Je, Maggid Mjengwa ndiye Mwanakijiji kama ilivyoelezwa na BBC?

Status
Not open for further replies.
Majidi ni 'Mwenyekiti'.. ndivyo tulivyomzea huko bloguni kwake. Labda huo uana kijiji unatokana na kuita kijiwe chake 'kijiji'

Ndugu yangu Mayasa,

Ahsante sana kuwaonyesha wengine njia. Uko sahihi kwa asilimia mia moja. Kwa vile Mjengwablog niliamua kuiita ' Kijiji' ambamo watembeleaji ni kama 'wanakijiji' wa Mjengwablog, basi, kuna walioamua kuniita ' Mwenyekiti' wakimaanisha Mwenyekiti wa Kijiji. Kaka yangu Charles Hillary ni mmoja wa ' Wanakijiji' wangu na alielekea huko katika kunitambulisha.

Sikuona umuhimu wa kuanza mjadala kwa kukanusha redioni ( BBC) utambulisho ule wa kuitwa ' Mwanakijiji'. Ni kwa vile yaliyokuwa mbele yetu katika mjadala ule yalikuwa ya muhimu zaidi. Kila dakika ilikuwa na umuhimu zaidi kuliko kuipoteza kwa kuwachanganya wasikilizaji juu ya "Oh, mimi sio ' Mwanakijiji' ni ' Mwenyekiti' na blah blah nyingine. Kwani kama ' Mwenyekiti' wa kijiji anaishi katika kijiji anachokiongoza kuna kosa gani kuitwa mwanakijiji?

Hivyo basi, niliyoyaandika hapa ndio yachukuliwe kuwa usahihi wa jambo zima na mengine mliyosoma yachuliwe kama ' Porojo za kuchangamsha kijiwe!"- Hata mie zimenichangamsha, ahsanteni sana!

Maggid
( 'Mwenyekiti' na 'Mwanakijiji' wa Kijiji Cha Mjengwablog. Unakaribishwa kijijini kwetu!)
PS: Mzee Mwanakijiji pia ni 'Mwanakijiji' wangu na mie ni ' Mwanakiji' wake, mwenye kubisha akamwulize!
 
Duh kumbe hili Child-name langu ningejua lingekuja kuleta tafrani ningeliwekea Trademark/patent huenda nyie wote wawili sasa hivi mgekuwa mnanilipa
 
mzee mwanakijiji na maggid mjengwa, mpaka mnawagombania hivyo wamelifanyia nini taifa letu mpaka wakumbukwe? Kwanza mimi siwafahamu

lmao!
Wivu utawaueni! Ndio ushangae sasa kwanini wewe uliyelifanyia taifa makubwa hujagombewa!
 
Ni yeye labda aje hapa atuambie
M.M. Mwanakijiji

Hizo M M ni nini.

Kwa u spy wangu mwanakijiji yumo online muda wote na najua lazima kaisoma hii post.

Akitaka atachangi, ila nadhani mnajua kuwa majina mengine watu wanajuana humu ndani kwa hiyo habari ndio hiyo.

Usiwe na wasi Maggid kama unahabari online google itatupa haya naku google
 
Ningeshangaa sana kama Maggid ndo angekuwa Mzee Mwanakijiji. Ila ningempongeza kwamba anajua ku-pritend, maana mada za MMK ni mashariki v/s magharibi na mada za Maggid!
 
Ndugu yangu Mayasa, Ahsante sana kuwaonyesha wengine njia. Uko sahihi kwa asilimia mia moja. Kwa vile Mjengwablog niliamua kuiita ' Kijiji' ambamo watembeleaji ni kama 'wanakijiji' wa Mjengwablog, basi, kuna walioamua kuniita ' Mwenyekiti' wakimaanisha Mwenyekiti wa Kijiji. Kaka yangu Charles Hillary ni mmoja wa ' Wanakijiji' wangu na alielekea huko katika kunitambulisha. Sikuona umuhimu wa kuanza mjadala kwa kukanusha redioni ( BBC) utambulisho ule wa kuitwa ' Mwanakijiji'. Ni kwa vile yaliyokuwa mbele yetu katika mjadala ule yalikuwa ya muhimu zaidi. Kila dakika ilikuwa na umuhimu zaidi kuliko kuipoteza kwa kuwachanganya wasikilizaji juu ya "Oh, mimi sio ' Mwanakijiji' ni ' Mwenyekiti' na blah blah nyingine. Kwani kama ' Mwenyekiti' wa kijiji anaishi katika kijiji anachokiongoza kuna kosa gani kuitwa mwanakijiji? Hivyo basi, niliyoyaandika hapa ndio yachukuliwe kuwa usahihi wa jambo zima na mengine mliyosoma yachuliwe kama ' Porojo za kuchangamsha kijiwe!"- Hata mie zimenichangamsha, ahsanteni sana! Maggid ( 'Mwenyekiti' na 'Mwanakijiji' wa Kijiji Cha Mjengwablog. Unakaribishwa kijijini kwetu!) PS: Mzee Mwanakijiji pia ni 'Mwanakijiji' wangu na mie ni ' Mwanakiji' wake, mwenye kubisha akamwulize!
Mzee Mwanakijiji na Maddid Mjengwa, hii ni ''proof'' kazi yenu (yako) tunaitambua! huyu (maggid) hajaaminika bado, Mzee Mwanakijiji thibitisha hili watu hapa tumeisha changamka na chemsha bongo hii.
 
Ni yeye labda aje hapa atuambie M.M. MwanakijijiHizo M M ni nini.Kwa u spy wangu mwanakijiji yumo online muda wote na najua lazima kaisoma hii post. Akitaka atachangi, ila nadhani mnajua kuwa majina mengine watu wanajuana humu ndani kwa hiyo habari ndio hiyo.Usiwe na wasi Maggid kama unahabari online google itatupa haya naku google
MM Mwanakijiji stands for Mimi mwanakijiji
 
MMKJJ hana nidhamu ya woga kama Majid.

Anatumia jina la mwanakijiji kuwachanganya wasiojua tofauti ili ku-promo blog yake.
 
Ndugu yangu Mayasa,

Ahsante sana kuwaonyesha wengine njia. Uko sahihi kwa asilimia mia moja. Kwa vile Mjengwablog niliamua kuiita ' Kijiji' ambamo watembeleaji ni kama 'wanakijiji' wa Mjengwablog, basi, kuna walioamua kuniita ' Mwenyekiti' wakimaanisha Mwenyekiti wa Kijiji. Kaka yangu Charles Hillary ni mmoja wa ' Wanakijiji' wangu na alielekea huko katika kunitambulisha.

Sikuona umuhimu wa kuanza mjadala kwa kukanusha redioni ( BBC) utambulisho ule wa kuitwa ' Mwanakijiji'. Ni kwa vile yaliyokuwa mbele yetu katika mjadala ule yalikuwa ya muhimu zaidi. Kila dakika ilikuwa na umuhimu zaidi kuliko kuipoteza kwa kuwachanganya wasikilizaji juu ya "Oh, mimi sio ' Mwanakijiji' ni ' Mwenyekiti' na blah blah nyingine. Kwani kama ' Mwenyekiti' wa kijiji anaishi katika kijiji anachokiongoza kuna kosa gani kuitwa mwanakijiji?

Hivyo basi, niliyoyaandika hapa ndio yachukuliwe kuwa usahihi wa jambo zima na mengine mliyosoma yachuliwe kama ' Porojo za kuchangamsha kijiwe!"- Hata mie zimenichangamsha, ahsanteni sana!

Maggid
( 'Mwenyekiti' na 'Mwanakijiji' wa Kijiji Cha Mjengwablog. Unakaribishwa kijijini kwetu!)
PS: Mzee Mwanakijiji pia ni 'Mwanakijiji' wangu na mie ni ' Mwanakiji' wake, mwenye kubisha akamwulize!

Ahsante sana ndugu Maggid,

Majibu yako ni mazuri sana na yameakisi kila angle ambayo ilijaa kichwani mwanagu wakati nawasikiliza.

DC
 
ila kwa jinsi nionavyo huyu MM Mwanakijiji yupo mto Detroit US na huyu MM Maggid Mjengwa ni mtu wa Iringa na Dar na kila ukisoma blog yake ndo huwa inaelezea vitu hivyooo..
 
Mzee Mwanakijiji anaishi Marekani wakati Mjengwa yupo Iringa mara nyingi,kwa taarifa ya BBC siyo yeye kabisa.
 
Jamani majid mjengwa siyo mwanakijiji.mimi namfahamu vizuri sana huyo mtu anayejiita mwanakijiji huyo ni tofauti na mwandishi MAJJID,yeye ni mwanaharakati zaidi na mda mwingi yuko nje ya nchi lakini ni mzalendo sana pamoja na mzee ngurumo...majid mda mwingi yuko njombe na mwanachama mzuri sana wa ccm,mda wake mwingi anashugulika na NGO yake pale njombe.na na hawezi kuwafanana na mwanakijiji...kama unataka kujua mwanakijiji ni nani muulize Dr slaa na Mbowe................majid hawezi kaa na hao watu makini..poleni baadhi ya wanajf kwa kutomjua mwanaharakati mwenzetu...
 
Dark City,
Sifa za Mwanakijiji ktk kuanzisha, kutetea na kujenga hoja zimetukuka sana hapa JF na kwenye magazeti ambayo amekuwa akijitokeza kutoa mawazo yake (huu ni mtazamo wangu binafsi). Yawezekana kabisa mtu mwingine akatamani sifa hizo ziwe zake hata kama hastahili ; hivyo akaamua kutokanusha kuitwa Mwanakijiji. Lakini pia Majid Mjengwa hujiita hivyo (Majid Mjengwa) ktk JF, hivyo nachelea kuamini kwamba Majid Mjengwa anaweza kuwa na majina mawili ktk forum moja! Yawezekana!

Hata hivyo, nimpe haki yake Majid Mjengwa kwamba mchango wake alipokuwa aihojiwa na BBC juu ya ubaguzi wa rangi ktk Sweden na Ulaya kwa ujumla ulikuwa mzuri sana. Hata hivyo umakini ktk mchango huo haukuwa wa kiwango cha Mwanakijiji hata kama Mwanakiji sijawahi kumsikia akiongea. Labda kama uwezo wake ktk kuongea unatofautiana na uwezo wake ktk kuandika.

Anyway, Majid ni member wa JF namshauri ajitokeze na kutoa kauli yake juu ya utata huu.

Hata mimi namtambua hivyo Mzee Mwanakijiji. Sasa kwa nini Majid hakukanusha kwamba yeye si Mwanakijiji?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom