Je, kuna Mungu? Kwanini aruhusu mateso makali duniani?

Je, kuna Mungu? Kwanini aruhusu mateso makali duniani?

Mimi wala siamini.

Siamini kwenye kuamini.

Sina imani ya aina yoyote ile.

Kuna tofauti kati ya "kuamini" na "kujua".

Kuamini unaweza kuamini hata uongo.

Mimi sihitaji kuamini nahitaji kujua kwa uhakika, ukweli, ushahidi na uthibitisho.
mpaka sasa si unacho unachokijua? na ndio maana umechagua upande hutaki kuamini unataka kujua? kwa uelewa wangu finyu ni kwamba pengine umekua au ulilelewa katika misingi fulani ya imani ila baada ya kukua au kujitambua umeona hiyo misingi haikufai ama ni ya uongo ukachagua njia yako ya kujua,
pengine umetafuta ulichotafuta ukapata sasa umejua lipi ni lipi

bado uko sahihi mimi sikupingi hata kidogo mkuu
 
Kutokuweza kitu fulani sio hitimisho la moja kwa moja kwamba jibu ni Mungu au kuna Mungu.

Maana wewe unataka kufanya Divine fallacy.

The divine fallacy also known as the argument from incredulity—is a logical error. It happens when someone claims that a hard-to-understand event must be the work of God or magic simply because they cannot find another explanation.

The divine fallacy can take various forms, but it generally has a structure similar to the following:

Premise 1: if I don’t know how to explain a certain phenomenon using science, then it must occur as a result of divine intervention.

Premise 2: I don’t know how to explain this phenomenon using science.

Conclusion: this phenomenon must occur as a result of divine intervention.
Mkuu achana na philosophy au psychology hizo zitakuchanganya..

It's like AI.. Inategemea programming..

Hatuwezi kuelezea human emotion kwa logic, au hatuwezi kuelezea creativity kwa kutumia AI...itakuja na kitu kile kile kwa namna ya kitofauti.

Divine fallacy na logical error ndo kile akili yako itaomba Kumake sense ya kile hisia haiwezi kueleweka... Stop this if you really wanna know..

Labda nikupe quest, acha kufanya jambo lolote uwe una meditate tu siku nzima utakuja kuniambia kama hutahisi unataka ku data...

Unajua why? Because questions and logic ndio food ya mind.. Ukiweza kuishinda na kuicontrol mind.. Ndipo unakuwa umekaribia kumjua Mungu.. Na hapo utapata viashorio tu vitakavyo kufanya hata usiulize tena uwepo wake
 
Actually, nilikosea kusema I believe...

I don't believe I know intuitively..

That surpasses any explanation because nitadogosha kile nafsi yangu inakijua

Nilikuwa kama wewe mpaka pale Mungu alipoamuwa kunifunza, na nina mshukuru kuniokoa maana ningekuwa mfano mbaya sana
Kwanza thibitisha Mungu yupo kabla ya kusema alikufunza.

Tutajuaje na Tutahakikisha vipi kwamba ulifunzwa na huyo Mungu?

Leta uthibitisho. Ni lini na wapi huyo Mungu alikufunza?
 
Kwanza thibitisha Mungu yupo kabla ya kusema alikufunza.

Tutajuaje na Tutahakikisha vipi kwamba ulifunzwa na huyo Mungu?

Leta uthibitisho. Ni lini na wapi huyo Mungu alikufunza?
Nimesha kupa tips hapo juu anza na hizo kwamza
 
Mkuu kuna sisi ambao unafika stage una transcend mitazamo na falsafa yaani unagundua vyote ni kuzunguka mbuyu tuu.

Na hapo ndo ule ukweli usio na pande huja.. Yaani unakuwa umevuka good and bad. Unabakia ukweli tu.. Na sio wa kuanza ku prove kwa watu
Hakuna chochote cha maana unachosema, unaoneka ni mtu delusional tu kama wale Wasabato masalia walioweka kambi airport wakiamini watasafiri bila tiketi, passport na visa kwenda kuhubiri nje ya nchi.
 
Mkuu kama huna cha kuuliza ni heri nakuomba ukaacha kuni tag tu
Simtag mtu ila nimefanya reply
Maana hujui unacho akisema ni Mungu
Unajaribu kuelekea mazingira yako, ukiyahisisha na Uungu kitu ambacho ni wrong.
 
Mkuu achana na philosophy au psychology hizo zitakuchanganya..
Kwa nini unataka niachane na philosophy?
It's like AI.. Inategemea programming..

Hatuwezi kuelezea human emotion kwa logic, au hatuwezi kuelezea creativity kwa kutumia AI...itakuja na kitu kile kile kwa namna ya kitofauti.

Divine fallacy na logical error ndo kile akili yako itaomba Kumake sense ya kile hisia haiwezi kueleweka... Stop this if you really wanna know..

Labda nikupe quest, acha kufanya jambo lolote uwe una meditate tu siku nzima utakuja kuniambia kama hutahisi unataka ku data...

Unajua why? Because questions and logic ndio food ya mind.. Ukiweza kuishinda na kuicontrol mind.. Ndipo unakuwa umekaribia kumjua Mungu.. Na hapo utapata viashorio tu vitakavyo kufanya hata usiulize tena uwepo wake
Nakwambia hivi, Huyo Mungu angekuwepo hata hii mijadala ya kuhoji uwepo wake isingekuwepo.

Mungu hayupo ndio maana unahangaika kufosi aonekane yupo.

Na ndio maana , kuna mijadala ya kuhoji uwepo wake, miaka nenda rudi.

Huu uzi sio wa kwanza. Kuna maelfu ya nyuzi humu ya kuulizia habari za huyo Mungu.
 
Hakuna chochote cha maana unachosema, unaoneka ni mtu delusional tu kama wale Wasabato masalia walioweka kambi airport wakiamini watasafiri bila tiketi, passport na visa kwenda kuhubiri nje ya nchi.
Stop attacking someone that's another thing.. Watu kama nyie mnakuwa brainwashed. Actually mimi sina dini, najua Mungu ni wa wote.. Haijalishi ni mtu, mti, mnyama, ndege.

Nakushauri kuwa na utulivu wa kihisia utoapo hoja.
 
Kwa nini unataka niachane na philosophy?

Nakwambia hivi, Huyo Mungu angekuwepo hata hii mijadala ya kuhoji uwepo wake isingekuwepo.

Mungu hayupo ndio maana unahangaika kufosi aonekane yupo.

Na ndio maana , kuna mijadala ya kuhoji uwepo wake, miaka nenda rudi.

Huu uzi sio wa kwanza. Kuna maelfu ya nyuzi humu ya kuulizia habari za huyo Mungu.
Issue ni kuwa uko so programmed mpaka uwezo wako wa kuunganisha hisia na logic una potea..

Mimi siko hapa kukufanya urudi kulinganisha nyuzi na kuamsha usingizini.

Hiyo logic na philosophy ni product ya zao la mind and body ambazo unajua fika ziko limited
 
Kwanini ukitaja jina la Yesu pepo linakimbia ? Kama huyu mtu hayupo lisingeogopa kwanini ukitaka jina la Yunes halitoki?
 
Stop attacking someone that's another thing.. Watu kama nyie mnakuwa brainwashed. Actually mimi sina dini, najua Mungu ni wa wote.. Haijalishi ni mtu, mti, mnyama, ndege.

Nakushauri kuwa na utulivu wa kihisia utoapo hoja.
You are delusional
 
Hujathibitisha Mungu yupo.

Unanipa tips.

Mimi sitaki tips.

Nataka uthibitishe Mungu yupo.

Na ulijuaje yupo?

Na si imani zako ulizo aminishwa na kukaririshwa tu.
Nimekwambia umeditate, unataka ukweli usio na mchakato? Mbona wewe jamaa Unabisha kila kitu?

Sema tu ukweli kuwa hutaki kujua, hutaki kuamini, hutaki ushauri that's all sio kingine
 
Back
Top Bottom