yake nikaenda kuzitoa
Napenda kucha ndefu natural
Sijui huwa wanawezaje ila mie kucha za kubandika na mawigi/maweaving vilishanishinda
Umeongezewa point tano za mke mwema.Nilishajaribu kubandika mara moja hata kutandika kitanda nilishindwa....kesho yake nikaenda kuzitoa
Napenda kucha ndefu natural
Sijui huwa wanawezaje ila mie kucha za kubandika na mawigi/maweaving vilishanishinda
Huwa tunawasafisha kwa kuingia uvinza.