Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,554
- 110,072
Kula kitimoto, kuoa wake wanne, kunywa pombe na kutokutunza Sabato(kufanya kazi Jumamosi) ni dhambi?Dhambi ni uasi=kwenda kinyume na mapenzi ya Mungu
Kula kitimoto, kuoa wake wanne, kunywa pombe na kutokutunza Sabato(kufanya kazi Jumamosi) ni dhambi?Dhambi ni uasi=kwenda kinyume na mapenzi ya Mungu
Wapumbavu hujisemea moyoni: Hakuna Mungu! Wote wamepotoka kabisa,
Mtafuteni BWANA, maadamu anapatikana, Mwiteni, maadamu yu karibu; Mtu mbaya na aache njia yake, Na mtu asiye haki aache mawazo yake; Na amrudie BWANA, Naye atamrehemu; Na arejee kwa Mungu wetu, Naye atamsamehe kabisa.
Twende taratibu. Mungu ni nini/nani?Nani mwingi pasipo Mungu?
Mungu ni kila kitu..Twende taratibu. Mungu ni nini/nani?
Hata mimi ni Mungu pia? Si ndo maana yake?Mungu ni kila kitu..
YesHata mimi ni Mungu pia? Si ndo maana yake?
Unatakiwa ujueOk mkuu endelea kuamini unavyo amini
Kwenye haya maisha changamoto, magonjwa, na dhambi zako ndio prosecutors wanaokushtaki na kukujaribu. Matendo yako ndio ushahidi wenyewe, Mungu huwa anabaki pale pale juu kama Jaji Mkuu anayeangalia nani kashinda kesi basi.Sijajua kwa nini umetumia mfano wa jaji wakati jaji sio prosecutor ni muamuzi nyutro asiye na upande.
Kwani kuna mtoto huwa anamshauri mama yake amzae au asimzae? Wazazi wako wamekupatia maisha bila kukuomba idhini, na bado unawaheshimu. Sasa iweje Mungu aliyekuumba akuombe ruhusa kwanza kabla hajakupa pumzi?Kwa nini wanadamu tuko kwenye mtihani na majaribu kwenye haya maisha ambayo hata hatukuyachagua wenyewe bali tumejikuta tu tupo??
Ushahidi wa mungu unaosema uko wazi kwenye laws of the nature tusingekuwa tunabishana hapa. Kwa nini hatubishani kama Trump ni rais Marekani, mlima Kilimanjaro uko Tanzania, bacteria na virus wanasababisha magonjwa, uwepo wa Mkawawa n.k ??
Mkuu nijue nini kingine? Nimekwambia nimeshafanya practice za ki Buddha na reasoning ila zote zimeniruedisha kwake Mungu.Unatakiwa ujue
Imani itakufanya tuendelee kuwa kondoo
Halafu umesema umepitia vitabu vya Ubudha kidogo?
Mkuu naona siku hizi umeanza kuchanganya philosophy and spirit that's soo good keep it upKwenye haya maisha changamoto, magonjwa, na dhambi zako ndio prosecutors wanaokushtaki na kukujaribu. Matendo yako ndio ushahidi wenyewe, Mungu huwa anabaki pale pale juu kama Jaji Mkuu anayeangalia nani kashinda kesi basi.
Kwani kuna mtoto huwa anamshauri mama yake amzae au asimzae? Wazazi wako wamekupatia maisha bila kukuomba idhini, na bado unawaheshimu. Sasa iweje Mungu aliyekuumba akuombe ruhusa kwanza kabla hajakupa pumzi?
Kipindi hicho hakuna nchi iliyokuwa na human rights. Ukishindwa vita, unauawa au unakuwa mtumwa, na hiyo ndio ilikuwa universal law ya dunia nzima, iwe una dini au huna. Dini zilikuja kuanza kuweka mipaka na sheria za kuzuia ukatili uliokithiri, sio kuuanzisha!Kwenye biblia WaIsrael walikuwa wakivamia mji wanaua kila kitu hadi watoto wachanga na haikuwa kinyume cha maadili yatokanayo na mungu wao aliyewaamuru kufanya hivyo. WaIsrael, Wazungu na Waarabu walikuwa wanamiliki binadamu wengine kama watumwa wakisema wameagizwa na mungu wa dini zao kufanya hivyo na haikuwa kinyume cha maadili ya dini na mungu wao.
Tukianza kuzungumzia suala la jinsi Biblia na Quran zilivyo na mambo mengi ya kinyume cha maadili tutakesha hapa.
Sasa msaada wa mungu nini kama anamuacha binadamu apigane mwenyewe na magonjwa, njaa, majanga, tamaa za mwili n.k huku yeye akiwa mtazamaji tu?!Kwenye haya maisha changamoto, magonjwa, na dhambi zako ndio prosecutors wanaokushtaki na kukujaribu. Matendo yako ndio ushahidi wenyewe, Mungu huwa anabaki pale pale juu kama Jaji Mkuu anayeangalia nani kashinda kesi basi.
Kama cosmological argument inafosi, hebu nipe basi hoja yako mbadala ya jinsi ulimwengu ulivyofika hapa tulipo? ulimwengu ulijiumba wenyewe bila sababu? au ulimwengu umekuwepo tangu milele kitu ambacho thermodynamics imeshathibitisha sio kweli? Ukikataa jibu lenye mantiki, inabidi ulete jibu bora zaidi, sio unalialia tu kwamba tunafosi.Huyo niliyemjibu yeye kaja na mipasho. Kapata mipasho.
Ukija na mipasha utapata mipasho.
Leta facts, nikupe facts.
Nampokea kila mmoja kadiri anavyokuja.
Kwanza nikwambie, Cosmological Arguments sio uthibitisho wa Kwamba kuna Mungu. Ni hoja tu zinazojaribu kufosi uwepo wa huyo Mungu aliyetungwa.
Nashindwa kukupa tafsiri nzuri amini Mungu yupoKuna njia ipi nyingine inayotakiwa kutumika kumuelewa huyo Mungu
Ukikimbilia kwenye Deistic God ili kukwepa majibu, ndio unazidisha matatizo, huyo mungu wa deism ni sawa na mzazi anayezaa mtoto kisha akamtupa jalalani na kumtelekeza kabisa, huyo ndio hana maana kabisa! Mungu wa Abrahamu amekupa ramani ya maisha, akili ya kupambana, na anakuahidi ultimate justice and restoration baada ya huu mtihani wa duniani kuisha. Which one is better?Sasa msaada wa mungu nini kama anamuacha binadamu apigane mwenyewe na magonjwa, njaa, majanga, tamaa za mwili n.k huku yeye akiwa mtazamaji tu?!
Kama ndio hivyo unaamini ni bora ukaamini diestic god badala huyu Abrahamic god ili kupunguza hizi contradictions zote.
Ahsante kwa kutetea hoja yangu bila wewe mwenyewe kujua, ulicho kieleza maana yake walikuwa na chanzo cha maarifa kisicho cha kawaida. Binadamu wa kawaida wa zama zile, wasio na teknolojia, walipata wapi akili ya kiwango hicho kama hawakuongozwa na Mungu aliyetengeneza hiyo akili ya mwanadamu?Sheria zimewekwa ili tuishi kistaarabu. Dini zipo kusaidia hizo sheria kutowaumiza watu maana mtaji wa dunia ni watu. Ndio maana kwenye maandiko hofu ndiyo iliyotawala.
Hakika nakuambia, walioandika biblia, waliijua akili ya mwanadamu mpaka pa mwisho
Katika mafundisho mengi ya kidini, imani ya kweli haipimwi wakati wa raha, bali wakati wa shidaHuruhusu yote hadi ubakaji, wizi, ulawiti, vita na mauaji?
Sasa huyo unaye mwita Mungu ni Gautama Buddha au Budha mkuu?Mkuu nijue nini kingine? Nimekwambia nimeshafanya practice za ki Buddha na reasoning ila zote zimeniruedisha kwake Mungu.
Hiyo ni pepo ambayo wataingia watakaofaulu.Hiyo dunia ambayo tunaambiwa itakuwa na raha tu, hakutakuwa na magonjwa, njaa, umasikini majanga na chochote kibaya itaji balance vipi??