nusuhela
JF-Expert Member
- Jan 26, 2014
- 6,504
- 8,195
Kuna njia ipi nyingine inayotakiwa kutumika kumuelewa huyo MunguMungu huruhusu yote ili utukufu wake usibezwe shida mnataka kumuelewa Mungu kama unasoma notes za darasani
Kuna njia ipi nyingine inayotakiwa kutumika kumuelewa huyo MunguMungu huruhusu yote ili utukufu wake usibezwe shida mnataka kumuelewa Mungu kama unasoma notes za darasani
Hakuna njia rasmiBila kufundishwa au kuelekezwa kuhusu uwepo wa huyo Mungu. Ni njia ipi inayoweza kumfanya mtu/binadamu aelewe/afahamu uwepo wa huyo Mungu?
Kama kundi la watu au nchi nzima ikiamua kisheria kuwa kuua watoto wachanga ni sawa, utajuaje kuwa wamekosea? Utasema ni makosa kwa kigezo gani cha ulimwengu mzima kama hakuna mtoa maadili Mkuu aliyeweka hiyo Sheria?Bila kufundishwa au kuelekezwa kuhusu uwepo wa huyo Mungu. Ni njia ipi inayoweza kumfanya mtu/binadamu aelewe/afahamu uwepo wa huyo Mungu?
Sijajua kwa nini umetumia mfano wa jaji wakati jaji sio prosecutor ni muamuzi nyutro asiye na upande.Kwani mahakamani jaji huwa anashuka kizimbani kujitetea mbele ya mtuhumiwa? Sisi wanadamu ndio tuko kwenye mtihani na majaribu ya haya maisha sio Mungu. Yeye alishaleta ushahidi wake kupitia the laws of nature. Kama wewe umechagua kuwa kipofu na kutoona huo ushahidi uliowazi, yeye hana cha kupoteza. He doesn't owe you a personal appearance just to satisfy your ego.
Dhambi ni nini ?Dhambi sio keki mkuu. Inaangamiza kizazi
Huyo niliyemjibu yeye kaja na mipasho. Kapata mipasho.Hii kauli yako umeitoa kichwani kwako au umeinakili kwa makafiri wa mtandaoni? Wewe ndiye uliyekariri maana huna hoja yoyote ya maana uliyosimamia zaidi ya kashfa. Watu wanajadili cosmology, fine tuning, na moral laws, wewe unaleta mipasho Grow up!
wew elewa kuwa maisha ya mwanadam MUNGU hayajali, yaan ukiingia tu dunian elewa utaish maisha ya bahat na sibu, lolote linaweza kukupata wakat wowote (liwe baya ama jema), kwake MUNGU hizo sio shda zake, anachojal yeye ufe ukiwa upande wake, mengne yote yanayokuhusu wew ukiwa hai utajijua mwenyewe, yeye sio shda zake!Kwahiyo habari za Mungu umezijua kupitia bible?
Kama hujaelewa hilo swali maana yake hukujipanga na hoja yako.Stupid question
Issue ni kuwa athiest wengi wakifika hapa huwa wanafura na kuanza ku attack mtu sio hoja tena.kimashida❌️
Kina shida✅️
Wewe hata kuandika huwezi.
Rudi shule kwanza, ukafunzwe kuandika kwa usahihi.
This is the futility of arguing with unreasonable people.
You are not mentally enough to argue with me.
Find someone of your league to parallel your mediocrity.
I'm done with you.
Umuhimu wa kujua/kufahamu uwepo wa Mungu ni upi?Hakuna njia rasmi
Inahitaji utulivu wa mwili, akili na roho ili kujua uwepo wake
Mimi nilitumia miiko ya Buddha na meditation kujua, lakini pia nilipitia Hwa katika tatizo gumu kutoka na nikaona nguvu ya Mungu na kuamini. Kupitia challenge ile
Unaanza kuishi na sio ku surviveUmuhimu wa kujua/kufahamu uwepo wa Mungu ni upi?
Kwenye biblia WaIsrael walikuwa wakivamia mji wanaua kila kitu hadi watoto wachanga na haikuwa kinyume cha maadili yatokanayo na mungu wao aliyewaamuru kufanya hivyo. WaIsrael, Wazungu na Waarabu walikuwa wanamiliki binadamu wengine kama watumwa wakisema wameagizwa na mungu wa dini zao kufanya hivyo na haikuwa kinyume cha maadili ya dini na mungu wao.Kama kundi la watu au nchi nzima ikiamua kisheria kuwa kuua watoto wachanga ni sawa, utajuaje kuwa wamekosea? Utasema ni makosa kwa kigezo gani cha ulimwengu mzima kama hakuna mtoa maadili Mkuu aliyeweka hiyo Sheria?
Sheria zimewekwa ili tuishi kistaarabu. Dini zipo kusaidia hizo sheria kutowaumiza watu maana mtaji wa dunia ni watu. Ndio maana kwenye maandiko hofu ndiyo iliyotawala.Kama kundi la watu au nchi nzima ikiamua kisheria kuwa kuua watoto wachanga ni sawa, utajuaje kuwa wamekosea? Utasema ni makosa kwa kigezo gani cha ulimwengu mzima kama hakuna mtoa maadili Mkuu aliyeweka hiyo Sheria?
Dhambi ni uasi=kwenda kinyume na mapenzi ya MunguDhambi ni nini ?
Hiyo dunia ambayo tunaambiwa itakuwa na raha tu, hakutakuwa na magonjwa, njaa, umasikini majanga na chochote kibaya itaji balance vipi??Kama hujaelewa hilo swali maana yake hukujipanga na hoja yako.
Yaani kwa vile kuna Mungu ndio unataka maisha yawe mteremko kwa watu wote yaani kuwe na upande wa positive tu bila negative dunia ingebalance vipi.
Kuwe hakuna kuumwa,kusiwe na umaskini watu wote wawe kama Bakhresa ni dhana za kitoto.
Mungu wako anasubiri ufe ndo adili na wewe? Ukifa maana yake ubongo wako hautafanya kazi na hizo kumbukumbu ulizojaza zitafutika. Ndivyo itakavyokua si ndio?wew elewa kuwa maisha ya mwanadam MUNGU hayajali, yaan ukiingia tu dunian elewa utaish maisha ya bahat na sibu, lolote linaweza kukupata wakat wowote (liwe baya ama jema), kwake MUNGU hizo sio shda zake, anachojal yeye ufe ukiwa upande wake, mengne yote yanayokuhusu wew ukiwa hai utajijua mwenyewe, yeye sio shda zake!
Hizi sio reliable sources ya kuelekea entity mliyoipa ukuu isiyo kuwa nao.Nimeelezea sana ya kuwa ni one can fully explain a feeling or emotion.. Utaelezea katika muktadha wa akili na programing
So nimejaribu tu kwa namna ninavyo hisi ina faa.
Na si kutaka mtu a amini nataka kila mtu awe na personal experience
Hayo yote ni kwa mpango wa nani?Unaanza kuishi na sio ku survive
Lakini pia suffering na Maumivu hupungua
Ok mkuu endelea kuamini unavyo aminiHizi sio reliable sources ya kuelekea entity mliyoipa ukuu isiyo kuwa nao.
Nani mwingi pasipo Mungu?Hayo yote ni kwa mpango wa nani?