Je, Maggid Mjengwa ndiye Mwanakijiji kama ilivyoelezwa na BBC?

Status
Not open for further replies.

Dark City

JF-Expert Member
Oct 18, 2008
16,253
11,598
Katika mjadala unaoendelea sasa hivi katika idhaa ya Kiswahili ya BBC, Charles Hillary amemtambulisha Magid Mjengwa kama Mwanakijiji. Magid anashiriki mjadala kuhusu mauaji yaliyotokea Norway (akiwa Sweden) na hakukanusha kwamba yeye si Mwanakijiji. Ina maana kwamba yeye kweli ni Mwanakijiji??

Labda atakuja kutupatia ufafanuzi kwanii mimi nijuavyo, Majid siyo Mwanakijiji wa JF a.k.a Mzee Mwanakijiji!

Ndugu yangu Mayasa,

Ahsante sana kuwaonyesha wengine njia. Uko sahihi kwa asilimia mia moja. Kwa vile Mjengwablog niliamua kuiita ' Kijiji' ambamo watembeleaji ni kama 'wanakijiji' wa Mjengwablog, basi, kuna walioamua kuniita ' Mwenyekiti' wakimaanisha Mwenyekiti wa Kijiji. Kaka yangu Charles Hillary ni mmoja wa ' Wanakijiji' wangu na alielekea huko katika kunitambulisha.

Sikuona umuhimu wa kuanza mjadala kwa kukanusha redioni ( BBC) utambulisho ule wa kuitwa ' Mwanakijiji'. Ni kwa vile yaliyokuwa mbele yetu katika mjadala ule yalikuwa ya muhimu zaidi. Kila dakika ilikuwa na umuhimu zaidi kuliko kuipoteza kwa kuwachanganya wasikilizaji juu ya "Oh, mimi sio ' Mwanakijiji' ni ' Mwenyekiti' na blah blah nyingine. Kwani kama ' Mwenyekiti' wa kijiji anaishi katika kijiji anachokiongoza kuna kosa gani kuitwa mwanakijiji?

Hivyo basi, niliyoyaandika hapa ndio yachukuliwe kuwa usahihi wa jambo zima na mengine mliyosoma yachuliwe kama ' Porojo za kuchangamsha kijiwe!"- Hata mie zimenichangamsha, ahsanteni sana!

Maggid
( 'Mwenyekiti' na 'Mwanakijiji' wa Kijiji Cha Mjengwablog. Unakaribishwa kijijini kwetu!)
PS: Mzee Mwanakijiji pia ni 'Mwanakijiji' wangu na mie ni ' Mwanakiji' wake, mwenye kubisha akamwulize!
 
Baadhi ya sehemu, Mwanakijiji huanzaga na herufi M. M.,
So may be ndie
 
Mwanakijiji hawezi kuwa Bogus kama Maggid Mjengwa. hivi ni vitu viwili tofauti, hapa mmoja ana bei lakini mwingine hana bei, yaani hanunuliki mpaka watakapo salimu amri.

Hata mimi namtambua hivyo Mzee Mwanakijiji. Sasa kwa nini Majid hakukanusha kwamba yeye si Mwanakijiji?
 
Katika mjadala unaoendelea sasa hivi katika idhaa ya Kiswahili ya BBC, Charles Hillary amemtambulisha Magid Mjengwa kama Mwanakijiji. Magid anashiriki mjadala kuhusu mauaji yaliyotokea Norway (akiwa Sweden) na hakukanusha kwamba yeye si Mwanakijiji. Ina maana kwamba yeye kweli ni Mwanakijiji??

Labda atakuja kutupatia ufafanuzi kwanii mimi nijuavyo, Majid siyo Mwanakijiji wa JF a.k.s Mzee Mwanakijiji!

DC, Mzee Mwanankijiji na Mwanakijiji vinafanana??
KWako wewe mwanakijiji ni nani??
 
Mwanakijiji hawezi kuwa Bogus kama Maggid Mjengwa. hivi ni vitu viwili tofauti, hapa mmoja ana bei lakini mwingine hana bei, yaani hanunuliki mpaka watakapo salimu amri.
futa kauli bwana majid ni mwandishi anaeheshimika tz na dunia inajua
 
Nakoleza maandishi tena kwa herufi kubwa, MAJJID anaheshima kwako na kwa familia yako, usinilazimishe mimi kumheshimu mtu ninaemini hastahili heshima.
logic alwayz stands stable: and its doesn't depends on individuals na nataka nikwambie kuwa majjid sio bogus mapungufu kama anayo ni madogo na ya kbnadamu since no bads z perfect. By the way siwezi kukulazmisha unahaki yako "Mtanzania wa kawaida" kutoa mawazo yako.
 
Hapo kwenye RED ningejisikia raha zaidi kama ungeandika Mtanzania wa kawaida sanaaaa!
 
Mzee Mwanakijiji na Maggid Mjengwa, mpaka mnawagombania hivyo wamelifanyia nini Taifa letu mpaka wakumbukwe? Kwanza mimi siwafahamu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom