Je Mkapa angekuwepo na yeye angetoa baraka za kuwa na Bunge la kifamilia yaani Baba , Mama na watoto mnakutana bungeni?

Je Mkapa angekuwepo na yeye angetoa baraka za kuwa na Bunge la kifamilia yaani Baba , Mama na watoto mnakutana bungeni?

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
31,636
Reaction score
81,533
Taifa limekosaa wazee wa kushauri .

Yawezekana Mkapa angeongea jambo Kama angekuepo Ila ndo hivyo.

Maana Mwaka 2010 nakumbuka Mtoto wa Mkapa aligombea ubunge pale Kigamboni kura za maoni dhidi ya Ndugulile Ila mtoto wa mkapa hakutoboa katika kura za maoni.

Ila Leo hii kinachoendelea ni aibu Sana .
 
Yaani kwa utulivu ulionao wewe mkuu, unatazamia mzee Kikwete ashauri kitu gani kwenye mambo yahusuyo maslahi yake tena kitu inaitwa Pesa?

Mbona unamtwika kitu nzito sana mzee
 
Mkapa baada ya kuwa Rais hata kaka zake walilazimika kuachia nyadhifa zao ili kuondoa picha ya kuwa anapendelea ndugu zake.

Waswahili hawana aibu kabisa, yaani sio watu wa kuwapa madaraka makubwa.
 
kazi ipo bus tulilopanda dereva ni lena, anapita na mabonde, miti anaparamia na hata hajari abiria.
sijui tutafka salama kwel?
 
Nchi ipo mikononi mwa watu wa pwani
Wanachamba wananchi muda wowote wanapojisikia😂😆
 
Rais yeyote ambaye aliridhia kuacha katiba mbovu hii, ana dhambi kubwa
Katiba isingeweza kuondoa roho za kibinafsi. Isingeongeza akili vichwani mwa wajinga, isingeongeza hekima kwenye kujadili nini kiongezwe na nini kipunguzwe kwenye mikataba.

Kenya kuna katiba mpya, kila siku Gen Z wanamnyima usingizi Rais Ruto. Tumepewa rasilimali nyingi sana na zinahitaji ubunifu na elimu za juu katika kuhakikisha zinawasaidia wananchi.

Kuamini kwamba vifungu vya katiba vinaweza kuleta usawa na maendeleo ni kupungukiwa maarifa yenye kufahamu wapi tulipokwamia.
 
Mke wake ndie muasisi wa NGO janja janja za wake wa marais
 
Mkapa baada ya kuwa Rais hata kaka zake walilazimika kuachia nyadhifa zao ili kuondoa picha ya kuwa anapendelea ndugu zake.

Waswahili hawana aibu kabisa, yaani sio watu wa kuwapa madaraka makubwa.
Kama kweli ilikuwa hivyo basi hata wao walikuwa na tatizo sehemu.
 
Back
Top Bottom