Je, mgao wa maji ni wilaya ya Kinondoni na Ubungo?

Sikutegemea kuna mwana JF anaweza kulalamika kuwa kuna mgao wa maji Dar es Salaam.

Sijawahi sikia wakazi wa Temeke, Mbagala au Kigamboni wakiongelea hadithi za mgao wa maji

Kigamboni ni wilaya mpya watu wanaishi wao na visima vyao vya maji

Mbagala na Temeke wao wanaishi na Maji yao ya kununua miaka yote toka kwenye magari ya maji

Kwa mtu smart kichwani na msomi wa hapa JF hakika ana mbinu za kuhifadhi maji kuanzia matank na visima

Eneo ambalo Nipo sijawahi sikia mtu analalamika maji hayatoki bombani, Maji kutotoka kwenye bomba kuna mambo mengi Yawezekana kuna matengenezo au kuna uhaba wa mvua au bombo kuu limepasuka

Ukijua kuna siku maji Yanaweza kutotoka bombani kwanini usijiandae na wewe ni msomi wa hapa JF?

Tank la maji la lita elfu tatu ni bei gani?

Mota ya kusukuma maji yapande kwenye tank ni bei gani?

Tuache siasa kwenye mambo ya kijinga
Nilifikiri unaleta argument za maana kumbe ni pumba tu....
 
Chuo kikuu cha Dar es Salaam, ukosekanaji wa maji yanawatesa wanafunzi, hasa wanaokaa hosteli za magufuli na wale wa coict, viongozi twawaomba muangaliee hili swala

Hosteli za magufuli zina joto sana, kwa hiyo mji yanapaswa kuwepo muda wote

Tunateseka maji huku jamanii, angalieni hili swala, tununue maji ya kunywa kila siku mpaka na ya kuoga tena?
Udsm matatizo ya maji ni miaka yote

Tangu lini mabibo hostel maji yakawa ya kutosha

Hapo mabibo pamefungwa matenki ya kutosha

Ni jukumu la viongozi wenu kufuatilia kujaza maji
 
Sikutegemea kuna mwana JF anaweza kulalamika kuwa kuna mgao wa maji Dar es Salaam.

Sijawahi sikia wakazi wa Temeke, Mbagala au Kigamboni wakiongelea hadithi za mgao wa maji

Kigamboni ni wilaya mpya watu wanaishi wao na visima vyao vya maji

Mbagala na Temeke wao wanaishi na Maji yao ya kununua miaka yote toka kwenye magari ya maji

Kwa mtu smart kichwani na msomi wa hapa JF hakika ana mbinu za kuhifadhi maji kuanzia matank na visima

Eneo ambalo Nipo sijawahi sikia mtu analalamika maji hayatoki bombani, Maji kutotoka kwenye bomba kuna mambo mengi Yawezekana kuna matengenezo au kuna uhaba wa mvua au bombo kuu limepasuka

Ukijua kuna siku maji Yanaweza kutotoka bombani kwanini usijiandae na wewe ni msomi wa hapa JF?

Tank la maji la lita elfu tatu ni bei gani?

Mota ya kusukuma maji yapande kwenye tank ni bei gani?

Tuache siasa kwenye mambo ya kijinga
Tank la 3000lts, unaumwa wewe!
 
Back
Top Bottom