Je, kuna Mungu? Kwanini aruhusu mateso makali duniani?

Je, kuna Mungu? Kwanini aruhusu mateso makali duniani?

Kuuliza tu, "Kuna Mungu" ni uthibitisho na ushahidi tosha kwamba Mungu hayupo.

Kitu ambacho kipo na kinajulikana kipo na kila mtu anajua kipo, Wala huitaji kuhoji uwepo wake.

Mungu hayupo ndio maana unahoji na kuuliza kama yupo.

Mungu angekuwepo, Wala kusingehitajika kuhoji hoji uwepo wake.

Kila mtu angejua Mungu huyo yupo bila hata kuhoji na bila hata kuamini.

Mungu hayupo.

Hakuna Mungu.
 
Kuuliza tu, "Kuna Mungu" ni uthibitisho na ushahidi tosha kwamba Mungu hayupo.

Kitu ambacho kipo na kinajulikana kipo na kila mtu anajua kipo, Wala huitaji kuhoji uwepo wake.

Mungu hayupo ndio maana unahoji na kama yupo.

Mungu angekuwepo, Wala kusingehitajika kuhoji hoji uwepo wake.

Kila mtu angejua Mungu huyo yupo bila hata kuhoji na bila hata kuamini.

Mungu hayupo.

Hakuna Mungu.
Kuhoji sio kutokujua bali kujiuliza kwanini unahisi nafsini mwako yupo..

I was once a non believer ila nilipo fikia the verge of breaking na akaingilia kati kuni okoa.. Hapo si kutaka hata kuuliza kwanini yupo
 
Sio kwamba natafuta sifa au nataka kubishana na mtu kuhusu imani. Lakini nikitazama yanayoendelea duniani vita, mauaji, watoto wanaoteseka, njaa, magonjwa na watu wasio na hatia kupoteza maisha naanza kujiuliza kwa dhati kama Mungu yupo na ana uwezo wote, kwa nini anaruhusu mateso haya yaendelee?

Huenda kuna majibu ambayo mimi siyajui. Lakini kwa sasa, swali hili limenifanya nianze kujiuliza kwa kina kuhusu uwepo wa Mungu.

Ningependa kusikia mawazo yenu Je, wewe unaamini Mungu yupo? Na kama ndiyo, unaelezaje uwepo wa mateso makubwa duniani?

NB: Bado nipo kwenye majonzi ya kumpoteza rafiki yangu, aliyeteseka kwa ugonjwa wa sickle cell. Na aliyeishi maisha ya maumivu mpaka kuondoka kwake. Kijana mdogo miaka 23.
Nitakujibu kwenye sickle cell, sasa kuna dawa Ina eliminate kabisa (cure), very expensive and not accessible kwa wengi lakini ipo, hope itafika Tanzania soon
 
Nyie ni watu wa ajabu sana na huu ndio ujinga wenu, Yale ya October 29 madogo, wewe hayakuhusu? Hizo Dini zenu zinawafanya msiwe na Roho ya Huruma zinatofauti gani na ushetaani?
hujawahi pitia mambo ukaona kama hakuna Mungu😀😀😀
na hujawahi ponea chupuchupu kwenye shida au msala unajua kabisa ulikua hutoboi yaani unajua kabisa hapa ni Mungu tu😀😀
 
Back
Top Bottom