Je, Lissu yupo nchini?

Ilo shetani UCD ukitaja MUNGU linachukia sababu ni moja la mashetani yaliyomkasirikia MUNGU kwa kumponya LISU. Na wao kushindwa kwa UWEZA WA MUNGU
 
Waumie kwa lipi? Huyo msaliti wakati hata ubunge hana tena!

Bora huyo rais ndio kaamua asiwe mbunge lakini kachaguliwa na wananchi, kuliko yule aliyechaguliwa na rais na sio wananchi.
 
UCHUNGUZI UMEFANYIKA NA UMEKWISHA. WAHUSIKA WAKUU WANASUBIRIWA NA MMOJA WAO NI LISSU. HIZO NGONJERA MARA WALINZI WALIONDOLEWA MARA CCTV ZILIFUNGULIWA NI HABARI ZA KUTUNGA NA KESI ITAKAPONGURUMA HATA WEWE UTAUFAHAMU UKWELI
UNA UPUUZI MWINGI SANA UKIDHANI JF KUNA MAZEZETA YASIYOFIKIRIA KAMA WEWE.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…