Nadhani waliomuumba Mungu,ni watu walokuwa na malengo yao binafsi na kwa kuwa ingekuwa ngumu kutapeli hivi hivi,wakabuni mbinu za kuwachinjia baharini. Enzi hizo hata hela hakuna, ardhi na mali nyingine waliaminishwa,wakagawa. Makosa walifanya mababu,ila na uzao wao,ndo ukawa hivyo. Siku hizi kuna pesa sasa ndo usiseme.Kabisa mkuu.
Ukijiuliza maswali haya utafahamu kwamba Mungu anayedaiwa kwamba ni Mungu muweza wa vyote, mkamilifu na mwema hayupo.
Human beings created God through assumptions, Based on things beyond their imaginations.
Nilikuwako hapa hapa Duniani,SEMA tu inategemea matendo ya roho hii siku za kabla ya kuzaliwa Kwa mwili huu.Jiulize hili swali kwanza
Kabla hujaja hapa duniani ulikuwa wapi?
Nafikiri utarudi ulikokuwa
labda unambie alieandika hayo ni malaika na sio binadamu kama mimi ndo nitaanza kusoma hvo vitabu, haiwezekani nijaze akilini mwangu fikra za mtu mwingine.Soma taratibu tu mkuu , ukiyatambua maumbile yanavyofanya kazi , na namna ya kuitumia nishati mbalimbali hutayumbishwa na maneno matupu.
Hivi kweli unaelewa maana ya kuthibitisha?God doesn't exist.
Kisicho kuwepo hakihitaji uthibitisho wa kutokuwepo kwake, Kwa vile hakipo kwa namna yoyote.
Wewe unaye sema Mungu yupo, Eleza na thibitisha Mungu huyo yupo kwa namna gani?
Ufufuo ni tukio la siku za mwisho; bado liko mbeleni. Tatizo liko wapi hapo kwenye uelewa wako?Naamini katika uwepo wa the so called supernatural power(God) shida ni kwamba dunia imekuwepo kwa bilion of years,sasa huo ufufuo umekuja kuongelewa baada ya Yesu kuzaliwa,mimi naungana na wahindi wnaoamini katina kuzaliwa upya,bati sio ufufuo
Swali juu ya swali, logically hukusudiwa kumfikirisha muulizaji na kisha kuzaa jibu sahihi husika.Jibu utakalopewa hapa,ni wewe tena kuulizwa kwa nini hayupo?! Hawajibu,wanataka kuaminisha watu wanayoyaamini wao.
Sentensi ya kwanza inatosha hilo swali halina umuhimuMungu yupo lakini ufufu na maandiko ni ujinga wa kufikirika.
Hao ambapo hawana au hawafuati hayo maandiko yako hawatafufuka?
Sawalabda unambie alieandika hayo ni malaika na sio binadamu kama mimi ndo nitaanza kusoma hvo vitabu, haiwezekani nijaze akilini mwangu fikra za mtu mwingine.
Uzaliwe tena kwa mbegu zipi wakati mama na baba yako hawatakuwepo?Watu wamekufa miaka million iliyopita hawajazaliwa tena af tuje kuzaliwa sie kwa uspesho gan tulonao?
Nao wamepotea uzaliwe upya kwa shahawa zilezile za baba na mama yako walio wafu?Naamini katika uwepo wa the so called supernatural power(God) shida ni kwamba dunia imekuwepo kwa bilion of years,sasa huo ufufuo umekuja kuongelewa baada ya yesu kuzaliwa,mimi naungana na wahindi wnaoamini katina kuzaliwa upya,bati sio ufufuo
Yawezeka Mungu alikuwepo baadae akatoweka baada ya kuumba watu ktk matabaka mbalimbali then akapotea au kufariki ili kuweka muendelezo kama walivyo WACHAWI na nguvu zao za kujificha asilaumiweNadhani waliomuumba Mungu,ni watu walokuwa na malengo yao binafsi na kwa kuwa ingekuwa ngumu kutapeli hivi hivi,wakabuni mbinu za kuwachinjia baharini. Enzi hizo hata hela hakuna, ardhi na mali nyingine waliaminishwa,wakagawa. Makosa walifanya mababu,ila na uzao wao,ndo ukawa hivyo. Siku hizi kuna pesa sasa ndo usiseme.
Na wao wamekazana,eti Mungu.
Ulikuwa shahawa na manii kwenye mwili wa babako na mamako then wakatombana mamako akabeba mimba yako ukazaliwaJiulize hili swali kwanza
Kabla hujaja hapa duniani ulikuwa wapi?
Nafikiri utarudi ulikokuwa
wao wanaamimni hii roho yangu inaweza kuwa hapo awali niliwahi kuishi marekani,ila kutokana nakutenda dhambi nikazaliwa mtu mweusi ili nibadili tabia,huenda nikifa mimi hapa kunasiku nitakuwa Mchina au mwarabuNao wamepotea uzaliwe upya kwa shahawa zilezile za baba na mama yako walio wafu?
Good. Kikubwa tu ni kwamba neno Mungu si kitu kilicho hai, ni njama tu ya utapeli wa hali ya juu iliyotengenezwa,sasa kila uzao unaokuja,unakuta hivyo na unaendeleza tu. Hujawaho jiuliza kwa nini mfano wilaya moja,ukihesabu makanisa utayakuta zaidi ya 100. Na kila kukicha,yanazaliwa mengine. Haiingii akilini unaacha kanisa mlangoni kwako,unapanda pikipiki 5000 kwenda na kurudi, eti umeenda kusali. Kanisa ukiingia utakuta waumini 10 tu. Unajiuliza,hawa hawakuwa wanasali walikokuwa?Yawezeka Mungu alikuwepo baadae akatoweka baada ya kuumba watu ktk matabaka mbalimbali then akapotea au kufariki ili kuweka muendelezo kama walivyo WACHAWI na nguvu zao za kujificha asilaumiwe
Mwisho wake ni lini mkuu?? Ungesema kila mtu na mwisho wake. Leo unaambiwa eti tupo mwaka 2023. Hujawahi kujiuliza ndo umri wa dunia hii(japo alieizaa hata hajulikani ili aseme ukweli kuhusu umri). Haya mwingine atakwambia ina miaka zaidi ya milioni na ushee. Uliza kwa karenda ya waislam,leo wao wapo mwaka wa ngapi? Uliza kwa wachina, leo wana mwaka wa ngapi? Si tunakaa dunia moja! Sasa hizo tofauti hazikupi picha kamili!Fanyeni ibada sana acheni maasi na chochote utakacho fanya kinahifadhiwa na utalipwa
Hii dunia na vyote vilivyomo vina mwisho wake
fanya ibada halafu ukifa na ukamkosa mungu haina shida
Kulikoni kuacha kufanya ibada na ukaenda kumkuta
Sijui utamjibu nini
Kwa ufupi sanaMwisho wake ni lini mkuu?? Ungesema kila mtu na mwisho wake. Leo unaambiwa eti tupo mwaka 2023. Hujawahi kujiuliza ndo umri wa dunia hii(japo alieizaa hata hajulikani ili aseme ukweli kuhusu umri). Haya mwingine atakwambia ina miaka zaidi ya milioni na ushee. Uliza kwa karenda ya waislam,leo wao wapo mwaka wa ngapi? Uliza kwa wachina, leo wana mwaka wa ngapi? Si tunakaa dunia moja! Sasa hizo tofauti hazikupi picha kamili!
Utamkuta nani lakini na wapi? Ukimkosa utakuwa umepoteza mda.
-kwa vile we unataka kuamini hivyo, we amini na ufanya uyafanyayo. Hakuna wa kukulazimisha uache.
-kwa wasiomuamini,tuache tule upepo maana tunajua tukienda huko ni kuchezewa akili kwa hiyo hatutaki hizo sanaa na kuaminishwa mambo yasiyo na kichwa wala miguu.
Ebu tupe hata vigezo 3 vya uwepo wake
Kabla sijachunguza yaliyomo kwenye vitabu vyake, nataka kujua kwanza huyo Mungu ni nani, yuko wapi,ana uwezo gani au msaada wake katika maisha yetu. Vitabu hivyo unavyovisema,inajulikana waliandika kina nani na kwa sababu zipi. Wewe si mtanzania? Kitabu cha efeso au wafilipi kinakuhusu nini wewe? Sodoma na Gomola ni wapi(nchi gani)? Kilitokea nini? Lini? Kwa nini? Una ushahidi gani?Kwa ufupi sana
Jaribu kuchunguza
Yale yaliyomo kwenye vitabu vya mungu
Halafu fatilia duniani uone kama yana ukweli ama vp
Mimi nakupa moja tu la sodoma na gomola
Mengine fatilia mwenyewe
Hapo napingana nawewe unaposema MUNGU ni mchongo kwani ni wazi bado hujajiulize wewe na hao waliokuleta walitokana na nani?Good. Kikubwa tu ni kwamba neno Mungu si kitu kilicho hai, ni njama tu ya utapeli wa hali ya juu iliyotengenezwa,sasa kila uzao unaokuja,unakuta hivyo na unaendeleza tu. Hujawaho jiuliza kwa nini mfano wilaya moja,ukihesabu makanisa utayakuta zaidi ya 100. Na kila kukicha,yanazaliwa mengine. Haiingii akilini unaacha kanisa mlangoni kwako,unapanda pikipiki 5000 kwenda na kurudi, eti umeenda kusali. Kanisa ukiingia utakuta waumini 10 tu. Unajiuliza,hawa hawakuwa wanasali walikokuwa?
Je, huku ndo wemegundua kuna Mungu wa kweli?
Sasa basi,utakuta mchungaji anawalipia nauli,ili akatume picha kule kwa wajanja waibiane huku wewe unachorwa tu. Unafika home kwako mwanamke unadundwa,unaulizwa wenzako wametoka mapema,mara sisi ilienda ikarudi.
Mungu ni mchongo tuuu.
Kama kweli yupo,muombe kitu uone kama atakupa. Ugua,uombe uone kama utapona.