Je, mgao wa maji ni wilaya ya Kinondoni na Ubungo?

GUSSIE

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
3,866
11,100
Sikutegemea kuna mwana JF anaweza kulalamika kuwa kuna mgao wa maji Dar es Salaam.

Sijawahi sikia wakazi wa Temeke, Mbagala au Kigamboni wakiongelea hadithi za mgao wa maji

Kigamboni ni wilaya mpya watu wanaishi wao na visima vyao vya maji

Mbagala na Temeke wao wanaishi na Maji yao ya kununua miaka yote toka kwenye magari ya maji

Kwa mtu smart kichwani na msomi wa hapa JF hakika ana mbinu za kuhifadhi maji kuanzia matank na visima

Eneo ambalo Nipo sijawahi sikia mtu analalamika maji hayatoki bombani, Maji kutotoka kwenye bomba kuna mambo mengi Yawezekana kuna matengenezo au kuna uhaba wa mvua au bombo kuu limepasuka

Ukijua kuna siku maji Yanaweza kutotoka bombani kwanini usijiandae na wewe ni msomi wa hapa JF?

Tank la maji la lita elfu tatu ni bei gani?

Mota ya kusukuma maji yapande kwenye tank ni bei gani?

Tuache siasa kwenye mambo ya kijinga
 
Dar mbona mnalalamika sana?

Huku mikoani mgao wa maji ni toka nchi ipate uhuru hadi leo mgao

Nyie umeanza juzi tu mnalalama

Endeleeni kutengeneza memes Instagram mkifikiri ndio njia sahihi ya kusikika

FISIEM NI TAKATAKA KABISA
 
Mkiwa kwenye kampeni mnajinad na kutuletea maji ya bure leo mumegeuka tujipambanie wenyewe!!mna roho mbaya nyie
 
Dar mbona mnalalamika sana?

Huku mikoani mgao wa maji ni toka nchi ipate uhuru hadi leo mgao
Nyie umeanza juzi tu mnalalama

Endeleeni kutengeneza memes Instagram mkifikir ndio njia sahihi ya kusikika .

FISIEM NI TAKATAKA KABISA
Lazima wananchi tuiondoe madarakani
 
Chuo kikuu cha Dar es Salaam, ukosekanaji wa maji yanawatesa wanafunzi, hasa wanaokaa hosteli za magufuli na wale wa coict, viongozi twawaomba muangaliee hili swala

Hosteli za magufuli zina joto sana, kwa hiyo mji yanapaswa kuwepo muda wote

Tunateseka maji huku jamanii, angalieni hili swala, tununue maji ya kunywa kila siku mpaka na ya kuoga tena?
 
Poleni sana, hali ni tete. Bila maji hakuna umeme wa kutosha. Kule Jijini Dodoma bila umeme hakuna maji. Sasa fikiria yote mawili yanatokea kwa wakati huu, nini hatima ya wananchi kule Dodoma?
 
Chuo kikuu cha Dar es Salaam, ukosekanaji wa maji yanawatesa wanafunzi, hasa wanaokaa hosteli za magufuli na wale wa coict, viongozi twawaomba muangaliee hili swala

Hosteli za magufuli zina joto sana, kwa hiyo mji yanapaswa kuwepo muda wote

Tunateseka maji huku jamanii, angalieni hili swala, tununue maji ya kunywa kila siku mpaka na ya kuoga tena?

Kwani ile Boeing 787 - Max imeshakuwa supplied 😁😁?
 
Shida ya maji huchangia magonjwa ya UTI hasa katika vyoo vya jumuia.
Yaani we acha tu, toka tuingie chuoni hii sasa ni wiki ya tatu, unakuta maji hayatokei kabisa the whole day, ikifika usiku joto hilo hatari unasema ngoja nivumilie yawezekana yatatoka kesho, unawahi asbuhi bafuni hamna maji, kwenye matenki maji hamna.

BOMBA LENYEWE NDO USISEME, yaani foleni inakuwa kubwa asbhi mpaka basi

Unakuta hawa watoto wetu wa kike wanaingia darasani hawajaona yaani hali ya maji hapa udsm ni mbaya kweli
 
Nchi nyingine hii ni emergency ya chuo kufungwa kwa muda mpaka suluhisho lipatikane.
 
Chuo kikuu cha Dar es Salaam, ukosekanaji wa maji yanawatesa wanafunzi, hasa wanaokaa hosteli za magufuli na wale wa coict, viongozi twawaomba muangaliee hili swala

Hosteli za magufuli zina joto sana, kwa hiyo mji yanapaswa kuwepo muda wote

Tunateseka maji huku jamanii, angalieni hili swala, tununue maji ya kunywa kila siku mpaka na ya kuoga tena?
Si uende daruso
 
Yaani we acha tu, toka tuingie chuoni hii sasa ni wiki ya tatu, unakuta maji hayatokei kabisa the whole day, ikifika usiku joto hilo hatari unasema ngoja nivumilie yawezekana yatatoka kesho, unawahi asbuhi bafuni hamna maji, kwenye matenki maji hamna.

BOMBA LENYEWE NDO USISEME, yaani foleni inakuwa kubwa asbhi mpaka basi

Unakuta hawa watoto wetu wa kike wanaingia darasani hawajaona yaani hali ya maji hapa udsm ni mbaya kweli
Poleni sana nina mdogo wangu yupo hapo magufuli imebidi arudi home
 
Back
Top Bottom