Je, Maggid Mjengwa ndiye Mwanakijiji kama ilivyoelezwa na BBC?

Status
Not open for further replies.
labda anapenda kufananishwa na mkjj! muulize kwenye blogu yake,anaweza akakupa majibu sahihi zaidi.ama u-pm manake si ni memba humu pia?
Hata mimi namtambua hivyo Mzee Mwanakijiji. Sasa kwa nini Majid hakukanusha kwamba yeye si Mwanakijiji?
 
comments za mwanakijiji na majjid zinazotofautiana sana hawezi kuwa mtu mmoja! Wakati majjid huwa anaanzisha uzi na kumbia, mwanakijiji hafanyi hivyo, wakati mwanakijiji huwa anachangia uzi zinazoanzishwa na wengine, maggid hafanyi hivyo, wakati mwanakijiji anamkubali Nyerere sana! Maggid yeye anamkubali sana mkwerè, maggid yeye hamkubali Nyerere, kwa hiyo maggid na mwanakijiji na maggid hawezi kuwa mtu mmoja!
 
inawezekana kuna tofauti kati ya mwanakijiji na mzee mwanakiji lakini anaweza kabisa kuwa ni yeye kwa sababu anakuwaga maeneo tofauti mara kwa mara kama safari za mjegwa zisivyoisha .
Natumaini kama ni watu wawili tofauti au ni yeye atakuja kutupa ufafanuzi
Ila niliposikia bbc chalz hillary akiweka msisitizo angekuwa kakosea lazima mm angekanusha
 
Katika mjadala unaoendelea sasa hivi katika idhaa ya Kiswahili ya BBC, Charles Hillary amemtambulisha Magid Mjengwa kama Mwanakijiji. Magid anashiriki mjadala kuhusu mauaji yaliyotokea Norway (akiwa Sweden) na hakukanusha kwamba yeye si Mwanakijiji. Ina maana kwamba yeye kweli ni Mwanakijiji??

Labda atakuja kutupatia ufafanuzi kwanii mimi nijuavyo, Majid siyo Mwanakijiji wa JF a.k.s Mzee Mwanakijiji!

Nisawa ya Kumfananisha Kikwete na Nyerere nani aliyekuwa na Upeo. Maggid hana uwezo kama wa Mzee Mwanakijiji kwa ufupi Maggid ni Kilaza kama Kikwete tena Maggid atakuwa na afadhali Kidogo kwa kumpita Kikwete
 
Maggid ni mtu makini na mwenye muono mpana na si kabisa Mzee Mwanakijiji ambae kazi yake ni majungu na ufataani usio na mfano.

Anajaribu kujifanya ni mwanafalsafa lakini hana zaidi ya "plagiarism" na fitna za hapa na pale kila kukicha, besides, mmkjj ni Mkatoliki ambae anaamini kabisa kuwa Nyerere ni mtakatifu, on the other hand, Maggid na usosholisti wake, anaelewa madhila aliyotutunukia nyerere.
 
Maggid ni mtu makini na mwenye muono mpana na si kabisa Mzee Mwanakijiji ambae kazi yake ni majungu na ufataani usio na mfano. Anajaribu kujifanya ni mwanafalsafa lakini hana zaidi ya "plagiarism" na fitna za hapa na pale kila kukicha, besides, mmkjj ni Mkatoliki ambae anaamini kabisa kuwa Nyerere ni mtakatifu, on the other hand, Maggid na usosholisti wake, anaelewa madhila aliyotutunukia nyerere.
acha kutudanganya bwana! Maggid anatetea vitu vingine sivyo kwa ujumla maggid anamkubali sana mkwerè!
 
Katika mjadala unaoendelea sasa hivi katika idhaa ya Kiswahili ya BBC, Charles Hillary amemtambulisha Magid Mjengwa kama Mwanakijiji. Magid anashiriki mjadala kuhusu mauaji yaliyotokea Norway (akiwa Sweden) na hakukanusha kwamba yeye si Mwanakijiji. Ina maana kwamba yeye kweli ni Mwanakijiji??

Labda atakuja kutupatia ufafanuzi kwanii mimi nijuavyo, Majid siyo Mwanakijiji wa JF a.k.s Mzee Mwanakijiji!

Hakukanusha kwa sababu yeye ni inferior kwa Mwanakijiji mwenyewe hivyo kukwezwa kwake ameona baraka, si unafahamu huyu ni kati ya wale wanaotumiwa na Fisadi papa?
 
Maggi ninaemfahamu mimi ktk habari hawezi kuwa Mzee Mwanakijiji! Nisawa ukisema kwato na kanyagio vinafanana! MM ni Great Thinker na Maggid ni Great Singer magamba!
 
Majidi ni 'Mwenyekiti'.. ndivyo tulivyomzea huko bloguni kwake. Labda huo uana kijiji unatokana na kuita kijiwe chake 'kijiji'
 
ama hii ni controversy aliyoamua kuicreate makusudi charlz hiraly ili kuweza kubaini identity ya MM?
 
Status
Not open for further replies.
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom